Exatly Jeremiah;
Hii ndio picha halisi ya sisi wabongo na ndio mana tunadanganywa sana na Wachumia matumbo.
Njaa inatuuma sana wabongo mpaka akili haziwezi kufikiri na mbaya zaidi mawazo yetu huwa ni kutibu njaa ya leo tu kesho potelea mbali atakuja mzungu kusaidia.
Reuben
On Monday, April 20, 2015 6:47 AM, Jeremiah Kibwengo <jerrykibwe@gmail.com> wrote:
Watanzania tumezoea kupiga jalamba mno. Tuwavivu wakufikiria na kuchapa kazi. Tuwepesi wakudanganywa na kuhongwa ili tuchague viongozi wenye kutoa rushwa ili wapate uongozi. Na tuwepesi wa kusahau matukio machafu/mabaya yaliofanywa na viongozi wachumia matumbo ndio maana wakija na pesa za kutuhonga tunapokea na kuwapa kura za ndio.
2015-04-06 17:52 GMT+01:00 'aramakurias' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ni kutaka kutuletea mgogoro na kidin....jk anatafuta records mungu kazuia sasa atakaetupa katibu ni ajaeOn Apr 6, 2015 11:40 AM, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--
Nchi hii inahitaji mchapakazi...hiv kulikuwa na haja gani kuendelea kusumbua watu weee kuhusu kura ya maoni ya katiba? hivi...ni kweli kulikuwa na haja ya kupelekwa muswada wa kadhi sasa hivi?. .....nchi hii rais asipotia akili...awe muislam au mkristo...itakula kwake. Na hata watu wakilalamika....haitosaidia.... Dawa ni kuchangamka na kuwaepushia watu shida. ..Ngupula.
'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
ipo kazi kweli, akiwa rais mwislamu anasakamwa! mawazo ya aina hii shida kweli
On Monday, April 6, 2015 12:22 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kwanini unalink matamko hayo na imani wala sio ineficiency za hao wanaopewa matamko? hebu revisit situations na performancies za hao waliopewa matamko. utaona kwa nini matamko yalitolewa.
--------------------------------------------
On Sat, 4/4/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] TAMKO LA MAASKOFU NA WACHUNGAJI JUU YA TUKIO LA ASKOFU GWAJIMA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, April 4, 2015, 8:20 AM
Issue sio watawala tatizo
anapokaa rais ambae si wa imani yao maaskofu huwa hawaishi
matamko.
Walishawahi kuyoa tamko la kumpa rais wa awamu ya pili
Ally Hassani Mwinyi siku tisini aitishe mjadala wa
katiba.
Lakini wakati wa rais MKapa hatukusikia Matamko, kuingia
JK kila siku matamko yasiyokuwa naa kichwa wala miguu.
On Apr 3, 2015 12:07
PM, "elgin.saul" <elgin.saul@gmail.com>
wrote:
Matamko kwa kuwa watawala
wameshindwa kutawala
Sent
from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: fadhil fadhil
Date:2015/04/03 11:11 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] TAMKO LA MAASKOFU NA WACHUNGAJI JUU
YA TUKIO LA ASKOFU GWAJIMA
hawa jamaa sasa inakuwa kero kila siku wamekuwa watu wa
matamko tu
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and henc
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment