Kabla ya mtendaji Ngupula tulihitaji/tunahitaji Katiba ambayo wananchi wanayo nafasi ya kuchukua hatua kikatiba kulazimisha mambo. hii inasaidia Rais anapokuwa msanii kumthibiti kikatiba (kama ulivyoona waAfrika ya Kusini wanamfanya Mbeki au waingereza walivyomfanya margreth). na haya ndiyo yaliyodhoofishwa kwenye BMK na kuongeza kelele za 'haki za makundi' kumbe hata makundi hayo haziwezi kutumia 'haki' hizo kuiwajibisha serikali. Ni vibaya kuwaamini wanasiasa hawa maana ukifuatilia mijadala yetu ambayo ni wazi tunatofautiana juu ya nani au nai awe nani lakini kama katiba inambana yeyote hata angekuwa msanii ama ataacha kugombea au atakuwa voted (Vetoed) out.
Tunahitaji kujihadhari sana la sivyo watoto wetu watakumbana na fanatics wa dini na watawasumbua. Hii IS haiishii Iraq na Syria. Haya tunayoyaona ndiyo maandalizi. Tunamsubiri kijana aliyekamatwa Bukoba aseme maana inasemekana amesema atasema kila akijuacho.
--------------------------------------------
On Mon, 10/13/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] TAMKO LA WAKRISTO BUKOBA KUHUSIANA NA MAUAJI PAMOJA NA UCHOMAJI MAKANISA
To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, October 13, 2014, 12:10 AM
Tusipofika mahali tukajiuliza kwa
nini vikundi vingi vya kigaidi vina base ya uislam na nini
kifanyike katika nchii hii ili kukomesha kabisa mazingira
yeyote ya kiugaidigaidi,tutegemee mvurugano wa amani
kuendelea kukua nchini...na ndio maana tunasema tz ya sasa
hatuhitaj msanii bali mtendaji na msimamiz wa
mambo...ngupula
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>N vibaya kunyamazia kama ilivyo vibaya kutamka lakini
Hilder uhuru wa kuabudu nao utaleta sokomoko. Bukoba mjini
kuna shule fulani ambayo kila mtu aliyeitembelea ana
wasiwasi kwa mafunzo yanayotolewa pale (Nshambya). Eneo
limegeuzwa 'Jangwa' au Uarabuni kwa kufugia pale kondoo.
Hiyo si kitu lakini aina ya mafunzo yakiwemo ya'viungo' kila
anayeona haelewi. Watu wanaishia kunong'ona kuwa huensa
maandalizi ya IS yanaendelea pale. Ndio uhuru wa kuabudu
uliomaanisha katika jibu lako hapo chini?
>--------------------------------------------
>On Sun, 10/12/14, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] TAMKO LA WAKRISTO BUKOBA
KUHUSIANA NA MAUAJI PAMOJA NA UCHOMAJI MAKANISA
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Sunday, October 12, 2014, 12:27 PM
>
> Ubaguzi
> wa dini haukuanza leo ni miaka mingi ila kwa sasa media
ndio
> ipo inauonyesha. Nikiwa umri mdogo nimeuona, kanisani
> wakiingia wenzetu wasilamu na kufanya fujo; kujaribu
kupokea
> sakramenti na kupiga kelele yesu si Mungu. Ikafika siku
za
> sikukuu lazima kanisa liombe askari kwani walinzi wazee
wa
> kanisa hawakufaa kitu. Sanamu ya Bikira Maria
ikiondolewa
> pangoni na kukojolewa, kunyewa mavi, misalaba
kuondolewa;
> kanisa kuibiwa vikombe vyake na vitu vingine kwa sasa
ni
> kuajiri makampuni ya ulinzi. Bado tukitoka shule ya
mzingi
> ya mission kwenda ya serikali na nguo zetu ndefu na
mwendo
> wa kiumini tukitwa madukuo-kusukumwa kichwa, kupiga
makwenzi
> kichwani tukiitwa -makombo ya masista au Masea, wala
nguruwe
> na majina mengi. Ikifika siku-Maurid au kumepikwa
ubwabwa
> msikitini-about turn shuleni hapo ambapo ktk watoto 700
in
> 1960s (shule kubwa ya serikali zile za awali sana)
wakristu
> walikuwa 15 tu. Tuliipata. Lakini, ikifika miradi ya
kulea
> na kutunza wakoma, watoto yatima na wale wanaookotwa,
> albino, miradi ya maji, vibarua, kukwea minazi kuangua
nazi
> kanisa halikubagua ajira au needy person wa kumtunza
katika
> vituo vyake budi awe mkristu. Shule zake ilipokea dini
zote
> sisi tukisali kila mwalimu akiingia darasani wao hukaa
> chini. Wakigawa unga wa uji wa purenda wakati wa njaa
au
> nguo za mitumba kwa masikini-hugawa bila kigezo cha
dini
> mradi tu mtu anatambuliwa ni masikini katika eneo.
Wakoma
> walitunzwa na pia wazee baadae serikali kuja
kuvichukua
> vituo hivyo na vimeishia. Shule zinazopeta za kidini
wote
> wakihudhuria isipokuwa ya masista au seminary ambapo
budi
> uwe mkristu. Kwa kifupi- huu ubaguzi wa sasa sio mpya
ila
> sasa unaongelewa kwa uwazi zaidi.
> Bukoba au
> Mkoa wa Kagera mtu hawezi kuamini kwamba yaliyotokea
Uganda
> wakati wa Kabaka Mutesa kuwachoma waitwao-'Mashahidi
wa
> Uganda' ndio yatakuwa yanaendelea sasa kwani huko dini
> zote mbili ni strong sana na makardinari wakwanza
wametoka
> huko. Kinachotakiwa kwa sasa kila mtu awe na uhuru wake
wa
> kuabudu. Sali sana katika hekalu lako hata kama
ikibidi
> usali sana mpaka usijue kuwa nguo imekuvuka. Kuna uhuru
wa
> kuabudu-ugomvi wa nini mwenzako akisali wewe ukasirike?
Kuna
> siri gani hapo-anakuharibia nini mpaka uchukie? Mbona
wewe
> ukisali haji kukuharibia vyako au kukudhuru? Ni juzi
tu
> viongozi wa dini pande zote wamekaa kuungana na kuwa
na
> maamuzi ya bapoja ya kudumisha amani wanalipiga ball
> kuonyesha upendo na ushirikiano. Kwa nini tena tuanze
kurudi
> nyuma? kuna nini hapa? Tujiangalie yasije kama yale
> yatokeayo Jamuhuri ya kati ya wadini kuchinjana nyumba
hadi
> nyumba. Tumeoleana, tumechanganya dini na
makabila-tujikanye
> yasitukute hayo. Uhuru wa kuabudu upo kwa nini uchomee
> wengine mahekalu yao na kuwaua? ISIS ndio imeshaingia?
Mungu
> atusaidie tuuone ukweli wa Uhuru sa Kuabudu tuliopewa
na
> Katiba ya Nchi.
>
>
>
> On Saturday, 11
> October 2014, 23:23, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
>
>
> Udini utalitesa taifa
> hili madhali hatuko tayari kuuongelea kwa uhuru.
Tunatambua
> sana makemeo ya viongozi wetu wa siasa huku wakihisiwa
> kuushiriki, na hapa ndipo palipo na tatizo.
Nimesikiliza kwa
> makini kusikia jina la mshukiwa. Nikahisi ni mwanzo
mzuri
> kupita kandoni mwa tatizo.
> Mazishi ya
> Mchungaji Kabuga yalihuzuliwa na Police wengi na habari
juu
> ya mjahidina aliyejifanya kujiunga na kanisa lake na
baadaye
> kumpa sumu tulifikiri zitafuatiliwa. Uamuzi wa familia
na
> waumini kusamehe haikuwa sababu ya serikali kunyamaza.
Ni
> makosa kuyafumbia macho matukio na badala yake
kuwafuatilia
> wanaotoa maoni kama ninayoyatoa hapa na hili natamani
> kulisema tena
> --------------------------------------------
> On Sat, 10/11/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
> wrote:
>
> Subject:
> [wanabidii] TAMKO LA WAKRISTO BUKOBA KUHUSIANA NA
MAUAJI
> PAMOJA NA UCHOMAJI MAKANISA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, October 11, 2014, 9:32 PM
>
> TAMKO LA WAKRISTO
> BUKOBA KUHUSIANA NA MAUAJI PAMOJA NA UCHOMAJI
> MAKANISA
> TAREHE 11/10/2014.
>
> Baada ya tukio la kutisha
> la kushambuliwa kwa washirika na
> hatimaye kuuawa kwa ms
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment