Sunday, 12 October 2014

Re: [wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE

Nasi Watz kwa sasa tunazungumzia 50% kwa 50% kwa ngazi zote za maamuz,lkn ningependa wote tutie ufahamu kuwa:ingawa wote tunakuwa influenced na personal feelings wakati wa kufanya maamuzi fulanifulani,basi kwa wanawake hilo ni tatizo kubwa mno...they hardly strike a balance in decision making...and this is their destiny,there is no way can change ingawa ukubwa wa tatizo hutofautiana kati ya mtu na mtu.
...nikijua hivyo,binafsi sitegemea any true positive comment kutoka kwa dada huyu as regards to Chadema interests hata iko obvious kiasi gani coz it seems she was hurt somewhere by the party....ngupula.

"'Lilian R. Kallaghe' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

This is what I call 'gender insensitive' ! Shame!

Sent from my iPad

On Oct 9, 2014, at 4:01 PM, "'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Comrades;
Inaweza kuwa ulevi wa sifa,sasa tembo analitia maji.
Nakumbuka Dada Happy alipokuwa anaanza kazi Chuoni aliko sasa alipewa sifa nyingi sana sasa may be anaona kamaliza.
Kitu ya msingi zingatia ushauri uliopewa otherwise the otherwise can ruin you Happy.
 
Reuben


From: mngonge franco <mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, October 9, 2014 3:01 PM
Subject: Re: [wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE

Huyu Happy Katabazi naona anatafuta umaarufu asiyouweza. What kind of nonsenses? Nimesoma makala zake kama tatu mfululizo naona no substance. Mwanzo nilifikiri ni kwa bahati mbaya lakini baada ya kuisoma na hii basi sina sababu ya kupoteza muda wangu kusoma makala zake. Mara tulia uzae, yeye kazaa? Kuzaa ni jambo la hiari wala si lazima hivyo hana sababu ya kuanza kuzun gumzia maisha ya mtu binafsi kama anapenda hayo basi wadadavuzi wa maisha ya watu watatwambia kuhusu yake (Happy) aone kama itapendeza.

2014-10-09 14:43 GMT+03:00 Makaveli Markus <jikomboe@gmail.com>:
Kuna mahali unapotea dada yangu Happy, ila hujagundua. Kuwa mwangalifu sana, fanya kazi zako kwa usahihi, usiingize matope kwenye maisha yako.

Kuna njia za kuzuia kukaribisha uchafu maishani, hata kama kuna tofauti binafsi na taaisi iliyowahi kukuajiri. Suala la KUZAA sio LAKO nadhani angekuteua kuwa MSHAURI wake. Kila mtu anazaa kwa matak

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment