Monday 29 September 2014

Re: [wanabidii] SHEIKH KOMBO: WAISLAMU HAWAITAKI MAHAKAMA YA KADHI

Ni ushindi wa utawala bora na mustakhabali mwema wa taifa....na sio ushindi wa wakristo....Ngupula

'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hawa Masheikh wa BAKWATA ya CCM ndio wanaokwamisha jitihada za waislamu kupata Mahakama ya Kadhi.

On Monday, September 29, 2014 1:01 PM, 'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mjumbe wa Bunge la Katiba kutoka Zanzibar, Sheikh Thabit Kombo ameizika rasmi Mahakama ya Kadhi kwa kusema kwamba waislamu hawaitaki Mahakama ya Kadhi. Kwa hiyo hakutakuwepo Mahakama ya Kadhi kama ambavyo waislamu wengi walivyokuwa wakitarajia.
 
Kulikuwa na taarifa kwamba wakristo wangepiga kura ya hapana endapo Mahakama ya Kadhi yangeruhusiwa kuwemo kwenye katiba mpya. Kwa kauli hii ya Sheikh kombo naona CCM wamefanikiwa kuwarubuni wajumbe wa katiba walio waislamu ili kuwanyima waislamu fursa ya kuwa na Mahakama ya Kadhi. Tuseme kwamba huu ni ushindi kwa wakristo au ni unafiki wa wajumbe wanaowakilisha waislamu bungeni?
 
Nawashauri waislamu tuliopo uraiani tuikatae katiba hii ya CCM isiyokuwa na Mahakama ya Kadhi. Kitendo cha Sheikh Kombo kukubali kurubuniwa na CCM na kuikataa Mahakama ya Kadhi kitasababisha mgawanyiko mkubwa sana miongoni mwa waislamu na kitaleta chuki dhidi ya wajumbe waislamu waliomo kwenye bunge la katiba.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment