Nothing more than fishy games
2014-09-10 12:35 GMT+03:00 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>:
MtatiroKama nilivyoelewa ni kwamba kuendelea kwa Bunge hili kunatokana na baraka za mkutano kati ya Rais na TCD. Je huoni kuwa wewe kama Kiongozi uliyemaliza muda unafahamu fika mwongozo wa TCD hivyo kulileta jambo hili ambalo viongozi wamekubaliana ni kukuza mambo ambayo kimsingi ni ya msingi sana lakini katika mazingira tuliyonayo haiwezekani kuyabadilisha?--2014-09-10 11:20 GMT+03:00 'julius mtatiro' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:--BAADA YA JK KUKUBALI HAKUNA KATIBA, KWA NINI BMK LIENDELEE KUTAFUNA SHS BILIONI NANE HADI OKTOBA 04??
Baada ya Rais Kikwete kukubali mchakato wa Katiba uahirishwe hadi baada ya uchaguzi mkuu wa 2015, rais wetu hakukubaliana na hoja ya kuliahirisha bunge la katiba mara moja. Ukweli ni kuwa, kinachoendelea kufanywa Dodoma hivi sasa ni utafunaji wa fedha za walipa kodi kwani hili bunge hata likiendelea hadi tarehe 04 Oktoba halitaweza kupiga kura kupendekeza katiba na litaahirishwa hadi mwaka 2016.
Ikifika 2016 tutakuwa na Rais mpya, serikali mpya na kila kitu kitakuwa kipya, nadhani itapasa mchakato wa Katiba uanze upya kabisa na bunge liundwe upya, maamuzi yanaofanywa na kina Samuel Sitta na wenzie sasa hivi hayatakuwa na maana wala umuhimu wowote mwaka 2016.
Ni bora kuokoa hizi bilioni 8(Milioni elfu nane) ambazo zitatumika kati ya tarehe 10 Septemba hadi tarehe 04 Oktoba kwa ajili ya posho za wabunge, posho za wafanyakazi na walinzi, posho za wasaidizi wa viongozi na wajumbe wenye ulemavu, masuala ya utawala na uendeshaji ikiwemo kulipia kumbi zaidi ya 12 na vipaza sauti vya kila ukumbi ambavyo tuliambiwa kwa siku vinatumia makumi ya mamilioni.
Sasa kama Rais amekubali kuwa hakuna Katiba mpya, kwa nini fedha za walipa kodi bilioni nane zitapanywe katika jambo ambalo halipo na limeshakwama? Why? Kwa nini?Julius Mtatiro,
Dar Es Salaam,
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387
--

0 comments:
Post a Comment