Monday, 13 October 2014

Re: [wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE

Fred.
Maneno yako ya busara kama ulilenga kumwambia Katabazi heri ungeacha.
katika kumbukumbu zako amebuyanga mara ngapi humu akapewa Feedback? uliwahi kuona akijibu constractively japo kwa kuonyesha ku-regret?
Huyu ni mama wa ajabu na huenda analipwa dearly
--------------------------------------------
On Mon, 10/13/14, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, October 13, 2014, 10:45 AM

Katabazi,Wakati
wanawake wanajinadi kuwa sasa wako sawa na wanaume wewe
unatuambia kazi yao ni kujifunza utundu wa kuwaonyesha
wanaume vimbwanga vitandani. Jaribu kutulia unapotaka
kuandika jambo muhimu kama hili, yawezekana ulikuwa na jambo
zuri la kumshauri Halima lakini umepoteza kwa jinsi
ulivyoliwasilisha. Nahisi kwa jina lako utakuwa unatoka mkoa
wa ziwa magharibi kule ambako zamani tuliamini kazi yao
ndiyo hiyo uliyomshauri Halima maana enzi zetu tuliamini
kila palipowaka kibatari pa kwenda kujifunzia ujana wahusika
walikuwa wanatoka mkoa wa ziwa magharibi. Lakini sasa naona
tofauti kwani wako kina dada na kinamam wengi wasomi
waliobobea waliotoka mkoa huo wa ziwa magharibi na
wanaheshimika sana.Sikutegemea
kuwa msomi kama wewe ungekuwa na mawazo sawa na BOKO HARAMU
wanaoamini kuwa kazi ya mwanamke ni kuolewa na si
kusoma.Binafsi
sikubaliani na Halima kufanya maandamano yale kwani
asingeweza kubadilisha kitu kwa wakati ule, lakini
sikubaliani vilevilekumzuia Halima kuandamana kwa sababuni
haki yake sawa kabisa na haki uliyoitumia wewe kuandika
mawazo yako kwa Halima. Hivi Halima na wenzake wangeliachwa
wakatembea kwa
hiari yao hadi mlango wa ikulu wakauambia mlango ule mawazo
yao kisha kugeuza kurudi kwao kungetokea nini?
Wangebadilisha katiba iliyopendekezwa?
Katabazi
punguza jaziba hata kama unabifu na Halima usilionyeshe.
Kazi njema


On Sunday, October
12, 2014 4:25 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Nasi Watz kwa sasa tunazungumzia 50% kwa
50% kwa ngazi zote za maamuz,lkn ningependa wote tutie
ufahamu kuwa:ingawa wote tunakuwa influenced na personal
feelings wakati wa kufanya maamuzi fulanifulani,basi kwa
wanawake hilo ni tatizo kubwa mno...they hardly strike a
balance in decision making...and this is their destiny,there
is no way can change ingawa ukubwa wa tatizo hutofautiana
kati ya mtu na mtu.
...nikijua hivyo,binafsi sitegemea any true positive comment
kutoka kwa dada huyu as regards to Chadema interests hata
iko obvious kiasi gani coz it seems she was hurt somewhere
by the party....ngupula.

"'Lilian R. Kallaghe' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

This is what I call 'gender insensitive' !
Shame!

Sent from my iPad
On Oct 9, 2014, at 4:01 PM, "'Reuben
Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Comrades;Inaweza
kuwa ulevi wa sifa,sasa tembo analitia
maji.Nakumbuka
Dada Happy alipokuwa anaanza kazi Chuoni aliko sasa alipewa
sifa nyingi sana sasa may be anaona kamaliza.
Kitu ya
msingi zingatia ushauri uliopewa otherwise the otherwise can
ruin you Happy.
 Reuben



From: mngonge franco
<mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com

Sent: Thursday, October
9, 2014 3:01 PM
Subject: Re:
[wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE

Huyu Happy Katabazi naona anatafuta umaarufu
asiyouweza. What kind of nonsenses? Nimesoma makala
zake kama tatu mfululizo naona no substance. Mwanzo
nilifikiri ni kwa bahati mbaya lakini baada ya kuisoma na
hii basi sina sababu ya kupoteza muda wangu kusoma makala
zake. Mara tulia uzae, yeye kazaa? Kuzaa ni jambo la hiari
wala si lazima hivyo hana sababu ya kuanza kuzun gumzia
maisha ya mtu binafsi kama anapenda hayo basi wadadavuzi wa
maisha ya watu watatwambia kuhusu yake (Happy) aone kama
itapendeza.

2014-10-09 14:43
GMT+03:00 Makaveli Markus <jikomboe@gmail.com>:
Kuna mahali unapotea dada yangu Happy, ila
hujagundua. Kuwa mwangalifu sana, fanya kazi zako kwa
usahihi, usiingize matope kwenye maisha
yako.

Kuna njia za kuzuia kukaribisha uchafu maishani, hata
kama kuna tofauti binafsi na taaisi iliyowahi kukuajiri.
Suala la KUZAA sio LAKO nadhani angekuteua kuwa MSHAURI
wake. Kila mtu anazaa kwa matak



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment