Friday 4 October 2013

[wanabidii] TAHADHARI KUHUSU DAWA ZA KUPONYA UKIMWI MTANDAONI

TAHADHARI KUHUSU DAWA ZA KUPONYA UKIMWI MTANDAONI

Ndugu zangu ,

Kumetokea watu au vikundi vya watu wakisambaza ujumbe kwamba wao walikuwa waadhirika wa ukimwi na sasa hivi wameshapona kutokana na kutumia dawa au njia Fulani Fulani ambazo zinahitaji fedha na muda .

Napenda kuwajulisha kwamba watu hao au vikundi hivyo ni vya kilaghai .

Tafadhali fuata ushauri wa daktari wako kwa kuendelea kutumia dawa , mazoezi , kula vizuri na mwingine ambao hutolewa na madaktari au wataalamu wengine wa afya .



--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment