Monday 28 October 2013

Re: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Fatma,yawezekana umesahau kuwa mitandao ya kijamii haitumiwi na mwigamba pekee.issue sio kutumia mitandao ya kijamii.muhimu ni ujumbe umefika kwa wahusika ambao ni sisi wapiga kura.haiwezekani watu wote hao wawe wasaliti.muda umefika kwa Mh Mbowe aangalie upya sera zake na kuamini kuwa ili kuokoa chama na mzozo mkubwa zaidi ni lazima akubali kuwa yeye sio kionhozi wa maisha na  chadema sio taasisi binafsi.tulianza vizuri ila  sasa naona chombo kinaenda mrama.

Rgrds
Magora

On Oct 28, 2013 6:54 PM, <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
Duh! Sheikh Mchange...umeweka orodha ndefu...acha tuitafakari kwanza! Wasalimie huko Shenzhen
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: mchangehabibu <mchangehabibu@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 28 Oct 2013 23:45:33
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Wakubwa.
Natanguliza pole dhati kabisa kwako mpiganaji mwigamba.

Nakupa pole kwa kuwa nawe umeingizwa kwenye kundi la wasaliti.
Kwenye chadema msaliti ni yule anayeweza kusimamia kweli na haki bila kujali reaction ya slaa Na mbowe,
CHACHA ZAKAYO WANGWE kabla hajafariki aliitwa msaliti na kwmba anatumiwa na ccm sisi tulipewa mpaka pesa tutoe tamko kumlaani(tamko alilotoa marehemu Kikoti aliyekuwa mwenyekiti wa chadema temeke kipindi cha uhai wake) japo matamko yote hayo yaliandaliwa Na mnyika na slaa.

Alipokufa hakuitwa tena msaliti, akageuka gafla na kuitwa kamanda, hata Tanzania daima nalo liliandika makala za kumsifia.

Akaja zitto kabwe naye akaitwa msaliti, na kwamba anatumika na ccm. Ni bahati tu zitto amejiwekea mizizi mikubwa sana kwa wananchi ndio maana mpaka Leo anaendelea kuwa mwanasiasa mwenye nguvu na mwenye kuaminiwa sana.

Marehemu Philip magadula shelembi aliyekuwa mwenyekiti was chadema mkoa w shinyanga naye aliitwa msaliti mpaka umauti unamkuta.

Mimi niliyekuwa nikiitwa  kamanda kipindi hicho nikaja kugeuzwa kuwa msaliti namba moja baada ya wangwe Na zitto.

Mwampamba akawa msaliti Na shonza naye akawa msaliti.

Leo umeongezeka mwigamba kwenye kundi la wasaliti.

Pole sana naamini hautakuwa wa mwisho. Bado watatokea wengine wasaliti zaidi na zaidi.

Habib Mchange
Futian District,
Shenzen, GuangDong
China.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment