Dada huyo Boss wa mahela wala humpendi. Unapenda hela yake. Hiyo gari ikipata ajali hutaweza mpenda tena. Fuata dhamiri yako na si vionjo vya Nje. USHAURI WANGU BAKI NA WA KWANZA.
kila jema
--------------------------------------------
On Sun, 10/12/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] ANAOMBA USHAURI USHARI WAKO:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, October 12, 2014, 4:24 PM
ANAOMBA
USHAURI USHARI WAKO:Mimi
ninaitwa Aisha, nina miaka 27. Nina mchumba wangu ambaye ni
fundi gereji na anaishi maeneo ya Manzese, mi nakaa Tandale.
Tumedumu miaka miwili na kusema kweli
tulikuwa tunapendana maana hadi kanisomesha kozi ya computer
kwa mwaka mmoja sasa nina kazi yangu. Ila nimepata bahati ya
mtende maana huyu bosi wangu ninayefanya kazi kwake,
ametokea kunipenda sana na amesema nikimkubali, atafanya
maisha yangu yawe kama ya malkia. Ahadi za huyu bosi
zimefanya nianze kumpenda ghafla maana anatembelea RANGE
ROVER kali kama ile ya Lady jay dee, yaani nahisi
kuchanganyikiwa sijui nifanye nini? Hapa nilikuwa natafuta
sababu ndogo ili nimbwagwe huyu mchumba wangu fundi gereji
ila sijapata sababu. Naombeni ushauri wenu kwenye
hili
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment