Friday, 24 October 2014

[wanabidii] SHEREHE ZA UN ZAFANA: TZ YATAKA UTEKELEZAJI MFUKO WA GCF

Kapteni Emmanuel Kukula (aliyenyoosha kidole)  wa Jeshi la Wananchi Tanzania akiwa na baadhi ya maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa pamoja na Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu wakishauriana masuala ya Protokali kabla ya kuanza kwa sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake zilizofanyika leo jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya Karimjee. (Picha na Zainul Mzige)

Na Mwandishi wetu

WASHIRIKA wa maendeleo wametakiwa kutimiza ahadi yao ya kuwezeshwa kuanzishwa kwa mfuko wa mabadiliko ya hali ya hewa (GCF) kwa kuchangia dola za Marekani bilioni 100 kila mwaka hadi kufikia mwaka 2020.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi  Profesa Anna Tibaijuka wakati wa sherehe za Umoja wa Mataifa kufikisha miaka 69 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.

Aidha alisema ni muhimu pia watekeleze ahadi ya fedha, uhamishaji wa teknolojia na uwezeshaji ili mataifa yanayoendelea yaweze kuhakikisha kwamba yanabadili mifumo yao ili kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Katika sherehe hizo zilizofanywa kwa shamrashamra kubwa pamoja na gwaride, Profesa Tibaijuka alisema juhudi hizo zinazoelekezwa na Umoja wa Mataifa hazina budi kufuata kanuni za Rio ambapo kuna nia moja ya kukabili mabadiliko ya hali ya hewa na wajibu tofauti.

Aidha alisema pamoja na Tanzania kutekeleza wajibu wake inaamini kwamba viongozi wa wadunia wakiwa mstari wa mbele katika mkutano ujao wa Lima ambao unaandaa mkutano wa Paris mwakani watawezesha makubaliano bora yanayotekelezeka.

Brigadia Jenerali  Dominc Basil Mrope wa JWTZ (kushoto) akiwasili kwenye viwanja vya Karimjee na kuelekea jukwaa kuu.

Pamoja na kuzungumzia uwajibikaji katika masuala ya kukabili mabadiliko ya tabia nchi Waziri Tibaijuka alizungumzia mafanikio ya Tanzania katika kutekeleza malengo ya milennia na kusema kwamba yale yaliyobaki yataendelea kufanyiwa kazi ili kusukuma mbele zaidi maendeleo.

Alisema serikali kwa sasa imelenga kuendeleza yale ambayo hayajakamilika  kwa kutengeneza mpango wa maendeleo unaoana na malengo ya milennia yaliyobaki.

Awali akimkaribisha Waziri, Mratibu mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa shirika la maendeleo la UNDP, Alvaro Rodriguez, alisema yapo mambo ambayo bado yanalegalega katika utekelezaji wa malengo ya milennia na Umoja wa Mataifa utaendelea kuisaidia Tanzania kuyakamilisha.

Alisema pamoja na Tanzania kupiga hatua kubwa katika masuala ya elimu ya msingi, usawa wa jinsia, vifo vya watoto, uzuiaji wa maambukizi ya Ukimwi na kufanikisha upatikanaji wa maji safi na salama bado kuna changamoto kubwa katika kukabiliana na umaskini na vifo vya wanawake katika uzazi.

Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mh. Lennarth Hjelmaker akiwasili kwenye viwanja vya Karimjee na kupokelewa na afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na kuelekea jukwaa kuu.

Rodriguez amesema kwamba mashirika ya Umoja wa Mataifa kwa sasa yanasaidia katika kukabiliana na upungufu katika maeneo husika huku wakisubiri majadiliano na serikali kuhusu mipango ya maendeleo baada ya kupita kwa muda wa mwisho wa malengo ya milenia.

Aidha amesema kwamba kwa sasa kuna program 10 zinazofanywa na mashirika ya Umoja wa Mataifa kuimarisha demokrasia ya Tanzania na haki za binadamu, makabiliano na Ukimwi vifo vya akina mama wakati wa uzazi na uimarishaji wa ajira kwa vijana.

Akitaja mafanikio ya mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania  Mratibu huyo alisema kwamba asilimia 96 ya zahanati na vituo vya afya nchini Zanzibar vimewezesha hudma za mama na mtoto na karibu kila kituo kina tabibu mmoja anayeshughulikia masuala hayo.

Aidha mfumo wa haki za mtoto umeimarishwa na wakimbizi wapatao 60,000  Nyarugusu wamepatiwa haki za msingi kama maji na elimu.

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushi (katikati) akibadilishana mawazo na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha(kushoto) kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa zilizofanyika leo kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar.

Mkuu wa uendeshaji na ushauri wa Ofisi za Umoja wa Mataifa Tanazania Bw.George Otoo akibadilishana mawazo na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) hapa nchini Bw. Damien Thuriaux kabla ya kuanza rasmi kwa sherehe hizo.

Mgeni rasmi Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akiwasili kwenye viwanja vya Karimjee huku akiwa ameongozana Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.

Baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania wakiwa wamejipanga tayari kumlaki mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu  kuanzishwa kwake Profesa Tibaijuka. Kulia ni Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akihakikisha Protokali zimezingatiwa.

Pichani juu na chini ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akimtambulisha mgeni rasmi Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi  Profesa Anna Tibaijuka kwa baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini mara baada ya kuwasili kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.

Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akipokea heshima ya wimbo wa taifa kabla ya kuanza rasmi kwa sherehe za maadhimisho miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.

Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akikagua gwaride maalum kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake zilizofanyika leo jijini Dar.

Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akishuhudia bendera ya Umoja wa Mataifa ikipandishwa kama ishara ya kuadhimisha miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.

Mshehereshaji wa sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa Maulida Hassan kutoka Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akitoa mwongo wa hotuba mbalimbali kwa meza kuu.

Mgeni rasmi Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akisoma risala kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar.

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisoma ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar.

Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akipongeza Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez kwa hotuba nzuri.

Makamu Mwenyekiti wa Asasi ya Umoja Mataifa (UNA), Bw. Benedict Kikove akizungumza kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar.

Kwa picha zaidi ingia humu

KAWAIDA

IMG_2364

IMG_2367

IMG_2504

IMG_2484

IMG_3098

Mkuu wa uendeshaji na ushauri wa Ofisi za Umoja wa Mataifa Tanazania Bw.George Otoo akibadilishana mawazo na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) hapa nchini Bw. Damien Thuriaux kabla ya kuanza rasmi kwa sherehe hizo.

IMG_2649

Mgeni rasmi Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akiwasili kwenye viwanja vya Karimjee huku akiwa ameongozana Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.

IMG_2595

Baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania wakiwa wamejipanga tayari kumlaki mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake Profesa Tibaijuka. Kulia ni Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akihakikisha Protokali zimezingatiwa.

IMG_2656

Pichani juu na chini ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akimtambulisha mgeni rasmi Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka kwa baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini mara baada ya kuwasili kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.

IMG_2657

IMG_2672

Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akipokea heshima ya wimbo wa taifa kabla ya kuanza rasmi kwa sherehe za maadhimisho miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.

IMG_2703

Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akikagua gwaride maalum kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake zilizofanyika leo jijini Dar.

IMG_2720

Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akishuhudia bendera ya Umoja wa Mataifa ikipandishwa kama ishara ya kuadhimisha miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.

IMG_2761

Mshehereshaji wa sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa Maulida Hassan kutoka Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akitoa mwongo wa hotuba mbalimbali kwa meza kuu.

IMG_3040

Mgeni rasmi Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akisoma risala kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar.

IMG_2923

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisoma ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar.

IMG_2960

Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka akipongeza Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez kwa hotuba nzuri.

IMG_2861

Makamu Mwenyekiti wa Asasi ya Umoja Mataifa (UNA), Bw. Benedict Kikove akizungumza kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar.

Kwa picha zaidi ingia humu

Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
+255714940992.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment