Ngupula,
Niliwahi kukuuliza kama una maslahi yoyotena mgombea unayemuuza sana ukasema huna, sasa kwa nini unamshambulia sana Membe kuliko wote waliojitangaza kuutaka huo urais dhidi ya tu wako? Au Benard anawatia hofu sana kuliko kina Kigwa na wenzake?
Naanza kuona Membe anaweza kuwa na kitu cha maana dhidi ya mgombea wako ndiyo maana mnatumia muda mwingi kumpaka matope. Kama alivyosema Diamond mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe, inabidi tumuangalie vizuri BM aweza kuwa mti wa matunda ndiyo sababu za kumpiga mawe
On Saturday, October 11, 2014 1:52 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kweli kabisa ndugu yangu Mollel,kumpambanisha lowassa na membe ni kumuonea Membe...ndio maana Jk hawezi kumpa wizara zaidi ya hiyo aliyompa ambapo anajua ndio wizara ya kupumzikia. ,yupo mtu wanayemuita sokoine wa pili (Mwigulu Nchemba)huyo ndio angalau unaweza ukasema unawapambanisha..lowassa na membe ni sawa na profesa wa chuo kikuu na msanii,halafu unatafuta mwalimu wa university...ngupula
'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
ofcourse yes
Utendaji wa hawa mabwana wawili ni sawa na kuwapambanisha samba na pundamlia, kwahy lowasa na Membe? Lowasa jembe hata mh Jk alishatamka jamani mbona hamkumbuki records zake za uwazir mkuu wa 3 years tu, Mh membe na uwazir wake huo hadi leo ubalozi wa Italy tu umemshinda, jimbo lake na mtama kilio daily? Nendeni mondoli maji kuwa jangwani ni maajabu, wafugaji kule wanasema hivi ukimsimamisha jiwe uliite Lowasa na mtu mkubwa mwenye jina kubwa pale jimboni wako tayar kulipia jiwe kura than huyo mtu, hili ni jiwe na burudoza la kaz
Msijaribu kuwapambanish , MANENO SI MATENDO
On Friday, October 10, 2014 11:59 AM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
ndupula nakuunga mkono, tumeshachoka na porojo tunataka mchapa kazi.
On Oct 10, 2014 8:04 PM, "'Ngupula GW' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hayo ni mawazo yako msee,kuna tofauti ya usanii wa kujieleza,na uwezo wa kiutendaji..uwezo wa kiutendaji ni record ya mtu...sisi wengine huwezi ukatuambia utamnyang'anya simba kitoweo wakati ukimuona panya unakimbia...tatizo la uongoz wa tz sio sera wala mipango,ni usimamizi wa utekelezaji wa mipango mizuri iliyopo ili kuleta tija...na ukweli ni kuwa,kama lowassa ni mzee basi mbadala wake hawezi kuwa Membe bali ni Mwigulu Nchemba...kumbukeni ni record ya utendaji katika kuleta tija...ngupula...
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Dawa ni kuwapambanisha kwenye Mdahalo. Hapo ndipo atakayeonekana mwenye sera za maana na ambaye amepitwa na wakati.
>Ukimtaja humu utashambuliwa na nyigu Lakini mdaahalo utaonyesha usee wa ndani ambao unaonekana na nje sasa
>--------------------------------------------
>On Fri, 10/10/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, October 10, 2014, 8:46 AM
>
> Raia Mwema: Kuna mazungumzo miongoni mwa viongozi wa CCM na
> serikalini kwamba Membe anatajwa na Edward Lowassa kuwa
> ndiye adui yake mkubwa au kwa lugha nyingine, ndiye mchawi
> wake kisiasa. Madai haya unayazungumziaje? Ni
> kweli?
>
>
> Membe: Unajua katika masuala haya ya siasa, wapo wanaoamini
> kwamba ni lazima uwe na maadui wa kisiasa. Inawezekana
> kujitokeza misimamo ikatofuatiana kuhusu masuala fulani ya
> msingi katika mambo haya ya uongozi wa nchi na hasa nchi
> ambayo bado iko kiwango fulani cha umasikini kama
> Tanzania.
> Mimi nimekuwa nikiamini katika kuongoza kwa misingi
> ya ulinzi wa raslimali za nchi, maadili yanayojenga uongozi
> bora na imara pamoja na kulinda, kutetea na kupigania hadhi
> ya nchi yetu popote duniani.
> Mtu ambaye pengine haamini katika misimamo hiyo kama
> yangu, si ajabu akatajwa kuwa ni adui yangu kisiasa, kwa
> sababu viongozi wenzangu wengi wanajua ninachokiamini na
> hata Rais Kikwete naye anajua ninachokiamini --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment