Monday, 13 October 2014

Re: [wanabidii] PICHA HILI NI BUSU MATATA LA MHE FREEMAN MBOWE

Comrades;
Nionavyo sipo mbali na Kunyaranyara.
Mtu yeyote uwe kiongozi au lofa kama mimi, lazima uwe na maisha ya kijamii na pia kiutafutaji i.e. kiuchumi n.k. na pia ili uwe kiongozi mzuri inakubidi uwe vizuri katika nyanja tofauti,ili wakati wa kupiga busu upige la ukweli,wakati wa maamuzi stahiki iwe sawia vilevile.
Sasa hapa ubaya uko wapi labda kama walifanya hivyo katika wakati na mahali pasipostahili.
Waswahili bhana, hebu tupunguzeni u-normal and moderate people,tuwe critical many times.Mambo mengine ni ya kawaida sana yanatupotezea muda kuyajadili,ni kheri ufungue inbox ukute hamna kitu kuliko kuanza kutujadilisha mambo km haya.
Labda nikuulize kitu Bwn Mchunguzihuru, umeileta hapa for what purpose and what next?May be sijakuelewa maana yako nisijekuwa mbali bila sababu.
 
Reuben

From: 'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, October 14, 2014 9:29 AM
Subject: Re: [wanabidii] PICHA HILI NI BUSU MATATA LA MHE FREEMAN MBOWE

Mhmmm !!!!!
Haya ni mambo binafsi sana nadhani.....
 
K.E.M.S.

On Tuesday, 14 October 2014, 9:25, "mchunguzihuru@gmail.com" <mchunguzihuru@gmail.com> wrote:

PICHA HILI NI BUSU MATATA LA MHE FREEMAN MBOWE

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment