Friday 4 October 2013

[wanabidii] WAZUNGU BWANA,...MAKEKE MEEENGIII,KUMBE BURE.

Sijui kama hii itakubali kupaste na kufunguka kwenye Youtube.Ila nadhani kuna wengine pia wameisha iona kule WAVUTI.Jambo la msingi hapa ni kuona jinsi ubaguzi ulivyo...yaani unafunika hadi UELEWA wa kitu.Mtu anang'ania tu kwenye jambo, si kwamba anafahamu, bali anachuki na kile kilichomo kwenye maneno..!Ona wazungu wote wanakwepa maneno yaliyo na neno "OBAMA" na yule mwenzangu mie "Omera" anajaribu kujikanyaga kutetea neno "OBAMA".Jamani chuki hii ni mbaya sana kwenye ubaguzi in impair understanding na utendaji kwa ujumla.Let's avoid GROUP THINK katika utendaji wetu wa kazi la sivyo tutaishia tu kuonyesha kutoelewa vitu kwa sababu tu ya kutotaka kuelewa.
Pili,nimejifunza kuwa hata wazungu kuna wa SHULE ZA KAYUMBA ambapo elimu kwao ni kama shule zetu za huko...elimu ndoogo tena kichizi.Maana wanataka kujifanya wajuaji,tena kwa malingo..kaone ka mama hako kanasema....there are alo of holes in it..ha ha ha!
Fuata hapa kama itawezekana;

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment