Dr tunakawaida ya kuhukumu mapema hivyo?
--------------------------------------------
On Fri, 10/24/14, Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MHESHIMIWA SHYROSE BHANJI AIDHALILISHA TANZANIA
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, October 24, 2014, 12:50 PM
Halafu na wewe
unamuita 'mheshimiwa' tena?
2014-10-23 17:56
GMT+03:00 <mchunguzihuru@gmail.com>:
Shyrose
Bhanji kazua balaa kwenye Bunge la EAC huko Kigali jana na
leo! Walioandika trh 8 kwenda Brussels kwenye Bunge la EU
members wote wa Tume yao na Wenyeviti wa Kamati. Wakiwa
safarini kwenda ndani ya ndege sijuwi kukosa ile lishe
aliyoizoea? Akawa anakunywa kama kichaa! Crews wakamzuia
kuwa kwakuwa ndege ni ya mchana asinywe kupitiliza. Akaanza
kutukana crews matusi yote unayoyajua!Akawaambia
hawajuwi kama yeye ni mbunge wa EAC? Akaanza kufanya fujo
ndani ya ndege, akachukua
chupa akapasua! Hapa security ndani ya ndege wakamkamata na
kumtia pingu! Maneno yakawa yanamtoka ovyo. Wenzie
walipojaribu kumtuliza wa kutoka Rwanda na mwingine Uganda
(names withheld) akawageukia, tukana hadi marais wao hya
kutosha! Hapo walikuwa juu ya anga ya Cairo.Pilot akakataa kuendelea na
safari akataka kushusha ndege Cairo. Walimsihi sana Pilot
ndio akakubali kwa masharti Shyrose adhibitiwe!Walipofika
Brussels vituko havikuishia hapo. Kwenye mikutano
anabwabwaja ovyo. Mbaya zaidi akaandika ki-note na kukiweka
mgongoni ili walio row ya nyuma yake wakisome. Kiliandikwa
kuhusu yule mbunge/Waziri wa EAC aliyefariki kuwa amekufa
kwa UKIMWI, na kwa kuwa amelala na Wabunge wanawake wa EALA
(kawaandika majina kwenye ki-note) nao wana UKIMWI kwa kuwa
wanaumwa mara kwa mara.Wakamaliza ziara
ambayo hata Spika wa EALA alikuwepo, Wabunge toka Tz
waliokuwepo pamoja na Shyrose ni Kimbisa na Angella Kizigha;
kwa rekodi mbaya!Sasa Bunge la EALA
limeanza vikao juzi, jana Bunge limevunjika, hawataki
kujadili Miswada wala nini hadi Shyrose ajadiliwe Bungeni
kwa mambo ya aibu aliyoyafanya ktk ziara hiyo. Bunge
likavunjika!Leo asbh kulikuwa
na kikao cha House Business, ambacho kwa huku Bongo ni kama
Kamati ya uongozi. Agenda ni Shyrose na kuvunjika kwa Bunge
jana. Kikao kimevunjika na Wajumbe wote wamejiuzulu!
Wanasema kwanini Spika hakumkemea Shyrose alipofanya ujinga
kwenye ndege? Kwanini hamuwajibishi kwa kumfukuza Bungeni
ilhali anajua sifa zote mbaya za Shyrose tangu ameingia
EALA? Sasa hivi wote wamejiuzulu na sasa si tu wanataka
Shyrose afukuzwe bali na Spika ajiuzulu mara moja!Wajumbe wanadai
walipojitoa na kujiuzulu, Spika peke yake hajajitoa, hivyo
naye aende na maji! Yaani hakuna kinachoendelea, Wabunge
wanasema Bunge halitaendelea wala kufanyika hata kwa miaka
10 ijayo hadi Shyrose na Spika waondoke!Hii ni aibu kubwa
kwa nchi yetu! Kila Shyrose anapopita hukosi kusikia
kapigana, kagombana, katukana au kufanya mambo ya aibu! Hapo
EALA kagombana na watu wengi kuanzia Wabunge wenzie hadi
staff.Nitaendelea
kuwajulisha kinachoendelea. Vilugho mnyetishie ta
Nanka.Fuatilieni website
ya Eac na ile ya Bunge lao huwa wapo live www.eala.orgMajanga!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment