Monday 28 October 2013

Re: [wanabidii] TUITION: IMEUA UWEZO WA KUFIKIRI

Kazi ya tutorial assistant ni kurudia aliyoyafundisha professor au lecturer, yuko under mentorship (ni mtu ambaye anafundishwa kazi ya kufundisha kwenye chuo si shule). Hatuna mtu anayeitwa tutorial kwenye shule za sekondari

2013/10/28 Xavery Njovu <njovucom@gmail.com>
augustino

kazi ya  tutorial  assistant ni  nini

Regards
xn

2013/10/25 Augustino Chengula <achengula@gmail.com>

Mfumo was tuition wenyewe haujakaa vizuri, wafundishaji wengi wanafundisha kukariri mambo wanayodhani yatatoka kwenye mtihani wa taifa. Mwalimu wa aina hiyo anapendwa na wanafunzi, mkali wa kusolve past papers. Hawafundishwi kuelewa kwa walio wengi. One nyingi za A level huzidiwa na two za watu ambao hawakusoma tuition. Sababu ni kwamba vyuo vikuu hakuna tuition na wanafunzi wanatakiwa kusoma vyanzo mbalimbali.

On Oct 24, 2013 6:20 AM, "Sylvanus Kessy" <frkessy@yahoo.com> wrote:
Tangu mchezo wa Tuition kwa wanafunzi uanze hapa Tanzania, wanafunzi wamekuwa wavivu na kutowajibika tena. Nilipokuwa secondary miaka ya 80 na 90 nilifundishwa ili kufaulu jitihada za mwanafunzi mwenyewe ni 60% na 40% ni mwalimu pamoja na vitabu.

Cha kusikitisha ni kwamba siku hizi wanafunzi hawana nafasi tena ya kujisomea wenyewe. Kila wakati mwalimu yupo mbele yao. 80% ya muda wa mwanafunzi mwalimu yuko mbele yake. SPOON FEEDING. Mwalimu akitoka mbele yake, mwanafunzi hawezi kujishughulisha kwa kurudia alichofundishwa au kutafuta kwenye vitabu (library) ili kujipanua kwa alichosikia darasani. Hajui afanye nini.

Akitoka shuleni saa 9 mchana, saa kumi anamkuta mwalimu mwingine nyumbani hadi saa 2 au 3 usiku. Mwanafunzi hana muda wa KUCHEUA alichofundishwa. Hata home work hana muda nazo.

Mbaya zaidi, mzazi na mwanafunzi wote wanaamini kuwa pasipo TUITION, mtoto anafikiri hawezi faulu na mzazi pia anaamini mwanangu hawezi faulu.

Kwa kifupi TUITION IMEUA UWEZO WA WANAFUNZI KUFIKIRI. 

Tuition jamani ifutwe. Kwanza waalimu wanatumia njia hiyo kwa kutowajibika vema muda wa shule maana anajua kuwa kuna cha juu baadae.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" The Poor  man is  not  he without  cent, but  he who is  without  a dream"

0 comments:

Post a Comment