Na pindi Muislamu akitoa talaka, serikali haiikubali talaka hiyo muda wa kuwa haijathibitishwa na Mahakama. Na pindi Mahakama ikitoa talaka, Uislamu hauikubali talaka hiyo kwa kuwa ndoa iliyofungwa kwa sheria za Kiislamu haivunjiki kwa sheria nyengine.
Hii ni adha kwa Waislamu na mtatuzi wake ni Mahakama ya Kadhi.Waislamu wanaamini kuwa zipo baadhi ya ndoa haziwezi kuendelea kwa mujibu wa mafundisho ya dini yao.
Kwa mfano; ndoa ya mume aliyefungwa gerezani muda mrefu na hana mapato yatakayomkimu mkewe mpaka amalize kifungo, au ndoa ya Muislamu aliyekwenda nje ya Tanzania akazamia huko kwa muda mrefu kutafuta maisha na mkewe amemtelekeza, au Muislamu yupo hapa hapa nchini lakini ni mjeuri, anamtesa mkewe na anasema anajua kuoa hajui kuacha, kiasi kwamba mkewe huyu anataabika sana.
Kuzivunja ndoa za aina hiyo kunahitajia nguvu mbili: kwanza, nguvu ya Kidini ili imani na sheria ya Kiislamu iliyotumika kuwafungisha ndoa ifanye kazi yake kwani ndoa iliyofungwa kiimani inavunjwa kiimani pia.
Pili, nguvu ya kiserikali ili mume kama hatoridhika asiweze kuleta madhara baada ya ndoa yake kuvunjwa, na serikali pia ikubali kuwa ndoa imevunjika ili isimtambue mwanamume huyo kuwa ni mume wa mwanamke huyo kwa mujibu wa sheria za nchi.
Katika muda huu ambao hakuna Mahakama ya Kadhi, ndoa zote zinazovunjwa na Mahakama za kawaida bila ya wale waume zao kutoa talaka, pindi watalaka wao (wanawake) wakiolewa tena na waume wengine, hizo ni ndoa ndani ya ndoa. Na ndoa hii ya pili haiswihi (haikubaliki) kwa mujibu wa sheria ya Dini ya Kiislamu na ni batili.
Tatizo hili haliwezi kuondoka kama hakuna Mahakama ya Kadhi, na mwanamke huyu Muislamu analazimishwa imma azini (endapo atafuata hukumu hiyo ya Mahakama ya kawaida na yeye kukubali kuolewa tena na mume mwengine) au afe mjane (kwa kukubali talaka hiyo ya Mahakama ya kawaida na kukataa kuolewa tena).
Waislamu wa Tanzania kwa kuzingatia umuhimu huo waliiomba serikali yao "huduma" hiyo katika awamu zote za utawala wa nchi hii kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya nne, lakini bado hawajafanikiwa katika hilo na bado Waislamu wanaendelea kuomba.
Fadhili,
Kwani ni nini kilichofanywa na waislamu ambacho serikali imekataa kukitambua? Ndoa zilizofungwa kufuatana na sheria za kiislamu hazijatambuliwa na serikali?. Wale waliotumia sheria za kiislam kutatua mgogoro wa urithi umeachwa kutambuliwa na serikali?. Labda hatuelewi hivyo tunaomba mifano hai.
Herment A. Mrema
Date: Wed, 29 Apr 2015 09:13:36 +0300
Subject: Re: [wanabidii] MPANGO WA MIZENGO PINDA NA GWAJIMA HUU HAPA
From: fadhil.fadhil96@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.comhivi kwanini mmekuwa mkijifanya hamuelewi wakati mnaelewa, wanachataka waislam kikubwa ni kutambuliwa kwa mujibu wa sheria tu kuendesha wenyewe siyo issue kama mnavyofikiria,2015-04-28 20:26 GMT+03:00 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>:Wanabidii wenzangu
Tukubali kuwa kila nchi ina mazingira na hali tofauti. Hivyo kwa vile nchi fulani ina mahakama ya kadhi ina maana kuwa nayo mahakama ya kadhi itafaa kuwepo Tanzania. Sio kweli kwa mfano kuwepo na mahakama ya kadhi Kenya haina athari zozote kwa vile waislamu sio zaidi ya asimilimia 30% hivyo mahakama ya kadhi sio tatizo. Lakini kwa Tanzania ambayo waislamu wako karibu asili mia 48% au zaidi kwa sababu hatuna data za kujua nchi hii ina wakristu wangapi na waislamu wangapi madhara yake ni makubwa kwani impact yake nayo ni kubwa. Hivyo ni rahisi wakristu kuona kuwa wanamezwa na sheria za kiislamu ijapokuwa haziwagusi moja kwa moja. Hisia peke yake ni tatizo hivyo ni vyema tukaepuka hilo.
Kama waislamu wanataka mahakama ya kadhi ambayo wataisimamia na kuigharamia wenyewe nafikiri hakuna tatizo.
Hii amani tuliyo nayo japokuwa sio kubwa kama tulivyotegemea ni lazima tuiilinde kwa gharama yeyote.
Ahsante
Mrema
Date: Tue, 28 Apr 2015 20:09:03 +0300
Subject: Re: [wanabidii] MPANGO WA MIZENGO PINDA NA GWAJIMA HUU HAPA
From: fadhil.fadhil96@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Inaonekana fact zako hazipo sawa maana katiba inayopendekezwa imeshatoka na hamna sehemu ambayo kadhi imetajwa wewe unamwaga upupu tu humu. Hlf mbona mahakama za kadhi ziko ktk katiba za kenya. Uganda. Znb na maisha yanaendelea. Acha uzushi nenda kwanza library ndo uje hapa siyo kutengeneza tengeneza tu pumba.
On Mar 30, 2015 11:56 PM, "MABADILIKO CHADEMA" <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:NIMEIKOPY KUTOKA SEHEMU
Ndugu Watanzania, Wazalendo, raia wa nchi yetu huru. Kama ni kukiuka taratibu za kazi yangu, NAZIKIUKA na sijutii kwa hili. Askofu Gwajima ana watu wengi, kila sekta ya nchi hii kuanzia wapishi wa rais, wafanyakazi wa rais, watu wa wizara mbalimbali wote ni washirika wake. Kumgusa GWAJIMA kitendo kibaya kisicho vumilika, na mie siwezi kukubali Mchungaji wangu afanyiwe kibaya na wewe bosi wangu, unayelidhalilisha Taifa kwa misingi michafu ya malengo yako machafu.
Niseme wazi, Baraka za mashambulizi ya Askofu Gwajima zinabarikiwa na Raisi Mwenyewe wa Nchi. Alhaji Pinda na Alhaji Kova na wengine wawili ni ndio mastermind ya Kumsaka, kumkaba na kumwangamiza Gwajima.
Kazi ya Kumsaka Gwajima ilianza tokea kitambo, na iliratibiwa kwa karibu na Intelijensia ya ikulu. Lengo lilikuwa ni kufanya silence attack ambayo haita washtua wananchi. Mimi kwa kuwa ni mtumishi wa Muda mrefu kwenye System, naushangaa sana Uraisi wa kipindi hiki ambao umejikita sana kwenye Umbea, majungu, fitina na ushirikina. Matukio ya Uhallifu, ajali, wizi wa siraha sio hasa lengo mama la utawala huu zaidi ya kujishughulisha na matukio ya kijingajinga kwa wananchi.
Kufuatiliwa Vikali kwa Askofu gwajima ni kwa sababu ya tabia yake ya Kusema anacho kiamini. Ama aliyosema yamemkwaza mtu au la ipo sehemu ya kushtaki. Na kama amekosea kwenye matamshi iko mahakama mnapelekana. Lakini si kwa serikali hii. Serikali hii ambayo majambazi , mafisadi, wezi na wahalifu ni marafiki wakuu wake, wakati watu wenye matamshi ya moja kwa moja ni hatari sana, wanasakamwa, wanang'olewa meno na kuteswa, wanabambikiziwa kesi na mashtaka mbalimbali.
Ni wengi wamefanyiwa vitendo vibaya, vinaniumiza sana, Utakuta kiongozi anashtakiwa, anawekwa SELO, tena ya peke yako, hata kama una wakili, wakili anahakikisha umewekwa selo na anaondoka, Usiku selo linafunguliwa, wanaletwa watu manyang'au kutoka mahabusu au magerezani, wanakuingilia kinyume na maumbile kama mwanaume au kama ni mwanamke unabakwa nyuma na mbele. Tena utakuta mijitu yenyewe imesha athirika, kisha unarudishwa selo. Matendo haya yanafanyika kwa siri na si Polisi wote wanahusika, ni maafisa wachache na siri sana kwa Polisi. Wanajua kwa Cheo Chako, au heshima yako mbele ya jamii Utapotolewa kesho yake kwa dhamana hutasema walivyo-kusodomize , itakuwa ni siri yako na watakuwa wamesha kuvuruga kisaikolojia. Hutaweza tena kuwa na ujasiri wowote. UTAWALA wa Raisi Nyerere Polisi ilikuwa kimbilio la wananchi, sehemu salama, sehemu unayolindwa na Dola, siku hizi Polisi ni pa Kuogopa sana. WASHENZI , WASIOJUA UONGOZI, WASIOLINDA KATIBA WAMEIHARIBU NCHI YETU.Lakini Siku hizi imegunduliwa sumu mpya za kuua ambazo ukipata contamination yake, inapenya mwilini, hadi kwenye ubongo au ini na baada ya muda mfupi unaugua ama kansa hasa kansa ya damu au ya ini, au kisukari dufu na unaondoka ivi-ivi. Zile Sumu za kuweka kwenye maji, Juisi, au kinywaji&Chakula ni za kianalojia na zilishapitwa na wakati.
Lakini pia imegunduliwa Mionzi. Mionzi hii kama ya remote control. Ray generation device inapachikwa sehemu ya Microphone, camera, usukani wa gari unalotumia , Tochi na vinginevyo. Mionzi hiyo hiyo hupenya kwenye Ubongo na Kuharibu nerve system. Matokeo yake makubwa si kifo, kifo ni mara chache sana. Zaidi wengi huishia kuwa machizi. Makachero wazoefu waliopiga operesheni hatari, kisha wakaonekana kama wanataka kufanya usaliti flani hupigwa mionzi na kubakia machizi.
Baada ya Ikulu kuchemsha, matamshi ya Gwajima kwa Askofu pengo ndio yaliyozua jambo Jipya. Serikali ikapata sababu ya kukunjua makucha yake yote kwa gwajima. Serikali imeamua kuziwajibisha wizara zake zoote zimwandame na Kummaliza gwajima huku watu wachache sana wanaratibu vitu vya siri kumwangamiza mtumishi huyu wa Mungu. Viongozi wengine wanatumika tu kama PAMPAS za serikali kufanyia kazi. Wizara ya mambo ya ndani imeagizwa Kuchunguza usajili wa kanisa, wakuu wa mikoa wamsumbue kwenye maeneo yao, national House nao wasumbue kuhusu Uhalali wa kuwa Tanganyika packers. SERIKALI yote ya Jamhuri ya Muungano kimsingi imehamia kwa Gwajima. Gwajima ni nani hasa serikali nzima ihamie kwake, watumishi wenye heshima zao watumiwe na serikali kwa matakwa ya mtu mmoja. Fedha za walipa kodi zinatumika kummaliza mtu mmoja. Shame. Huko Tabora Siraha zimeibiwa, magaidi yanavamia vituo vya polisi, yanaua mapolisi na kupora siraha, ajali zimekithiri, mapolisi njiani wanapiga mkwanja tu, hata ukitembea na basi bovu, loli limepinda, Kontena halijafungwa boriti wao poa tu, wanapigazao mikwanja na madau wameshawekeana. SIJAWAHI KUONA SERIKALI YA KIJINGA KAMA HII. Matukio haya serikali haiyaoni imekazania mtu mmoja tu, Gwajima.. VIONGOZI WAACHE KUTUMIWA KAMA PAMPASI.Ndugu zangu waislam, nawapenda sana, lakini kwa hili mniwie radhi, naomba nikunjuke LIVE!. Najua sio waislam wote, waislam wa Tanzania wanapenda amani. Upo Mpango wa kuyabadilisha mataifa ya Afrika kuwa ya kiislam, "Islamic State" (njoo ofisi ya CAG utaelezwa maana yake). Na Mpango huu SI MATAKWA YA AFRIKA. Ni shinikizo kutoka mataifa ya uarabuni. Kwamba Ili taifa liwe la kiislam haitokei kwa siku moja, ni hatua kwa hatua na inaweza kuchukua miaka mingi lakini bora hatua zianze kwanza.
Ndugu zangu wakristo ni mashahidi sana wa hii. Kwamba Syria (Damascus) ulikuwa mji wa kikristo, Lebanon, Jordan lakini leo ni mataifa ya kiislam. Hivyo mpango huo unao sanifiwa kwa umakini na mataifa ya kiislam, waislam wengi wa Tanzania hawajui Hili. Mataifa haya yanaamini kwamba iwapo taifa hili liapitisha mahakama ya kadhi, hata kwa vyovyote vile, basi kesho watapenyesha kingine. Walianzia mbali enzi kwa Profesa kapuya, wakapenyeza mavazi ya tamaduni za kiarabu mashuleni, wakaaminishwa mavazi hayo ndio tamaduni za Kiislam lakini si kweli. Hijabu huvaliwa kwa sababu mashariki ya kati kuna upepo na Vumbi, wanawake wa zamani nywele zilikuwa bidhaa, lazima azitunze zikue, zirefuke kisha anazikata na kuziuza kwa matengenezo ya vitu mbalimbali, zilizotunzwa vizuri na bei yake huwa nzuri, nadhani hata kwenye vitabu vya hadithi za mtume aliwahi kusimulia kisa cha mwanamke mke wa Ayubu kuuza nywele zake kujaribu kurejesha utajiri wao.Ukisoma
https://www.academia.edu/377…/Maudhui_katika_utendi_wa_ayubuUmaskini unamwangukia Ayubu na familia yake na kumwacha Rehema akitembea tembea akiomba kazi kwenye nyumba za watu ili apate aghalau mkate mdogo wa kumlisha mumewe. Yuko radhi hata kuwafanyia watu kazi ya kuwang'arishia pete zao na kuwasuka nywele. Isitoshe,Rehema yuko tayari hata kuokota vipande vya mkate vinavyoanguka (ubeti wa 132). Rehema pia hana kaziyoyote ya kuihahakikishia familia yake pato na kuikimu, anakubali hali hii na kusema kuwa asiyekuwa na kazi hata pato anakosa (ubeti wa 154). Kutokana naumaskini na haja ya kutaka kuikimu familia yake, Rehema anauza nywele zakekwa thamani ndogo sana mradi apate mkate wa kumlisha mumewe ( beti za191,192,193,233)
Sasa Nywele zetu hizi za kipilipili, uzifunike Ati kwamba zikue sirefuke, ni Uchizi, sanasana utafunikia mawigi.. Utamaduni huo umekuzwa na kuitwa tamaduni za watu wa mashariki ya kati, tena ikumbukwe rehema ni mkristo, Wakristo ndio waliokuwa wakitunza nywele kwa kuzifunika.
Baada ya kufanikiwa mavazi ya tamaduni ambazo waliamriwa wayaite ya kiislam, wakaanzisha taratibu za kufunga mitaa wakati wa sherehe zao ikapita, wakaanzisha taratibu za kufunga njia wakati wa futari imepita, wakaja na staili ya kutokufungua migahawa siku za mfungo, hasa kariakoo. Nayo ikapita. Sasa wameona waingize kitu kwenye katiba ya nchi. Wakifanikiwa kuingiza mahakama ya kahi kesho kitaingizwa kingine na kingine mwisho ISLAMIC STATE. Ambayo watanzania wengi watajikuta makoloni ya waarabu kwa ujinga wetu HISTORIA ITATUHUKUMU.
ALHAJI Salum Pinza (Mizengo Pinda) [ Pinda alikwisha Silimu siku Nyingi ni muislam na kila mtu anajua]. Mtu huyu kawa kama Chizi vile, mie naamini amedanganywa, Pinda kaahidiwa akifanikiwa kuichomeka mahakama ya kadhi kwenye katiba Atapewa fedha nyingi sana na WAARABU. Zimsaidie kuhonga wajumbe wa ccm {ambao of course kwao kura ni fedha} wampitishe kuwa mgombea. Pinda aliwalilia mabwenyenye hao wa kiarabu kwamba Mpinzani wake (EL) ana mapesa mengi. Wakasema hana kama za mafuta. Wao watampatia za mafuta ahonge atakavyo, hata kama akikosa Uraisi basi zimfae maishani, lakini sharti asilimu kwanza ndipo alipo silimu.
Hivyo alhaji Pinda na Mahakama ya Kadhi ni Uhai na uraisi wake. JOPO La Pinda linaloundwa na wanaojiita waislam wenye misimamo mikali serikalini ambao wapo jeshi la Polisi, wananchi na magereza lakini pia Wizara mbalimbali, tawala za mikoa, wakuu wa mikoa na wilaya , wenyeviti wa vijiji n.k hawa wamedanganyika na kujiita wa misimamo mikali. Wengine ni wasomi lakini wanatumika tu kama Pampasi za Waarabu.
Lakini Kwenye Taifa la Tanzania wapo Viongozi wa Dini waoga, ila wapo ambao ni sauti ya Mungu. HAWAOGOPI. Gwajima ni mmoja wapo. Na Pinda anaamini Kwenye majumuia ya Makanisa Gwajima ana ushawishi mkubwa sana. Akimsilence Gwajima in any means makelele ya watu kuhusu mahakama ya kadhi yatakwisha na atafanikisha lengo lake Chafu.
Baada ya tamko la maaskofu kupinga mahakama ya kadhi, Pinda kwa Hira na Ushetani mkubwa akajipenyeza kwa Mfipa mwenzake Kardinali Pengo. Pengo ambaye hakuwa anajua chochote kuhusu mambo machafu ya Pinda akamkubalia ombi lake, kwamba atoe nae tamko la Kukataa makubaliano ya maaskofu. Kitu ambacho PENGO amefanya ni kibaya, kimefika VATICAN, na mashushushu wa JESUIT, Wako nchini kuchunguza Ukweli huu. Ni kweli Pengo hakukubali mahakama ya kadhi, wala hakuiongelea kwenye tamko Lake, yeye alidanganywa na Pinda, aongelee tu Uhuru wa watu kupiga kura usiingiliwe, Kumbe Nyuma ya tamko lake kuna USHETANI MBAYA SANA ambao Pinda alimficha, kwenye hiyo katiba Pendekezi ndimo mahakama ya kadhi imejificha. Kardinali Pengo hakulijua Hilo, wala hakuwaza kwamba analishwa Ugoro pasipo kujua
Hata baada ya tamko lake, kabla ya audio ya gwajima, Pengo alishaona ukweli kwamba Pinda kamsababishia KULIKOROGA VIBAYA SANA. Pengo amemlaani Pinda sana.
Sasa Baada ya Audio ya Gwajima, ndipo Ikulu ikapata sababu ya kumwandama gwajima, Mizengo Pinda akapata ahueni ya kumchakaza anaye msumbua, Mizengo akaihamishia serikali yetu yote kwa Mtu mmoja Tu Gwajima. Mizengo Pinda anaamini kitachompata gwajima watanzania watasema alijitakia, yeye kwanini katutukania kiongozi wetu wakatoliki?,. na mtu wa kuibeba inshu hiyo ni Pengo. Serikali imefanya bidii sana kumshawishi pengo afungue malalamiko ila pengo amekataa, Pinda keshamwingiza kwenye MKENGE MKUBWA. Kwa maana mahakama ya kadhi ikianza Tanzania mkono wa Pengo Utahusika asilimia mia.
Lakini hata hivyo Team Pinda haikukubali, wakaagiza jeshi la polisi, Limsake Gwajima kimyakimya na Kumkamata, walipanga mbinu mbaya sana. Taifa lingeshangaaa gwajima katoweka tu. Na sanasana watu wangemsingizia labda pengo ndiye aliye mdhuru, au serikali ingesema waumini wa Pengo walikerwa na matamshi yake wakamdhuru. Ila mtumishi huyu sijui anaongozwaje na Mungu. Gwajima Kuibukia central Police Ijumaa saa nane mchana ilikuwa Ni Mshtuko, mshangao, kwa jeshi lote ambalo lilijipanga Limkamatie Mikoani kimyakimya.
Sakasaka yake ilianzia alipotoka kuelekea nje ya DAR, Police CYBER link ni mtandao unaotumika hapa kugundua mtuhumiwa kwa kufukuzia namba yake ya simu. Hivyo mtandao huo wa kijasusi wa kipolisi ukaonyesha gwajima Yuko mlandizi.. Rpc wa Morogoro akataarifiwa kwamba gwajima anakwenda Morogoro. Akaanza kupanga jeshi lake lote ili kumkamata gwajima. Maaskari wote wakaagiwa kusimamisha gari la hammer na kuliweka chini ya Ulinzi na wote walio ndani yake. Lakini Morogoro hakuonekana na pia haieleweki kwanini mtandao wetu haukuonyesha alipo. Baada ya masaa mengi ukamwonyesha tena yupo SAME. Basi ikaaminika anakwenda moshi. Askari ote wakaamriwa kukamata Hammer. Lakini hawakuliona.
Ilipofika jioni mtandano UKAONYESHA yupo ARUSHA. Ndipo msako mkubwa wa kumsaka Gwajima Arusha ulipo anza. hambush (KIZUIZI) Kikubwa kikawekwa USARIVER ARUSHA, hakuna gari kutoka Arusha au kuingia bila kukaguliwa. Tulikagua, tukiuliza majina ya abiria wote na kuangalia vitambulisho vyao. Amri kali kabisa gwajima HATOKI ARUSHA HADI AKAMATWE SILENCE, GWAJIMA ALISAKWA KAMA JASUSI, JAMBAZI SUGU LISILO ONEKANA, MTUHUMIWA WA MAUAJI MSUMBUFU, ILITUSTUA SANA. Baadhi ya wenzetu wakatumwa kwenye kanisa lake wajifanye kama wanataka kuombewa ili wamkamate.
Kilichowashangaza maofisa wetu ni kwanini haonekani wakati kwenye mtandao ANAONEKANA?. NDIPO Kamanda kova akaelekezwa ATOE PRES RELEASE KALI SANA, ili gwajima akiiona ama akurupuke kutoka arusha akimbilie Kenya, AU aanze FASTER kurudi dar, kama stail inayoitwa "kuwasha moshi wa pilipili kwenye shimo ili mnyama atoke. . hambush zikawekwa njiani pande zote Kumnasa..
Kilicho tustua ni Gwajima Kuibukia Kwa Kamanda Kova, Central Police. nilikua siamini sana kama Mungu Yupo ila sasa naanza Kuamini kabisa. Kama hambush Zote hakukamatwa, basi huyu si mtu wa kawaida.Nataka Kuwaambia Mchezo Huu mchafu unaochezwa na huyu dalali wa Viungo vya Albino, Pinda, ni mbaya sana. Walipanga na bado wanapanga mambo mabaya sana kwa gwajima kwa sababu anaipinga Vikali mahakama ya kadhi.
Baadhi ya wakristo wajinga wanasema alitumia lugha kali, matusi, kejeli.. hawa ni wapumbavu.. hawajui Biblia, mwanzilishi wa ukristo Yesu mwenyewe alikuwa mkali sana kwa wapuuzi na mpole sana kwa wanyeyekevu. Alisema kwenye
Luka 13; 31 Saa ile ile Mafarisayo kadha wa kadha walimwendea, wakamwambia, Toka hapa, uende mahali pengine, kwa sababu Herode anataka kukuua.
32 Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.Huyu mwanzilishi wa Imani ya kikristo Yesu mwenyewe alimwita Raisi wa kipindi hicho Mbweha, (Fox), sembuse Pengo. Je gwajima angesema We Pengo Mbeha Mkubwa we.. nadhani watu wangeropoka kweli mwezi mzima.
Ifike sehemu Ionekane raisi Yupo nchini. Kwanini watu wanyee Setrikali yake na kuleta machafuko. Raisi aitulize. Haiwezekani wapuuzi wachache wanatumia rasilimali Zetu kupambana na mtu mmoja kwa sababu za kijinga. Kama ni mahakama ya kadhi wanaopitisha kwani ni gwajima? Wao si waconcentrate na Bunge?Mheshimiwa Rais, Tuko tayari kutoa namba zetu na majina yetu ili Tukusimulie kila kitu kinachoendelea Juu ya Fujo za Pinda. Tunaomba Uitulize nchi, Umalize uongozi wako kwa utulivu, WASIKUVURUGIE.
Imenikera, nimeitoa kama ilivyo..
Kama Hutaki kuniita mzalendo basi najiita mwenyewe Ni mzalendo wa Kweli.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment