Monday, 13 October 2014

Re: [wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE

Happiness Katabazi, hivi huji Rais Kikwete ni Rais wa watanzania wote akiwemo Halima Mdee ambaye ni dhahiri kabisa umeamua kumtukana kadiri uwezavyo na kwamba hata yeye ana haki ya kumwona na kumweleza concerns zake? Kumbe wewe una mawazo mgando kwamba kwa kumwona  tayari rais ni hawara wa Halima mdee? Kusoma kwako sharia kwa kubeepbeep hapo University of Bagamoyo ndo kunakufanya umkosoe hovyo hovyo huyu msomi makini wa sharia University kongwe ya DAR? huna hata haya, na wewe lazima utafell tu hapo UB, labda uvue unachoweza kuvua hapo UB ndipo upewew hiyo degree maana naona uwezo wako wa kutafakari ni mdogo sana, huwezi kusoma sharia. Unadhani Halima mdee ni mtu wa kukurupuka kama wewe? Wewew ulijiliza kwenye msiba wa Dr. Mvungi ukimwita ni mumue bila kujali kuropoka kwako kungeumiza kwa kiasi gani mkewe na familia yake yote. Unadhani Mdeenaye ni vuvuzela kama wewe? Mwisho nakuomba kama una bif na Halima mdee mtafute ukabiliane nae uso kwa uso siyo kutuletea fyongo na utumbo wako hapa mtandaoni. Nashauri uondolewe kwenye mtandao huu maana unatuletea giza tu. Sheria hujui lakini kila siku unajipambanua hapa mtandaoni kama mtui unayejua sana sheria. mbona sisi magwiji wa sharia hatubwabwaji kama wewe tupo kimya tu tunakuchora unavyojikanyagakanyaga na hicho kiduchu sana unakijua? mama Nkya alikwambia uwaone wataalamu wa sharia wakupike uive lakini nafikiri hata kufundishika kwako ni kugumu sana kwa jinsi ninvyoona haya makala yako marefu lakini hayana ncha nzuri. Ncha zake zote ni butu. Mara ya mwisho nilikushauri kwamba fani zipo nyingi, siyo lazima usome sharia hapo UB, you may change your course since I find that it will be very impossible for you to make a lawyer. we ni kanjanja tu na hiyo ndo inakufaa.  To be a lawyer one needs to very careful in each statement comes from his or her mouth. KATABAZI CONTROL YOUR MOUTH AND YOUR PEN.  IT'S I, LEONARD ELIAS MAGWAYEGA, BOB LEO. 


On Thursday, October 9, 2014 12:00 PM, 'lucas haule' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Sifa za mwanamke
Hujua hangaiko la awapendao
Hukubali kubeba wafalme na watwana.
Wamnynysao huwabeba tumboni nao wakaja kumfanyia ukatili
Hutoa machozi penye maumivu, lakini hulia penye uchungu.
Wakati wa vita ukumbia na wake wana, wala hawatupi kumwogapa mwindaji.
Hachagui furaha kwenye raha, tena hujua tofauti zake.
Maumivu huyahimili ili badiliko la kesho lifike.

Mwanamke mpumbavu
Atasifi saa na kifua cha mwanamume
ataangalia mali kama chanzo cha raha zake
Hawezi onja furaha kwasababu haimoni moyoni mwake
Huguswa haraka na huondoka haraka kwenye mguso
Hajui hayawani wala mwana wa Mungu
Hupelekwa na jamii hasa hadaa za macho.


Na kila mtu ajifunze kwa neno hili.
--------------------------------------------
On Thu, 10/9/14, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, October 9, 2014, 11:35 AM

Hahah akina mama mandela hawajui
kaona akina mdee kuandamana kosa
On Oct 9, 2014 3:27
AM, "'lucas haule' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Bibi
Titi Mohamed

Mwania - Mwite Bibi Kaloloma

Hao ni wanakwake walioambiwa huyasemayo miaka 56 iliyopita,
leo yanasemwa na kijana msomi.

Narudi

--------------------------------------------

On Thu, 10/9/14, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
wrote:



 Subject: [wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Thursday, October 9, 2014, 11:07 AM



 HALIMA

 MDEE,TULIA UZAE

 Na Happiness Katabazi

 MAKUNGWI na wanawake waliotuzidi umri upenda Kuwaasa
watoto

 wa kike hususani wale walitimiza umri halali wa
kuingia

 Kwenye mahusiano hususani Kwenye ndoa Kuwa :'

 Mwanamke yeyote aliyekamilika kuitwa mwanamke na
aliyefundwa

 anapaswa kufanya vurugu, utundu chumbani wakati akiwa
na

 mumewe au Mpenzi wake wakifanya tendo la ndoa
'.Nimelazimika

 kutumia Msemo huo wa Makungwi kwasababu , kwa zaidi ya
wiki

 Moja sasa tumeshuhudia Mwenyekiti wa Umoja wa
Wanawake

 (BAVICHA) Halima Mdee (35) akifanya vurugu na
kupingana na

 amri halali za Jeshi la Polisi Mkoa Kanda Maalum ya
Dar es

 Salaam.Kamanda

 wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
alitangaza

 kuyapiga marufuku maandamano yaliyokuwa yameandaliwa
na Mdee

 lakini Mdee na wenzake waliipuuza amri hiyo ya Kova
na

 mwisho wa siku Oktoba 4 Mwaka huu, Mdee na wanawake
wachache

 wa Chama hicho walijaribu kuandamana wakaishia

 kusambaratishwa na Polisi na Kukamatwa kupelekwa
Katika

 Kituo Cha Polisi OysterbayOktoba

 6 Mwaka huu, Mdee na wenzake wakafunguliwa Kesi ya
jinai

 mbele ya Hakimu Janeth Kaluyenda, Wakili wa Serikali
Mkuu,

 Bernard Kongola alidai Mbali na Mdee washitakiwa
wengine ni

 Rose Moshi (45), Renina Peter 'Lufyagila',
Anna

 Linjewile (48), Mwanne Kassim (32), Sophia Angel
(28),

 Edward Julius (25), Martha Mtiko (27) na Beatu Mmari

 (35).Kongola

 alidai kuwa washtakiwa hao Oktoba 4, 2014, wakiwa Mtaa
wa

 Ufipa, walikiuka amri halali ya kutawanyika
iliyotolewa na

 Mrakibu wa Polisi (SP), Emmanuel Tillf kwa niaba ya
Jeshi la

 Polisi kitendo ambacho ni kinyume na Kifungu cha 124
cha

 Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 iliyofanyiwa

 marekebisho mwaka 2002.Katika

 shtaka la pili, siku hiyo ya tukio katika eneo hilo,

 washtakiwa hao wanadaiwa wote kwa pamoja , walifanya

 mkusanyiko usio halali kwa lengo la kutembea kwenda
kwenye

 Ofisi ya Rais Ikulu .Alidai kuwa kosa hilo ni kinyume
na

 Kifungu cha 74 na 75 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu,
Sura ya

 16 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.Na

 washitakiwa Hao walikana Mashitaka ila Masharti ya
dhamana

 walishindwa kutimiza,Mahakama ikaamuru wapelekwe
gerezani

 hadi Jana walipopata dhamana.Kesi

 hiyo ikaairishwa hadi Oktoba 21 Mwaka huu,itakapokuja

 kwaajili ya washitakiwa hao kusomewa maelezo ya awali

 kwasababu upelelezi wa Kesi hiyo umekamilika.Mdee

 ni msomi wa Sheria na nimiongoni mwa wanasiasa
wachache

 vijana wenye ujasiri wa kujitokeza hadharani kukataa
jambo

 ambalo yeye anafikiri jambo Hilo halina maana.Mimi

 Nampongeza kwa kipaji hicho tu Cha uthubutu wa
kujitokeza

 hadharani Mara kwa Mara kupinga licha Mimi binafsi
wakati

 mwingine uwa sikubalini Sababu zake nyingine
anazotumia

 kupinga jambo Fulani.Lakini

 nitajisikia vibaya Kama sitampongeza Mdee ambaye ki
umri

 tupo sawa ,kwa kuweza kuchaguliwa Kuwa Mwenyekiti wa

 BAWACHA.Hakika

 ameandika historia ya kijana mwenye umri Kama wake
kuaminiwa

 na Chama Chake kupewa nafasi hiyo ambayo a anaongoza

 wanawake ambao ni wanachama wa CHADEMA ambao wengine

 wamezidi yeye na mama yake umri.Hongera Mdee kwa
ushindi

 huo.Maana

 matendo mengine anayoyatenda ya kuamasisha vurugu,
uzushi ni

 wazi kabisa anaonekana ni mwali 'msungo'.
Yaani ni

 mwanamke ambaye hajafundwa Mafundo ya kike au kama
alifunda

 basi anayapuuza.Anachokifahamu

 yeye ni Mafunzo ya darasani na siasa chafu za ugovi
ambazo

 zikazidi kumshushia heshima yake Kwa Wapiga kura wake
wa

 jimbo la Kawe, Jamii ya wapenda ustaharabu, Amani na
Utawala

 wa Sheria na wasomi.Kinachonikera

 kwa Mdee hii tabia yake ya kufanya 'Usela
Mavi'

 wakati amelelewa Katika familia ya wasomi Kwani baba
yake ni

 msomi na Mdee Mwenyewe amepata fursa ya kusoma shule
lakini

 tunamshangaa a ataenda matendo ambayo hawapaswi
kutendewa na

 mtu Kama yeye.Mdee

 ni msomi wa Sheria na msomi yoyote wa Sheria, Mwaka
wa

 kwanza wa shahada ya kwanza ni lazima ufundishwe somo
la

 Criminal Law ambalo somo Hilo mwalimu pamoja na mambo

 mengine anatumia Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16
ya

 Mwaka 2002 ( Penal Code).Na

 hiyo Sheria inaweka wazi makosa mbalimbali kwa Kifungu
kwa

 Kifungu Mdee amelisoma na kufaulu somo Hilo na
anafahamu

 Kuwa ndani ya Sheria Hilo Kuwa kuna kosa la kukaidi
amri ya

 Jeshi la Polisi, kufanya mkusanyiko haramu Adhabu zake
ni

 zipi.Lakini

 Mdee ambaye amekuwa akijitapa eti yeye ni Mwanasheria
mzuri

 ndiyo amekuwa miongoni mwa wasomi wa Sheria ambao

 ameshitakiwa Kutenda matendo ya kuvunja Sheria wazi
wazi kwa

 kukaidi amri ya Jeshi la Polisi iliyokuwa ikimtaka

 asiandamane kwa Kigezo eti Rais Jakaya Kikwete
ameamualia

 Ikulu.Nimuulize

 Halima hivi Rais Kikwete ni Hawara yako,ndigu yako
hadi

 mkutane sehemu huyo Kikwete akupe mualiko uende Ikulu
,wewe

 na hao wafuasi wako bila Katibu wa Rais kujua mualiko

 huo?Rais

 ni Taasisi kwa wale tunaofahamu, hivyo huwezi
kujikurupukia

 tu ukaamka Leo ukachukua kundi la wahuni wenzio na
mabango

 juu ukasema unaenda Kumuona Rais Ikulu eti Rais
Kikwete

 amekupa Mwaliko?Kama

 siyo kumsingizia Rais na kumchonganisha Rais Kikwete
na

 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ni kitu
gani?

 Maana Kama Rais Kikwete alikualika kweli.Si haraka
sana Rais

 angetengua amri ya Kamanda Kova ya kuwazuia msiende
kumuona

 Ikulu?Unafikiri

 ni kwanini amri ya Kova iliendelea kubaki Kama ilivyo?
Jibu

 ni Jepesi tu ,Halima ni muongo, Mzushi na aliyekuwa
anataka

 kujipatia umaarufu wa kijinga Kuwa eti Mwaliko wa
Rais

 Kikwete amemwalika Ikulu.Alichokuwa

 akikitafuta Halima ni kutaka kujionyesha yeye ndiyo

 Mwenyekiti Mpya wa BAWACHA na kwamba ni ngangari kweli
kweli

 kuliko Mwenyekiti aliyepita Suzan Lyimo na hivyo

 anaushawishi mkubwa wa kuweza kuwashawishi wanachama

 wanawake wa Chama hicho waweze kuandamana mwisho wa
siku

 sifa anapata Halima Kuwa ni mwanamke Shujaa na
aliogopi

 jeshi la polisi, Kumbe ni Ujinga mtupu.Kama

 Mdee kweli wewe uliogopi Jeshi la Polisi kwanini ile
Oktoba

 4 Mwaka huu, mlivyo andamana ,Polisi ilivyo watawanya

 ,kwanini wewe uliogopa ksago utakimbia Kwenda
kujificha ili

 kukwepa kipondo Cha Polisi?Kama

 wewe ni Shujaa kweli kwanini Oktoba 7 Mwaka huu,

 ulipofikishwa Katika Mahakama ya Kisutu kwanini
uliyakana

 hayo Mashitaka?Maana

 Kabla hujafikishwa mahakamani ulikuwa ukijigamba
kupitia

 vyombo Vya Habari Kuwa kuandamana ni Haki yako na
hutakiwi

 kuomba Kibali?Kama wewe ni Shujaa kwanini ulikubali
kupewa

 dhamana?Shujaa

 au kamanda gani anaogopa kukaa gerezani kweli licha ni
kweli

 dhamana ni Haki yako ?Ningekuona Wewe ni Shujaa kweli

 usingeomba dhamana ungesema upo Tayari kwenda kukaa
gerezani

 ili ukiwa gerezani pia huweze kutoa hoja zako kwa
mahabusu

 wa kike zinazohusu msimamo wako na Chama Chako Cha
kuipinga

 Katiba iliyopendekezwa Bunge na kujua matatizo

 yanayowakabili.Kamanda

 gani akiona kilungu Cha Polisi na Gari za Maji ya

 kuwasha'Kikojozi' Ana kimbia?Unatakiwa ukae
upambane

 na Polisi Kwani ulijigamba licha Polisi imekataza
maandamano

 yenu ,wewe na wanachama wako mtaandamana.Halima

 Tanzania hii unayoiona hivi sasa watu wanaishi kwa
amani

 tofauti na nchi za wenzetu , Elewa Kuwa Kuwa watu
walipoteza

 Uhai wao,Jasho Lao wakaijenga nchi hadi Leo hii wewe

 umeikuta,ukasoma, umepata madaraka ambayo ya kulevya
hadi

 unaanza jeuri ya kukaidi amri ya Jeshi la Polisi na
kuwa Ana

 aliwataka wanachama wenzako wafanya vitendo Vya
kuvunja

 Sheria.Mamlaka

 husika hazitakuacha ufanye huo uhuni wako ambao
mwanamke

 yeyote mwenye haiba ya kike hawezi kufanya .Na

 Mbaya zaidi ulichokuwa ukikipigania Cha kutaka Rais
Kikwete

 asipokee Katiba iliyopendekezwa na Bunge hujafanikiwa
Kwani

 Jana jioni Kikwete na Rais wa Zanzibar Dk.Mohamed
Shein

 wameipokea Katiba kutoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa
Bunge

 Maalum la Katiba, Samuel Sitta na tumemshuhudia Rais

 alishindwa kuficha hisia zake na akajikuta akitamka
zaidi ya

 Mara mbili kwamba anayofuraha sana sana kuona tendo
Hilo la

 Kihistoria ilifanyika chini ya uongozi wa serikali
yake na

 akasema kabisa Katika ile ni nzuri sana na
awashawishi

 Watanzania waipigie kura ya ndiyo.Ila

 Kwa mwanamke ambaye Hana haiba ya kike na Mwanamke
ambaye

 hajithamini na atambui mambo yapi mwanamke afanye na
mengine

 asifanye ,atayafanya Kama wewe Halima ambaye
tunakuhesabu ni

 msomi,kiongozi lakini unashiriki adharani Kutenda
matendo ya

 kuvunja Sheria.Kiongozi

 yoyote mzuri anatakiwa awe ni mfano wa kuwaongoza
wafuasi

 wake wafikie malengo waliyoyakusudia, sasa Mdee ambaye
ni

 kiongozi lakini unawaongoza wafuasi wako waende njia
isiyo

 sahihi kwa kishiriki vitendo vya uvunjifu wa sheria
na

 matokeo yake mmeishia kushitakiwa na kulala Gerezani
na

 kujitia nuski.Halima

 tambua kuwa hata kama mwanamke awe na fedha ,mali
,madaraka

 kiasi gani bado mwanamke anatakiwa hajiheshimu na
afanye

 matendo ambayo mwanamke anatakiwa atende .Siyo

 mwanamke asimame hadharani atende matendo ya kihuni
huni

 ambayo tumezoea kuona yanatendwa wanaume wahuni wahuni
au

 wanawake wahuni wahuni tu ,Kama wewe
ulivyotenda.Labda

 ni mwambie Mdee vitendo hivyo vya ukahidi na Kauli
ambazo

 hazikawii kutolewa kwenye kinywa Cha mwanamke mwenye
haiba

 ya kike,Hupaswi kujifanya.Wanaopaswa

 kufanya matendo Kama hayo ni baadhi ya wanawake kama
Asha

 Ngedere, na wanawake wengine ambao kufanya vitendo
vya

 kihuni, kusutana na wengine hadi wameunda vikundi

 vinavyokodisha kwaajili ya kuchamba watu, ambao
wanawake hao

 wanaofanya vitendo hivyo vya kihuni wanapatikana sana
huko

 uswahili mitaa ya Mburahati Madoto, Kigogo Luhanga,

 Mburahati kwa Binti Kahenga ,vurugu ndiyo sifa zao
tena

 wanaona fahari kuona watoto wao wanafuata nyayo za
mama zao

 za kufanya vitendo Vya kihuni na kishenzi.Halima

 Hupaswi kufanya vitendo vya uvunjifu wa sheria na vya
kihuni

 huni, waachie wakina Asha Ngedere , wewe unapaswa hivi
sasa

 ukae katika ofisi mpya ya Bawacha , ubuni mipango
yako

 yakuwaletea wanachama wako na taifa maendeleo kwa
njia

 amani.Una

 mambo mengi ya kufanya siyo kuanzisha maandamano
haramu

 .Hivi kweli unashindwa kuketi kitako ukaanzisha hata
taasisi

 yako binafsi ,Ukaanda harambee za kuchangia kutokomeza
mimba

 za utotoni, au kufanya utafiti wa nini kwanini
wanawake

 wengi wanashambuliwa na ugonjwa wa UTI na mambo

 mengine,ukaalika watu wenye Fedha zao wakashiriki
harambee

 wakachangia Fedha utapata za kuendesha Programu
hizo?Lakini

 umeama kujigeuza Kituko Mbele ya Jamii ya wanawake

 wastaarabu ya kushiriki kushinikiza kufanya
maandamano

 haramu. Kama Fedha, madaraka unayo.Tatizo Lako nini
Mdee

 hadi unaamua kushiriki vitendo hivyo Vya kihayawani
ambayo

 bins kushushia heshima?Umri

 ndiyo huo una unazidi kukutupa mkono na ukae ukijua
hivyo

 vitendo vya 'Usela Mavi' unavyofanya mwina
mwisho

 wake.Ebu

 Mdee achana na usela Mavi , anza kuweka fikra na
matamanio

 ya siku Moja na wewe uitwe mama wa Fulani.Mshirikishe

 Mungu Katika matamanio hayo ,Mungu atakupa mtoto na

 ukishampata mtoto ni wazi utakuwa busy sana na
kuangaika na

 mambo ya mtoto na familia yako kwa ujumla na
utajikuta

 unaoendokana na vitendo hivyo Vya kihuni ambavyo
mwanamke

 mkorofi akisha bahatika kupata mtoto wake anaachana
navyo

 Kwani anaona aliendelea anavyo anakuwa kama
anamdhalilisha

 mtoto wake.Achana

 na wazimu huu unaoufanya wa kujifanya wewe ni jike
dume,

 umesababisha watu kuanza kuhoji Kuwa Mdee ni mwanamke

 kweli?Anaujua uchungu wa Mwana?Na je Halima
amebahatika

 kupata mtoto?Na

 Wengi wanahoji hivyo kwasababu wanasema wanashangaa
na

 kujiuliza kuwa hivi Mdee alishawahi kubeba mimba na
akalea

 mtoto na kuitwa mama hawezi kufanya hayo
anayoyafanya?Wanajiuliza

 Mdee ni mwanamke wa aina gani ambaye hana uchungu
hadi

 anaamasisha wanawake wa Chadema waandamane Katika
maandamano

 haramu ambayo wanaenda kupigwa ma Polisi na
kufunguliwa Kesi

 mahakamani na hadi wakalala gerezani siku Moja?Na

 wengine wa nadiriki Kusema Mdee pamoja na usomi wake
na

 madaraka aliyonayo ,anaitaji kutafutiwa Makungwi kama
Bibi

 Hindu, Bibi Chau wamfunde ili ajue mwanamke anatakiwa
aweje

 ,avae mavazi gani, na vitendo gani afanye Mbele za
watu na

 vipi afanye.Maana

 licha ya madaraka na usomi aliyonayo,wakati mwingine

 tunamshuhudia akitenda na kuongea mambo ambayo
mwanamke

 aliyefundwa kuwa mwamke na kuwa kiongozi , hapaswi
kuyatenda

 Kama ya kupayuka payuka ovyo ovyo tena wakati mwingine
kwa

 hoja zisizo na mashiko.Kuna

 wanawake wako Tanzania mashughuli dini Kama Dk.Asha
Rose

 Migiro, Profesa Anna Tibaijuka na wengine Wengi,
huwezi

 kuwasikia wakifanya vitendo Vya kihuni huni na vya

 kuamasisha watu Wavunje Sheria.Wao ubishina Kwa hoja,

 ustaarabu.Bado

 namkumbuka aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake
ya

 Chama cha Tanzania Labour(TLP), Getrude Pwila Enzi
zile Mkuu

 wa Jeshi la Polisi, IGP- Omar Mahita.Kwa

 mama huyu alikuwa ni rafiki yangu nalilikuwa naandika
Habari

 za Chama Cha TLP kinachoongozwa na 'mume wangu wa

 zamani', Agustine Mrema.Pwila

 alikuwa ni mwanamke machachari sana kila uchao
alikuwa

 akiwaamasisha wanawake wa TLP waandamane Katika
maandamano

 haramu hadi Wizara ya Mambo ya Ndani huku wakiwa
wamevua

 Fulana wamebaki na Sidiria tu na walikuwa wakiaa nje
ya ya

 Wizara ya mambo ya ndani tangu asubuhi hadi jioni
wakitoa

 maneno ya kulikashfu Jeshi la Polisi, Rais aliyekuwa

 madarakani, Benjamin Mkapa na aliyekuwa Msajili wa
Vyama Vya

 Siasa, Mahundi.Na zoezi Lao la kubaki NA Sidiria
walijifanya

 zaidi ya Mara tano Kipindi kile Cha Miaka 2002-
2004.Mimi

 ,Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Jocye Mmasi
tulikuwa ni

 miongoni mwa waandishi tuliokuwa tukishiriki
maandamano hayo

 na kuandika Habari.Leo hii Pwila amepotea Katika
ulingoni wa

 siasa, hasikiki tena na ukizungumza naye anajutia
kitendo

 kile alichokuwa akijifanya cha kuongoza wanawake wa
TLP

 kuvua nguo na kubaki na Sidiria pale nje ya Makao
makuu ya

 Jeshi la Polisi na Wizara ya Mambo ya Ndani.Sasa

 na wewe Mdee ukae ukijua wewe ni Kama una beep tu,
hata

 hujamfikia Pwila Kwani Pwila alikuwa anaushawishi
mkubwa kwa

 wafuasi wake walishapigwagwa sana Polisi lakini mwisho
wa

 siku walipokuja kutambua uhuni ule waliokuwa
wakiufanya

 kwanza ulikuwa ukiwadhalilisha wao wenyewe
binafsi.Walikuja

 kubaini wao kama wanawake wa TLP walichokuwa
wakikipigania

 kwa njia ya maandamano haramu eti jeshi la Polisi
lina

 mnyanyasa Mrema ni batiri .Waliachana

 na vitendo hivyo na ndiyo ikawa Chanzo Cha umoja wa
wanawake

 TLP kusambaratika na wanawake Wengi kaumua kuiama TLP

 kwasababu ya kubaini Pwila alikuwa alikuwa alikuwa

 akiwaongoza Kutenda vitendo Vya Uvunjifu wa Sheria
ambavyo

 mwisho wa siku walikuwa wakaishia kupigwa virungu na
Polisi

 ,kufunguliwa Kesi mahakamani na kupelekwa
gerezani.Sasa

 wanawake wenye akili timamu ambao mnaoamini Katika
Utii wa

 Sheria bila shuruti wa Bawacha ,mfano huo Hao juu wa
Pwila

 msiuupuze Kwani sote ni mashahidi Enzi za mtangulize
wa

 Halima, Suzan Lyimo akiwa Mwenyekiti wa Bawacha,

 hakutukiwahi kumshuhudia Lyimo akiwaamasisha wanawake

 washiriki vitendo Kama hivyo Vya kuvunja Sheria Kama

 afanyavyo Mwenyekiti Mpya wa Bawacha ,Mdee ambaye hata
Ofisi

 mpya ya Bawacha ajaikaa vizuri, ajaeleza kwa vitendo

 vipaumbele vyake ni nini.Pwila

 hakuwa na elimu kama Mdee ila alikuwa na ushawishi na
Tayari

 alikuwa ni Mzima , Mdee ni kijana na bado ana Muda
mrefu

 Mungu akimjalia wa kulitumikia taifa hili na
kujiandalia

 rekodi safi.Sasa

 kwa mtindo huu wa Mdee tena mtoto wa kike kutaka
Kupambana

 na Polisi kwa jeuri ya kijinga na Mbaya zaidi
anawaamasisha

 wanawake wachama Chake washiriki vitendo hivyo

 ,vitamsababishia kumporomosha au kumpotea Kwenye
Medani za

 siasa nchini Kwani Watanzania ni watu wasiyopenda ni
wapenda

 Amani na utulivu.Tambua

 Mdee wewe ni kiongozi kijana ,unapofanya mambo mazuri
au

 Mabaya sifa hizo unazipata wewe na vijana wenzako kwa

 ujumla.Hujachelewa

 unaweza kubadilika licha Tayari umeishaingia Kwenye
rekodi

 Mbaya ya Watanzania Kuwa Mdee ni kiongozi ambaye

 analazimisha maandamano ambayo yamekatazwa na Polisi
hivyo

 wewe ni Mpenda Vurugu.Na

 Kwa taarifa yako Mdee ,siasa hizo unazotaka kuzileta
hapa

 Tanzania, haziwezekani,ndiyo maana wewe na Chama Chako
kila

 mlipokuwa mkijaribu kufulukuta kuhusu kutaka kufanya

 maandamano yenu mliyosema mtaandamana nchi nchi,

 hamjafanikiwa kwasababu Watanzania na vyombo Vya dola

 havitaki aina ya siasa mnavyotaka kulileta hapa
nchini

 .Kwasababu

 mbinu yenu ya kufanya siasa ilikuwa haina kheri zaidi
ya

 kutuletea vurugu na mbinu yenu ya kufanya maandamano

 imeshadoda sijui mnabuni mbinu gani nyingine ili
iwarejeshee

 umaarufu kwasababu Tayari Chama chenu kinashuka Kwa
kasi

 Umaarufu kwasababu mmoja tu ya kulazimisha matendo

 yanayovunja Sheria Kama maandamano haramu.Mdee

 tambua hapa Tanzania kuna wanawake wameshika nyadhifa
kubwa

 na nyeti nchini,lakini wanaojiheshimu na niwatiifu wa
Sheria

 za nchi Yao, watiifu na Kamwe hutawaona wafanya vioja
Kama

 unavyofanya wewe Vya kushiriki vitendo Vya Uvunjifu wa
Amani

 kwa makusudi.Wanawake

 Hao wengine wapo Kwenye majeshi yetu ,serikalini na
taasisi

 mbalimbali za kiraia wametulia tulia.Na wanauwezo wa

 kusaliti nchi,au kuanzia virugu na wanaushawishi na
mvuto

 mkubwa sana kuliko wewe lakini wametulia wanaipenda
nchi Yao

 na wanatii Sheria za nchi bila shuruti.Iweje

 wewe Mdee ambaye umedhiirisha wazi Huna Nguvu wala
karama ya

 kushawishi wanawake wote wa Chadema wakatii agizo Lako
la

 kuwataka wanawake wa Chadema waandamane kupinga
Katiba

 iliyopendekezwa na Bunge Kwani ndani tulishuhudia siku
ulipo

 jaribio kuandamana ukashughulikiwa.Ni

 idadi ndogo sana ya wanawake wa Chadema waliitikia
agizo

 Lako na wanawake wengine wa Chadema ambao tuna
wafahamu

 ambao tupo nao mitaani, wasomi na wamama watu wazima
wenye

 akili timamu na wenye utashi walikata kushiriki
wanasema

 hawawezi kukubali kuingizwa kwenye matatizo na Mdee,

 kwasababu wanamfahamu Mdee ni mtu wa aina gani na
mwisho wa

 siku watakuja kuonekana wao ni mahayawani Kwani
wasingekuwa

 mahayawani wasingeitikia wito haramu wa Mdee wa
kwenda

 kushiriki maandamano haramu na kweli hawakwenda.Ona

 sasa ukahidi wako kwa Jeshi la Polisi umekufanya wewe
na

 wafuasi nane muingie Kwenye orodha ya washitakiwa
Katika

 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kwasabu hiyo
Tayari

 mmeishakuwa ni Kama watumwa wa Mahakama hiyo ambao
mtatakiwa

 mfike tarehe itakayopangwa wakati ulikuwa na uwezo
kabisa wa

 kujizua usitende makosa unayoshitakiwa nayo.Sasa

 utajikuta badala ya kwenda kutimiza majukumu mengine

 ,unakwenda kushinda Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu

 kufuatilia hatima ya Kesi yako.Muulize

 Mzee Mabere Marando,Agustine Mrema ,Samson Mwigamba
na

 wengine wanafahamu vizuri madhara ya kushitakiwa kesi
za

 aina hiyo uliyoshitakiwa nayo hadi leo wamekoma
kushiriki

 vitendo kama hivyo ulivyoshitakiwa nayo.Mimi

 napenda sana kukaa nyuma ya wanasiasa wa vyama vyote
na

 kufualitia matamko wanayoyatoa NA uchapaji Kazi
wao.Ila

 nachukizwa mwanasiasa yoyote ambaye anaamasisha
wafuasi wake

 watende matendo ya kuvunja Sheria za nchi na
kuhatarisha

 Amani ya nchi kwa makusudi.Hii

 tabia sipendi Kwani mwisho wa siku wanatumia ni
wafuasi siyo

 viongozi Hao wakuu na hata wanapopelekwaga gerezani

 wanasiasa wenye vyeo Vya juu magezera uwaweka viongozi
Hao

 Kwenye vyumba vyenye hadhi wale wafuasi wa kiongozi
Huyo

 uwekwa Kwenye selo ya 'Kajambanani'.Mdee

 Jana Oktoba 8 Mwaka huu, wakati unaondoka Katika
Mahakama ya

 Kisutu ulitamka baadhi ya maneno Kuwa ulivyolala
gerezani

 Juzi wala hawajakukomoa.Hivi kwani kuna mamlaka
ilikuwa

 imepanga kukukomoa ulalae gerezani kwa makusudi?Kwani

 ulivyokuwa gerezani ' ulikula Bata'.Huo

 uongo wadanganye watu ambao Hawajawahi kutembelea
magezera

 na kupata Habari za Magereza wanayolala mahabusu na

 hawajawahi kuona picha za magereza yetu.Kama kule
gerezani

 ulikolala Juzi ulikuwa 'unakula Bata', kitu
gani

 sasa kimekufanya urudi uraiani?Hayo

 ni maneno ambayo umejitutumua tu Mbele za watu ila
naimani

 ukipata wasaa na kukaa peke yako,HIvi sasa utakuwa
unajua ni

 kwanini ulitenda makosa yaliyosababishwa ufunguliwe
Kesi

 mahakamani maana hata Askari Magereza wenyewe
wanaowalinda

 Wafunga ,mahabusu lakini kila siku wanasema gerezani
siyo

 sehemu nzuri ya Mtu kupelekwa na ndiyo Mtu yoyote
akitoka

 gerezani Kama ni muumini wa dini ya Kiislamu anaenda
kufanya

 Kisomo na Kama ni Mkristo anaenda kufanya Misa Maalum
ya

 kumshukuru kumalizana na Mkosi wa kulala gerezani na

 kushitakiwa mahakamani lakini hajabi wewe mwanamke
wenzetu

 unashangilia jambo hilo. Ni ajabu sana.Sasa

 namshangaa Mdee ,anavyotuambia 'amekula bata'

 gerezani.Kwa hiyo anaamasisha HIvi sasa Magereza yetu
ni

 mazuri sana hadi watu tuanze kuvunja Sheria kwa
makusudi

 huku uraiani ili tupelekwe gerezani nasisi
'Tukale

 Bata?Nijuavyo

 Mimi Hakuna bingwa wa Shida na Mara kwa Mara mahabusu

 wamekuwa wakinilalamikia Kuwa gerezani siyo kuzuri na

 taarifa nilizo nazo ni kwamba baadhi ya mahabusu wa
gereza

 la Keko wanaokabiliwa na Kesi za Madawa,Mauaji

 wamegoma.Ule

 umati uliofika Jana mahakamani kukulaki ukitokea
gerezani,

 Kwani miongoni mwao ni wanaume, kwanini usingewauliza
ni

 kwanini wanaume wale walishindwa kuwaruhusu wake
,wapenzi

 zao washiriki kwenye yale maandamano haramu ambayo

 yamesababisha ufunguliwe kesi na ulale
gerezani?Baadhi

 ya wanachama waliofika mahakamani Kisutu Jana
nawafahamu na

 wengine wana vyeo Vya udiwani nilivyowauliza kwanini
ni

 wanafki wakamshangilia Mdee Kinafki uwa eti ni Shujaa
lakini

 Oktoba 4 Mwaka huu,walizuia wake na wapenzi wao wa
kike

 wasishiriki maandamano haramu yaliyokuwa yameandaliwa
na

 Mdee walinzijibu wake zao wana watoto na watoto wa
bado

 wanaitaji mapenzi ya mama zao ,ila Mdee kwakuwa bado

 hajajaliwa na Mwenyezi Mungu kupata mtoto ,maandamano
Yale

 yanamfaaa Kwani hata akiumizwa na kupoteza Maisha
Hana

 Hasara.Jibu

 hili liliniuma sana na Kusema kweli mla nawe hafi

 nawe.Misina ushahidi Kama Mdee Hana mtoto na Kamwe
siwezi

 kumsimanga mwanamke mwenzangu ambaye haja bahatika
kupata

 mtoto.Na

 ni lilitimisha kwa kuwaona wanaume wale na baadhi ya

 wanawake wa Chama hicho ni wanafki ,wakamshangilia
Mdee

 kinafki na Kumbe hawampendi Mdee kwa dhati.Hadharani

 wanajifanya wanamshangilia Mdee ,ila wakikaa
vipembeni

 wanamkebehi Mdee.Ni unafki na dhambi ya Haki ya
juu.Mdee

 unapaswa utambue ndani ya vyama Vyama Vya siasa vina
Siri

 nzito zilizofichwa kwa baadhi ya viongozi wa vyama
hivyo

 ambao hata wewe uwenda hufahamu Kama wasiri hizo.Siku
ukija

 kufahamu ,utatayari.Kama

 una akili timamu unapaswa ujiulize ni kwanini wewe na
baadhi

 ya wanachama mmetuhumiwa kutenda makosa hayo Jumamosi

 iliyopita chap chap mmefikishwa mahakamani lakini
Mwenyekiti

 wa Chama Taifa Freeman Mbowe alitoa maneno mazito ya
kutaka

 viongozi wake wanaandaa maandamano yasiyo na kikomo
na

 wasiombe Kibali Polisi , Septemba 14 Mwaka huu,.Siku

 chache baadae aliitwa Polisi akahojiwa na Polisi

 wakamsindikiza hadi Uwanja wa Ndege akasafiri kwenda
Nchini

 Afrika Kusini na hadi Leo kimya bado hajafikishwa
mahakamani

 Licha anaweza kufikishwa muda wowote DPP akiona Ana
Haja ya

 kumshitaki.Rais

 Kikwete kila siku anasema ' akili za kuambiwa
changanya

 na za kwako'. Hivi vyama vya upinzani vijana
wenzangu

 msiviingilie kwa pupa sana ,vina siri nzito ndani yake
na

 hivi vyama tutake tusitake vinawenyewe na hao wenyewe

 walivyovianzisha walivianzisha kwa malengo maalum
ambayo

 siyo yale yaliyowekwa kwenye Katiba za vyama.Sisi

 wenye bahati kuteta siku moja moja na baadhi ya
viongozi wa

 vyama hivyo wanatuelezaga mengi na tumeishaona mengi

 sana.Minakutazama tu .Shauri yako. .Nenda Taratibu,
Wazaire

 wasema ' Malembe Malembe'Mdee

 hayo madaraka iliyopewa yasikutie wazimu, wakiamua

 walioviunda vyama hivyo ambayo hata siku Moja huwaoni
Kwenye

 vikao Vya vyama hivyo Vya upinzani, wao wanakaa Mbali

 ,wanaviendesha vyama hivyo wakiwa Gizani, wakiamua
siku

 kukung'oa madarakani , watakusukia ajenda Moja

 iliyosimama na watakunyang'anya hayo madaraka na
utakuwa

 Huna la kufanya .Na

 hao wanaokuvimbisha kichwa Leo maana Tayari wameisha

 kufahamu Kuwa wewe ni kiongozi unayependa sifa
,kusifiwa

 hata ukifanya Ujinga ndiyo watakuwa wa kwanza
kukugandamiza

 Kuwa ulikuwa ukikiua Chama. Nayasema haya nimeyaona na
siku

 ya kikufika ndiyo akili itakuwa sawa.Mdee

 bado hujafikia kipaji Cha ushawishi wanawake wakuunge
mkono

 Kama kipaji alichokuwaga nacho wanasiasa wanawake Enzi
zile

 TANU, BIbi Titi Mohamed, Tatu Lameck. Bado
sana.Nimalize

 kwa kumwambia Halima Mdee Tulia uzae .Mdee nakushauri

 zingatia maneno ya Makungwi Kuwa 'mwanamke
anapaswa

 kufanya vurugu chumbani' siyo barabarani Kama
ufanyavyo

 .Achana

 na tabia ya kufanya vitendo vya kihuni ambavyo
unafikiri

 vitakupa umaarufu wa sifa mbaya. Na Hao wanaojifanya

 kukushangilia wengine kupitia mitandao ya kijamii
mwisho wa

 siku ndiyo watakwa wa kwanza kukuangamiza.Hata

 waliokuwa wafuasi 52 wa Kesi ya Sheikh Ponda Issa
Ponda

 ,walipofikishwa mahakamani mwaka jana kwa makosa kama

 yako,wao wapambe wao walikuwa na vibweka sana tena
zaidi ya

 wewe na hadi walikuwa wakitaka kutupiga waandishi wa
Habari

 lakini kesi Yao ilipoanza kushika kasi akili iliwakaa

 sawa,walikuwa wapole na Wakaanza kujikomba kwa
waandishi wa

 Habari na watumishi wa Mahakama.Sasa

 na wewe Mdee Jana ilikuwa ni Haki yako kupayuka Yale
maneno

 uliyopayuka pale Mahakamani, lakini Kesi ikianza
kushika

 kasi lazima utatulia wale wafuasi wako walikuja kwa
Wingi

 mahakamani Jana hutauona, idadi ya umati ule
utapungua.

 Tumeyaona haya.Tusubiri wakati.Haya

 Bunge Maalum la Katiba limemaliza muda wake Marais
wetu

 Wawili wa pande zote wamekabidhi wa Katiba
iliyopendekezwa

 na Bunge.Sijiu sasa kijana mwenzangu Mdee unajipanga

 'utoke vipi' ,mAana ndiyo basi tena Katiba ya
Samuel

 Sitta imeishapatikana , na Biashara yenu ya kufanya

 maandamano haramu ndiyo haina Soko tena mAana Polisi

 wameacha tena kuwateka.Na

 Joti hili sijui kombati mtazivalia
wapi,sitawacheka.Mdee

 nakushauri ongoza wanawake wenzako wa Bawacha ambao
Wengi

 nawafahamu ni wanawake na wasichana wanaojiheshimu
Kama

 wakina Ester Wasira kufikia Malengo mliyojiwekea

 .Usiwaongoze wanawake wenzako kwenda kufanya matendo
ambayo

 yamekatazwa NA Sheria.Naendelea

 kutoa rai kwa Jeshi la Polisi chini ya IGP- Ernest
Mangu,

 liendelee kufanya Kazi zake kwa mujibu wa Sheria na

 lisimuonee haya wala huruma Mtu yoyote hata akiwa ni

 mwanamke.Kama mwanamke anashiriki maandamano haramu
basi

 mwanamke Huyo ni wazi amejizatiti Kupambana na
Polisi,

 Polisi na Nyie pambaneni naye Kwani Sheria ni
Msumeno.Chanzo:

 Facebook: Happy Katabazi

 Blog: www.katabazihappy.blogspot.com

 0716 774494

 Oktoba 9 Mwaka 2014









 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed
to the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment