Saturday, 11 October 2014

Re: [wanabidii] MV VICTORIA YAZIMA MAJINI

Habar zilizopo ni kuwa Meli hiyo imefika Mwanza salama jioni hii
--------------------------------------------
On Sat, 10/11/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] MV VICTORIA YAZIMA MAJINI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, October 11, 2014, 1:30 PM

MV
VICTORIA YAZIMA MAJINIKwa
habari zilizopo mpaka sasa ni kwamba meli ya MV.VICTORIA
inayofanya safari zake kati ya BUKOBA(KAGERA) na MWANZA
katika ziwa Victoria imepata hitilafu na kuzima ikiwa
majini,Kawaida MELI hiyo ilitakiwa kufika Mwanza saa moja
asubuhi,lakini mpaka sasa haijafika Mwanza,Bandari ya mwanza
ni gumzo kuhusu meli hiyo,Ingawa haijathibitishwa
inasemekana meli hiyo imepata hitilafu tangu saa nane
usiku,Haijafahamika ni nini kinaendelea kuhusu meli
hiyo,ingawa kuna taarifab zinadai meli hiyo imelazimika
kurudi Bandari ya KEMONDO,Tafadhali mwenye taarifa zaidi
atusaidie kuondoa taharuki iliyopo sasa,Kwani zaidi ya
Abiria mia nane(800) wamo ktk meli na Ubovu wa meli hii
umelalamikiwa mara kadhaa.....Mwenyezi mungu atukinge na
majanga




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment