Je, kuna kitu chochote kilichokuwa kimezuia uwajibikaji wakati wa nyongozi za Mwinyi, Mkapa na Kikwete? Na ni maajabu gani unatarajia huyo anayekuja atakuja kuacha taratibu zilizozoeleka?
On Wednesday, 29 October 2014, 10:04, 'eid omari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Safi,very well analysed. umetoa observation inayomyima mtu kuzungumza chochote, i like that, but one thing forgotten, ikiwa unatoa data (45m-1.8m walipa kodi)za namna hiyo jaribu basi kuweka na source pls. Otherwise, i like it.
Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA FORESTY RESEARCH INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX 1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28 276 3249MOBILE:+255 713 728 672FAX:+255 28 276 2198EMAIL:eidomari@yahoo.com
--------------------------------------------
On Mon, 10/27/14, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] RE:Atayenirithi atakuwa bora zaidi yangu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, October 27, 2014, 10:05 PM
Kauli tajwa hapo juu ilitolewa na Jk
alipokuwa ziarani nchini china. Natumai mantiki haswa ya JK
kutoa kauli hiyo sio kwa maana ya kujitweza bali ni katika
kuwatahadharisha watz kuwa waangalie changamoto ambazo taifa
inakabiliwa nazo na kisha waangalie mtu bora zaidi yake
mwenye uwezo wa kupambana nazo.....kwa mtazamo
wangu,changamoto kubwa ya taifa kwa sasa ni uwajibikaji.
Mfano,wakati watz tukiwa million 45,ni 1.8 tu ndio wanaolipa
kodi. Na katika hao ni wafanyakazi pekee ndio waliobebeshwa
mzigo mkubwa wa kodi ya nchi wengi wao wakiwa waalimu.
Makampuni makubwa makubwa mfano migodi ya madini na
wafanyabiashara wao ni misamaha kila uchwao. wakati huo
wafanyakazi wakiwa wamebebeshwa mzigo huo,wafaidika wa kodi
hizo ni wanasiasa,ambao hata malaria tu hugharamikiwa
matibabu yao na serikali nje ya nchi...kimsingi,taifa halina
usawa katika ugawanaji wa rasilimali za taifa na gap kati ya
walionacho na wasiokuwa nacho linazidi kuongezeka. Utegemezi
wa misaada nao umekuwa tatizo mama...na kimsingi miundo
mbinu katika ukusaji wa mapato na utumiaji sahii wa mapato
hayo,haswa vipaumbele vikiwa katika madawa,elimu,lishe nk ni
muhimu kwelikweli...kimsingi taifa kwa sasa linahitaji
Mtendaji..mtu wa maamuzi na mtulivu......kwa maoni yangu mtu
bora kuliko Jk haweZ kuwa january,membe,kigwa na wa
naofanana na hao. Bila kutafuna maneno Lowasa,Mwigulu, na
pinda wanaweza faa....ngupula.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment