there is some truth ,,,,,,,,,,ingawa umejificha sana,,,,
On 4/9/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
> Muhingo,
> Unachoshindwa kuelewa ni kwamba hawa wanajenga empire ya kifamilia.
> Akimaliza Kikwete anamwachia mdogo wake Membe ambaye naye chini ya utawala
> wake atawagroom Ridhiwani na Salma.
> em
>
> Sent from my iPhone
>
>> On Apr 9, 2015, at 3:47 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii"
>> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>
>> Tunashukuru sana Mr. Kaaya. Ndiyo maana Membe anaonekana kuwa na akili
>> nyingi kama Obama. Kwa sababu hiyo umetuongezea sababu za kumuunga Mkono
>> Membe kuwa Rais. Moja tu la mwisho. hata hivyo swala la Uoslamu limeanza
>> kabla Membe hajaingia siasa za wazi kwa hiyo halimhusu Membe. Ninafikiri
>> Mr Benard, alias Bakari hazuiwi kuwa Muislamu au Mkristo Asha Rose ni
>> muislamu mwenye jina la kikristo hivyo Benart kuwa muislamu haimzuii
>> kuendelea na kusudi lake la kugombea urais
>> Tunasubiri kusikia sera zake ndizo zitamuengua si dini yake au undugu wake
>> na JK
>> --------------------------------------------
>> On Thu, 4/9/15, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:
>>
>> Subject: [wanabidii] MAMBO MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD MEMBE
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Thursday, April 9, 2015, 8:14 PM
>>
>> MAMBO
>> MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD MEMBE1.
>> Jina halisi la Bernad Membe ni Bakari Membe ambaye ni
>> muislamu kwa dini na si mkristo. Hata ndugu zake Membe wengi
>> ni waislamu wa kabila la wamwera.2.
>> Baba yake halisi (biological father) ni Mzee Mrisho Kikwete
>> ambaye alizaa na Cecilia John Membe ambapo kwa kabila la
>> Wamwera uchukua jina la ukoo wa Mama na kulifanya ndio jina
>> la ukoo wa mtoto. Wamwera ni kabila linalofuata matrilenial
>> system ambapo Mama ndiyo mwenye dhamana kubwa na mtoto.3. Bernad Membe
>> amelelewa na Baba
>> wa kufikia aitwaye Kamilius Anthony ambaye anamtaja ndiye
>> Baba yake mzazi. Hii ni kama ilivyo kwa Nape Nnauye ambaye
>> anamtaja Mzee Mosses Nnauye ndiye Baba yake wakati Baba yake
>> halisi wa Nape ni Prof. Mark Mwandosya.3. Bernard Membe
>> na Rais Jakaya Kikwete ni mtu na Kaka yake. Wameshare Baba
>> mmoja ila Mama tofauti tofauti.4. Membe alimuokoa
>> Jakaya Kikwete wakati akiwa jeshini ambapo JK alitoroka
>> kambini na kwenda kwa kulala kwa mwanamke. Wakati wa kuitwa
>> majina hakuonekana na ndipo ikaundwa kamati ya kwenda
>> kuchunguza alipokuwa JK. Kamati hiyo iliongozwa na Bernard
>> Membe (mdogo wake) ambaye alifanya juu chini hadi kumuokoa
>> JK asitimuliwe jeshini. Kwa kuonyesha fadhila, JK
>> aliposhinda urais akamuingiza Membe kwenye baraza la
>> mawaziri na Membe amempa sharti la kuhakikisha anamsaidia
>> ashinde urais la sivyo ataanika mambo yote ya siri ya JK.
>> Hii ndio sababu kubwa nyingineyo ya familia ya Kikwete
>> kuamua kumsaidia Membe katika urais.5. Membe anapiga
>> kufa na kupona kuingia ikulu ili afanikishe malengo
>> aliyotumwa na jumuiya kimataifa za kiislam za kuhakikisha
>> analifanya Taifa la Tanzania kuwa Taifa la kiislamu.
>> Alishaianza hii kazi maalum kwa kushinikiza kuanzishwa kwa
>> mahakama ya kadhi hapa nchini, wazo lililoletwa na Bernad
>> Membe.
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>> for any legal consequences of his or her postings, and hence
>> statements and facts must be presented responsibly. Your
>> continued membership signifies that you agree to this
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are subscribed to the
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment