Sunday 13 October 2013

Re: [wanabidii] MAKAMPUNI YA SIMU YANATUIBIA

Ukishakuwa nje ya Tanzania unakuwa "roaming". Kwahiyo gharama unazokatwa ukituma ujumbe kwa kutumia simu namba ya Voda ya Tz ni sawa kabisa!!

2013/10/11 Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com>
Du, si hayo tu. Je unajua kuwa makampuni ya simu hakuna sekunde? kama ni dk mbili ukipiga simu dk 1sec 2 wanahesabu dk  2.

Nashangaa nipo Africa Kusini nikiandika sms Tanzania kwa Airtel nakatwa sh 803 japo nimejirusha. huku inaitwa Cell C;  voda ni afadha lakini bado naliwa sh 357 kwa sms japo nimejirusha wanaiita Vodacom-SA. Matangazo yote ya promotions ya Tz nayapata hapa, lakini hakuna faida yoyote. Wangekuwa waungwana kungekura na rates sawa. Hawa jamaa Bwana. Wizi mtupu. Ni Afadhali kukatwa kodi ya kujenga Taifa kama hela hiyo itatumika barabara!

On Friday, October 11, 2013 11:17 AM, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
Ni wezi hasa ukiangalia makato mengineyo. Unaambiwa ndugu mteja umekatwa 400/= kwa wimbo unaotumia kwa mwezi kuanzia sasa. Unakaa wiki 2 na wakati mwingine hata wiki haifiki wanakuambia tena-ndugu mteja umekatwa shs 400/= kwa mwezi kwa matumizi ya huo wimbo unaotumia ktk sm yako. yaani-mlio wako fulani umewekwa upya kwa siku 30 zijazo na hazijafika ni wiki tu wamekukata na wanakukata tena. Zidisha 400/= mara wateja millioni 4 ni shillingi ngapi kama si wizi halafu zidisha makato hayo kwa watu hao kila baada ya wiki au siku 10 sema at least 3 times a month. halafu hiyo sms yao ni no reply labda upige customer service na hata ukitoa taarifa-inaendelea-WEZI. Voda kampuni inayoheshimika wanafanya hivi bora mtu uhamie Airtel-hakatwi mtu hapa!! Sikui huko nako itatokea hivi kama ile mikate inayoibwa na lile jibaba!! Ukienda madukani mfano Shoprite unaona change yako ilikuwa na senti 23 za kurudi. Hizi huzipati-hawanazo. Zidisha hizo 0.23 cents mara milioni za watu monthly wanaotumia duka hilo bado maduka mengine nchini. Kwa nini wasiwehe exact amount hata kama kuna kodi ujue ipo kwa hela zilizopo tanzania kusiwe na vijisenti ambavyo havipo. Akili kukichwa ujanja mjinin ktk uwekezaji. Bado tena tukatwe 1000/= kila mwezi na ukipewa hizo units za mafungu simu inakula units kama kiwavi mpaka unajiuliza faida ya hayo mafungu. wanatuonea. Hata wakiwa na promotion za majumba na kutoa zawadi ya magari etc ni kwamba gharama si yao. wanatumia makato haya yasiyo halali kupata pesa za kutoa zawadi kuongeza publicity na wateja. Yaani unaiba halafu unakwenda kutoa zawadi na sadaka misikitini au kanisani na kwa wasiojiweza au kumpa mungu sadaka kwa kujenga hekalu la dini. Nimeweka sms za makato yangu yoye yasiotimia muda kuonyesha nisemalo halina uongo.

On Friday, 11 October 2013, 11:22, Monica Malle <moninaike@hotmail.com> wrote:
Ndugu watanzania wenzangu tuzinduke haya makampuni ya simu yanatuibia. Wanajifanya wanatoa offer eti sh 600 unapewa dakika kama 20 hivi za kupiga simu . Lakini cha ajabu wanakupa masaa 24 uwe umeshatumia hizo dk zao walizokupa vinginevyo muda huu ukiisha kama hajatumia dk zako zote umeliwa. Huo ni wizi mtupu wangekuwa waungwana wangetupa hizo dakika bila kutuwekea muda wa kuzitumia mtu awe huru kuzitumia anapozihitaji. Lakini wanalazimisha watu kupiga simu hata zisizo za lazima ili tuu mtu amalize dakika alizopewa kabla muda haujaisha.
Naomba haya makampuni pamoja na hizo promotion zao wasitoe muda ila watoe dakika ili mtu awe huru kuzitumia muda autakao mpaka ziishe.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment