Katabazi,
Wakati wanawake wanajinadi kuwa sasa wako sawa na wanaume wewe unatuambia kazi yao ni kujifunza utundu wa kuwaonyesha wanaume vimbwanga vitandani. Jaribu kutulia unapotaka kuandika jambo muhimu kama hili, yawezekana ulikuwa na jambo zuri la kumshauri Halima lakini umepoteza kwa jinsi ulivyoliwasilisha. Nahisi kwa jina lako utakuwa unatoka mkoa wa ziwa magharibi kule ambako zamani tuliamini kazi yao ndiyo hiyo uliyomshauri Halima maana enzi zetu tuliamini kila palipowaka kibatari pa kwenda kujifunzia ujana wahusika walikuwa wanatoka mkoa wa ziwa magharibi. Lakini sasa naona tofauti kwani wako kina dada na kinamam wengi wasomi waliobobea waliotoka mkoa huo wa ziwa magharibi na wanaheshimika sana.
Sikutegemea kuwa msomi kama wewe ungekuwa na mawazo sawa na BOKO HARAMU wanaoamini kuwa kazi ya mwanamke ni kuolewa na si kusoma.
Binafsi sikubaliani na Halima kufanya maandamano yale kwani asingeweza kubadilisha kitu kwa wakati ule, lakini sikubaliani vilevilekumzuia Halima kuandamana kwa sababuni haki yake sawa kabisa na haki uliyoitumia wewe kuandika mawazo yako kwa Halima. Hivi Halima na wenzake wangeliachwa wakatembea kwa hiari yao hadi mlango wa ikulu wakauambia mlango ule mawazo yao kisha kugeuza kurudi kwao kungetokea nini? Wangebadilisha katiba iliyopendekezwa?
Katabazi punguza jaziba hata kama unabifu na Halima usilionyeshe. Kazi njema
On Sunday, October 12, 2014 4:25 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Nasi Watz kwa sasa tunazungumzia 50% kwa 50% kwa ngazi zote za maamuz,lkn ningependa wote tutie ufahamu kuwa:ingawa wote tunakuwa influenced na personal feelings wakati wa kufanya maamuzi fulanifulani,basi kwa wanawake hilo ni tatizo kubwa mno...they hardly strike a balance in decision making...and this is their destiny,there is no way can change ingawa ukubwa wa tatizo hutofautiana kati ya mtu na mtu.
...nikijua hivyo,binafsi sitegemea any true positive comment kutoka kwa dada huyu as regards to Chadema interests hata iko obvious kiasi gani coz it seems she was hurt somewhere by the party....ngupula.
"'Lilian R. Kallaghe' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
...nikijua hivyo,binafsi sitegemea any true positive comment kutoka kwa dada huyu as regards to Chadema interests hata iko obvious kiasi gani coz it seems she was hurt somewhere by the party....ngupula.
"'Lilian R. Kallaghe' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
This is what I call 'gender insensitive' ! Shame!
Sent from my iPad
Sent from my iPad
Comrades;Inaweza kuwa ulevi wa sifa,sasa tembo analitia maji.Nakumbuka Dada Happy alipokuwa anaanza kazi Chuoni aliko sasa alipewa sifa nyingi sana sasa may be anaona kamaliza.Kitu ya msingi zingatia ushauri uliopewa otherwise the otherwise can ruin you Happy.Reuben
From: mngonge franco <mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, October 9, 2014 3:01 PM
Subject: Re: [wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE
Huyu Happy Katabazi naona anatafuta umaarufu asiyouweza. What kind of nonsenses? Nimesoma makala zake kama tatu mfululizo naona no substance. Mwanzo nilifikiri ni kwa bahati mbaya lakini baada ya kuisoma na hii basi sina sababu ya kupoteza muda wangu kusoma makala zake. Mara tulia uzae, yeye kazaa? Kuzaa ni jambo la hiari wala si lazima hivyo hana sababu ya kuanza kuzun gumzia maisha ya mtu binafsi kama anapenda hayo basi wadadavuzi wa maisha ya watu watatwambia kuhusu yake (Happy) aone kama itapendeza.2014-10-09 14:43 GMT+03:00 Makaveli Markus <jikomboe@gmail.com>:Kuna mahali unapotea dada yangu Happy, ila hujagundua. Kuwa mwangalifu sana, fanya kazi zako kwa usahihi, usiingize matope kwenye maisha yako.Kuna njia za kuzuia kukaribisha uchafu maishani, hata kama kuna tofauti binafsi na taaisi iliyowahi kukuajiri. Suala la KUZAA sio LAKO nadhani angekuteua kuwa MSHAURI wake. Kila mtu anazaa kwa matak --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment