Wednesday 23 October 2013

[wanabidii] Fw: mil 35 tu



On Wednesday, October 23, 2013 7:36 PM, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:
ndg wapendwa salamu za siku nyingi....here are some properties for you.....Nyumba za mil 35 za kawaida zinawafaa watu wa kawaida zipo mbezi ya kimara. nyumba za  kisasa sana zipo mbweni mil 90 kwa mil 170....tunazo plots za bei chee mil 3.5 pale kibamba. mbezi inn magari & slop plot mil 5 lakini inafaa kwa kujenga ni 23 kwa 34. plot kubwa tu mbezi inn mil 6.  na 8 ipo luguruni inafaa kujengea nyumba na eneo la kubakia kuuubwa tu....
Nyumba ya kisasa sana mil 65 ipo mbezi mwisho ina na eneo la kutosha sana. nyumba kali tu haijaisha vzr ipo suka inauzwa na mahakama bei mil 55 tu. nyingine ipo mbez bei mil 50 zote nzur sana za kisasa....
Tunazo mashamba mbande eka 5 na nyumnba ndani bei mil 70. pia mbezi msumi eka 5 bei mil 50 na mawelewano ruksa
tunazo plots za kumwaga kila kona ya jijni wewe tu kutuagiza ...karibuni sana


0 comments:

Post a Comment