Thursday, 9 April 2015

Re: [wanabidii] MAMBO MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD MEMBE

Mama weeeeeeeeeeeeee!
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Thu, 4/9/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MAMBO MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD MEMBE
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, April 9, 2015, 9:20 PM

Muhingo,
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba hawa wanajenga
empire ya kifamilia. Akimaliza Kikwete anamwachia mdogo wake
Membe ambaye naye chini ya utawala wake atawagroom Ridhiwani
na Salma. 
em

Sent from my iPhone

> On Apr 9, 2015, at 3:47 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
>
Tunashukuru sana Mr. Kaaya. Ndiyo maana Membe anaonekana
kuwa na akili nyingi kama Obama. Kwa sababu hiyo
umetuongezea sababu za kumuunga Mkono Membe kuwa Rais. Moja
tu la mwisho. hata hivyo swala la Uoslamu limeanza kabla
Membe hajaingia siasa za wazi kwa hiyo halimhusu Membe.
Ninafikiri Mr Benard, alias Bakari hazuiwi kuwa Muislamu au
Mkristo Asha Rose ni muislamu mwenye jina la kikristo hivyo
Benart kuwa muislamu haimzuii kuendelea na kusudi lake la
kugombea urais
> Tunasubiri kusikia sera
zake ndizo zitamuengua si dini yake au undugu wake na JK
>
--------------------------------------------
> On Thu, 4/9/15, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
wrote:
>
> Subject:
[wanabidii] MAMBO MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD
MEMBE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thursday, April 9, 2015, 8:14 PM
>
> MAMBO
> MATANO (5) USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD
MEMBE1.
> Jina halisi la Bernad Membe ni
Bakari Membe ambaye ni
> muislamu kwa
dini na si mkristo. Hata ndugu zake Membe wengi
> ni waislamu wa kabila la wamwera.2.
> Baba yake halisi (biological father) ni
Mzee Mrisho Kikwete
> ambaye alizaa na
Cecilia John Membe ambapo kwa kabila la
>
Wamwera uchukua jina la ukoo wa Mama na kulifanya ndio
jina
> la ukoo wa mtoto. Wamwera ni
kabila linalofuata matrilenial
> system
ambapo Mama ndiyo mwenye dhamana kubwa na mtoto.3. Bernad
Membe amelelewa na Baba
> wa kufikia
aitwaye Kamilius Anthony ambaye anamtaja ndiye
> Baba yake mzazi. Hii ni kama ilivyo kwa
Nape Nnauye ambaye
> anamtaja Mzee Mosses
Nnauye ndiye Baba yake wakati Baba yake
>
halisi wa Nape ni Prof. Mark Mwandosya.3. Bernard Membe
> na Rais Jakaya Kikwete ni mtu na Kaka
yake. Wameshare Baba
> mmoja ila Mama
tofauti tofauti.4. Membe alimuokoa
>
Jakaya Kikwete wakati akiwa jeshini ambapo JK alitoroka
> kambini na kwenda kwa kulala kwa mwanamke.
Wakati wa kuitwa
> majina hakuonekana na
ndipo ikaundwa kamati ya kwenda
>
kuchunguza alipokuwa JK. Kamati hiyo iliongozwa na
Bernard
> Membe (mdogo wake) ambaye
alifanya juu chini hadi kumuokoa
> JK
asitimuliwe jeshini. Kwa kuonyesha fadhila, JK
> aliposhinda urais akamuingiza Membe kwenye
baraza la
> mawaziri na Membe amempa
sharti la kuhakikisha anamsaidia
>
ashinde urais la sivyo ataanika mambo yote ya siri ya JK.
> Hii ndio sababu kubwa nyingineyo ya
familia ya Kikwete
> kuamua kumsaidia
Membe katika urais.5. Membe anapiga
>
kufa na kupona kuingia ikulu ili afanikishe malengo
> aliyotumwa na jumuiya kimataifa za kiislam
za kuhakikisha
> analifanya Taifa la
Tanzania kuwa Taifa la kiislamu.
>
Alishaianza hii kazi maalum kwa kushinikiza kuanzishwa
kwa
> mahakama ya kadhi hapa nchini, wazo
lililoletwa na Bernad
> Membe.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha
ukishatuma
>

>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her
postings, and hence
> statements and
facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you
agree to this
> disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are
subscribed to the
> Google Groups
"Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
> from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
visit https://groups.google.com/d/optout.
>

>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are
subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.
> To unsubscribe from this group
and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment