Ukisoma mawazo ya watu juu ya marais ni mazuri vile yanafurahisha nyoyo ni mabaya sababu yanachokonozi ya dini.
Marais waislam wameshambuliwa mpaka lakini leo hii watu wameenda nje na kuona watu wengine huishi vipi baada ya ruksa za mzee mwinyi.
Mkataba wa anga huru haukusainiwa na Jk madege yanakuja yanabeba mali zetu mengine yanaanguka ziwani huku hatulipwi kodi.
Tumekua wabaguzi hadi tutabagua vivuli vyetu. Acheni choko choko
On Apr 6, 2015 11:56 AM, "'aramakurias' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- Ni kutaka kutuletea mgogoro na kidin....jk anatafuta records mungu kazuia sasa atakaetupa katibu ni ajae
On Apr 6, 2015 11:40 AM, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--Nchi hii inahitaji mchapakazi...hiv kulikuwa na haja gani kuendelea kusumbua watu weee kuhusu kura ya maoni ya katiba? hivi...ni kweli kulikuwa na haja ya kupelekwa muswada wa kadhi sasa hivi?. .....nchi hii rais asipotia akili...awe muislam au mkristo...itakula kwake. Na hata watu wakilalamika....haitosaidia.... Dawa ni kuchangamka na kuwaepushia watu shida. ..Ngupula.
'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:ipo kazi kweli, akiwa rais mwislamu anasakamwa! mawazo ya aina hii shida kweliOn Monday, April 6, 2015 12:22 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kwanini unalink matamko hayo na imani wala sio ineficiency za hao wanaopewa matamko? hebu revisit situations na performancies za hao waliopewa matamko. utaona kwa nini matamko yalitolewa.
--------------------------------------------
On Sat, 4/4/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] TAMKO LA MAASKOFU NA WACHUNGAJI JUU YA TUKIO LA ASKOFU GWAJIMA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, April 4, 2015, 8:20 AM
Issue sio watawala tatizo
anapokaa rais ambae si wa imani yao maaskofu huwa hawaishi
matamko.
Walishawahi kuyoa tamko la kumpa rais wa awamu ya pili
Ally Hassani Mwinyi siku tisini aitishe mjadala wa
katiba.
Lakini wakati wa rais MKapa hatukusikia Matamko, kuingia
JK kila siku matamko yasiyokuwa naa kichwa wala miguu.
On Apr 3, 2015 12:07
PM, "elgin.saul" <elgin.saul@gmail.com>
wrote:
Matamko kwa kuwa watawala
wameshindwa kutawala
Sent
from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: fadhil fadhil
Date:2015/04/03 11:11 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] TAMKO LA MAASKOFU NA WACHUNGAJI JUU
YA TUKIO LA ASKOFU GWAJIMA
hawa jamaa sasa inakuwa kero kila siku wamekuwa watu wa
matamko tu
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and henc
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment