Hivi kwanini mgonjwa mmoja wa Ebola asitusaidie kuambukiza viongozi wetu kama sita hivi?
--------------------------------------------
On Fri, 10/24/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akana kuwepo mgonjwa wa Ebola
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, October 24, 2014, 9:19 AM
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Leonidas Gama amekanusha uvumi
ulioenea kuwa yupo mgonjwa wa Ebola mkoani humo.
Akizungumza
na mwandishi wa habari wa Redio Sauti ya Injili katika
kipindi cha Dira kilichosikika hewani baada ya saa mbili
usiku wa Alhamisi, Oktoba 23, 2014, aliyemwambia kuwa
zipo taarifa kuwa yupo mgonjwa amegundulika na dalili za
ugonjwa wa Ebola huko Shirimatunda, Mhe. Gama amesema,
"Msiwashituewatu bila sababu, hakuna
Ebola"
Mwandishi:
"Sasa anaumwa nini hyo mgonjwa kama siyo
Ebola?"
Gama:
"Ana magonjwa ya kawaida. Unajua mtu unaweza kuwa na
Malaria ukazidiwa, basi jibu la haraka kwa sababu
inawezekana ni mtu wa nje, watu wanasema Ebola… ni majibu
mepesi."
Mwandishi: "Sasa
kwa nini apelekwe Shirimatunda kama hana Ebola?"
Gama:
"sasa hiyo waulize Waganga, lakini mimi nina uhakika
taarifa zao ni kwamba hakuna mtu ana Ebola"
Mwandishi:
"...taarifa ni kwamba kile kituo wamekiandaa kwa ajili ya
kuhifadhi wagonjwa wa aina hiyo, na ndiyo maana wamemtoa
moja kwa moja kutoka Uwanja wa Ndege wakampeleka
Shirimatunda."
Gama:
"Hapana, si kweli. Usiwe na wasiwasi. Si hata wewe ukitiwa
wasiwasi kuwa una kipindupindu, si kwamba ndiyo una
kipindupindu? Unajua suala la tahadhari siyo kwamba ndiyo
ukweli. Ni tahadhari. Maana yake, unaweza ukachukua
tahadhari kama kuna mtu ana wasiwasi. Kama unatiliwa
wasiwasi kwamba huyu bwana anaumwa kipindupindu, lazima
wamwangalie je, ana kipindupindu kweli? …kumwangalia
kipindupindu siyo lazima awe na kipindupindu."
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment