Tuesday 1 October 2013

Re: [wanabidii] KUB Freeman Mbowe Vs NS Job Ndugai: Kushindwa kwa Uongo baada ya kweli kufahamika!

Kwa maoni yangu, Mh. Kikwete anaweza akatumia busara kuongea na pande zote zinazotuhumiana katika swala hili ili tusije ingia kipindi kigumu cha mchakato wa katiba tukiwa tumegawanyika ,Kwa sababu watu wetu watapoteza uzalendo wao na kukaa kulumbana kwa mambo ambayo hayasaidii nchi .

Isipokuwa lazima kambi ya upinzani iwe makini wakati inapotaka kupinga jambo,iwe makini na taratibu zinazotakiwa -Naamini Mh Mbwewe hakufuata taratibu na bado kulikuwa na nafasi ya kuleta hoja binafsi bungeni nayo hiyo haikufanyika.Lazima viongozi wa kisiasa muwe makini mnapoamua kwenda kwa wananchi ...kwani mnaweza kuwahamasisha jambo mbalo kimsingi nyie ndio wapotoshaji na mwisho wa siku mkaligawa taifa na wananchi wake.

--------------------------------------------
On Wed, 2/10/13, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KUB Freeman Mbowe Vs NS Job Ndugai: Kushindwa kwa Uongo baada ya kweli kufahamika!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 2 October, 2013, 7:32

khaa?

On 10/2/13, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
wrote:
> Nachojua HK ni makamu mwenyekiti
> On 2 Oct 2013 09:27, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com>
wrote:
>
>> hata miye siijuwi Bony!
>>
>> On 10/2/13, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
wrote:
>> > Hivi HK ni mwnyekiti wa kamati ya serikali za
mitaa au ni makamu
>> > mwnyekiti??
>> > On 2 Oct 2013 09:03, "ezekiel kunyaranyara"
<ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>> > wrote:
>> >
>> >> Dr, HK
>> >>
>> >> Maelezo haaya yaaanaeleweka na yanaweka
ukweli bayana lakini
>> >> mnachhelewa
>> >> sana kuyatoa hadi sumu inaenea kabisa
katika vichwa vya watu. Sijui
>> >> kama
>> >> mnaweza kiondoa kirahisi sumu hii.
>> >>
>> >> Sent from Yahoo! Mail on Android
>> >>
>> >>  ------------------------------
>> >> * From: * fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>;
>> >> * To: * <wanabidii@googlegroups.com>;
>> >> * Subject: * Re: [wanabidii] KUB Freeman
Mbowe Vs NS Job Ndugai:
>> >> Kushindwa kwa Uongo baada ya kweli
kufahamika!
>> >> * Sent: * Tue, Oct 1, 2013 6:02:02 PM
>> >>
>> >>   Nashukuru kwa ufanuzi,
tatizo letu wengi wetu hatujui kanuni za
>> >> mijadala ya bungu huwa tunakurupuka kama
alivyokurupuka mhe. Mbowe,
>> >> Siku za nyuma niliwahi kusema Katika
wabunge wa Upinzani Bungeni,
>> >> Namkubali Zito na kafulila na Machali wa
NCCR huwa hawana kawaida ya
>> >> kukurupuka
>> >>
>> >> On 10/1/13, Dr. Hamisi A. Kigwangalla
<hkigwangalla@gmail.com>
wrote:
>> >> > KUB Freeman Mbowe Vs NS Job Ndugai:
Kushindwa Kwa Uongo baada ya
>> >> > kweli
>> >> > kufahamika!
>> >> >
>> >> > *Imeandikwa na Dkt. Hamisi
Kigwangalla, MB*
>> >> >
>> >> > * *
>> >> >
>> >> > Leo nimeamka na mzuka wa kuandika.
Kwanza nasukumwa na kuandika
>> >> > kuhusu
>> >> > ukweli, zaidi kwa kuwa nafurahia
kuandika maneno yanayofanana na
>> >> > yale
>> >> > yaliyosemwa na mwandishi nguli wa
Kiswahili, babu yangu Shaaban
>> Robert,
>> >> > ambaye kazi zake hazitokuja kufubaa
vizazi na vizazi,
>> >> > nikizifananisha
>> >> > na
>> >> > zile za William Shakespeare,
mwandishi mashuhuri wa mashairi na
>> >> > fasihi
>> >> > simulizi wa Uingereza ya karne ya 16.
Lakini pia nafurahi kuandika
>> >> > kuhusu
>> >> > dhana ya ukweli ambayo mimi daima
naisimamia na nitaifia itapobidi.
>> >> >
>> >> > Hayati Shaaban Robert anaandika hivi
katika kitabu chake cha
>> >> > Kusadikika:
>> >> > 'Msema kweli huchukiwa na marafiki
zake. Nikipatwa na ajali kama
>> >> > hiyo,
>> >> > sitaona wivu juu ya wale wawezao
kudumu na marafiki zao siku zote.
>> >> > Siwezi
>> >> > kuikana kweli kwa kuchelea upweke wa
kitambo, nikajitenga na furaha
>> >> > ya
>> >> > milele itakayotokea pale uongo
utakaposhindwa.'
>> >> >
>> >> > Nimeazima hekima hizi kutoka kwa
Shaaban Robert kwa lengo la kutaka
>> >> > kuzungumza ukweli, maana ukweli una
tabia nyingi sana na kubwa
>> >> > niipendayo
>> >> > mimi ni ile ya kutobadilika badilika.
Ukweli hubaki ukweli hata kama
>> >> > utaishi miaka dahari, utabaki kuwa
kweli tu. Nimependa leo kujadili
>> >> > jambo
>> >> > hili kwa sababu kwanza lilileta aibu
kubwa kwa bunge letu, pili
>> >> > mijadala
>> >> > iliyofuatia baada ya jambo hili
ilileta taswira ya kuonewa na
>> >> kukandamizwa
>> >> > kwa upinzani kwa kuzibwa mdomo, na
tatu kwa kuwa iliongeza nguvu kwa
>> >> > wapinzani bungeni kudumu katika
kususia kushiriki mjadala wa hoja ya
>> >> > muswada wa sheria ya mabadiliko ya
katiba iliyokuwa ikijadiliwa.
>> >> > Yote
>> >> haya
>> >> > naona yanapelekea kutuondoa kwenye
mtindo wa 'muafaka' wa pamoja
>> kwenye
>> >> > mchakato wa kuandika upya katiba yetu
tuliokuwa tukiendelea nao.
>> >> >
>> >> > Nitaomba nitumie kanuni za bunge
kujenga hoja yangu. Nianze na ile
>> >> > kanuni
>> >> > ya 60 (1.) ambayo inatoa maelekezo ni
wakati gani mbunge atapata
>> >> > muda
>> >> > wa
>> >> > kusema bungeni, inasema: ' Mbunge
akitaka kusema bungeni anaweza:-
>> >> > (a)
>> >> > kumpelekea spika ombi la maandishi;
(b) kusimama kimya mahali pake;
>> >> > na
>> >> (c)
>> >> > kutumbukiza kadi ya elektroniki.'
Mhe. Mbowe aliposimama bungeni
>> >> > alitumia
>> >> > kanuni hii kwenye ile fasili ndogo ya
(b). Lakini ukisoma kanuni
>> >> > hiyo
>> >> hiyo
>> >> > ya 60 ile fasili ya pili inasema
'isipokuwa kwamba, Mbunge yeyote
>> >> hataanza
>> >> > kuzungumza hadi aitwe na spika ama
kwa jina ama kwa wadhifa wake na
>> >> > kumruhusu kusema…' Hivyo Mhe.
Ndugai (NS) alimuona Mhe. Mbowe lakini
>> >> > hakumruhusu kusema, na kwa mujibu wa
kanuni hii alikuwa kwenye
>> >> > mamlaka
>> >> > ya
>> >> > kuamua aidha kumruhusu ama
kutomruhusu.
>> >> >
>> >> > Mbowe anataka kuzungumza baada ya
hoja kuafanyiwa maamuzi,
>> >> > anazungumza
>> >> nini
>> >> > tena? Anataka kura zipigwe kwa mara
nyingine ya pili tena ama
>> >> > anataka
>> >> > kuanzisha upya mjadala wa hoja
iliyofungwa? Anasimama kwa kanuni
>> >> > gani,
>> >> > maana kanuni ambayo ingeweza kumpa
fursa ya kuzungumza ilikuwa ni
>> >> > ile
>> >> > ya
>> >> > 'kuhusu utaratibu' tu, lakini kwa
mujibu wa taarifa rasmi ya
>> >> > majadiliano
>> >> ya
>> >> > bunge (hansard) za siku hiyo,
aliposimama Mhe. Mbowe (KUB) hakusema
>> >> 'kuhusu
>> >> > utaratibu'. Kanuni ya 68 (1.)
inasema hivi: 'Mbunge anaweza kusimama
>> >> wakati
>> >> > wowote na kusema maneno *"kuhusu
utaratibu"*, ambapo Mbunge yeyote
>> >> > ambaye
>> >> > wakati huo atakuwa anasema atanyamaza
na kukaa chini na Spika
>> >> > atamtaka
>> >> > Mbunge aliyedai utaratibu ataje
kanuni au sehemu ya kanuni
>> >> > iliyokiukwa.'
>> >> > Kwa mujibu wa taarifa rasmi za
majadiliano ya bunge (hansard), Mhe.
>> >> > Mbowe
>> >> > (KUB) hakutamka neno hili na kwa
maana hiyo hakukusudia kulielekeza
>> >> > Bunge
>> >> > kuhusiana na kanuni yoyote ya bunge
iliyokiukwa. Na pia hakukuwa na
>> >> Mbunge
>> >> > yeyote yule aliyekuwa akisema kwa
wakati ule hivyo matumizi ya
>> >> > kanuni
>> >> hiyo
>> >> > hayakuwa 'warranted'.
>> >> >
>> >> > Aghalabu angeweza kutumia kanuni ya
63 (3.) inayoruhusu Mbunge
>> >> > yeyote
>> >> yule
>> >> > kusimama na kutamka maneno 'kuhusu
utaratibu'  kama angekuwepo
>> >> > Mbunge
>> >> > anayesema kwa wakati ule, lakini
bahati mbaya sana hakuwepo Mbunge
>> >> > yeyote
>> >> > aliyekuwa akisema wakati ule.
Kumbukumbu rasmi za bunge (hansard)
>> >> > zinaonesha kuwa ndiyo kwanza tulikuwa
tumemaliza kupiga kura na Mhe.
>> >> Ndugai
>> >> > (NS) ndiyo alikuwa amemuita tu Mbunge
wa Vunjo, Mhe. Augustino
>> Lyatonga
>> >> > Mrema azungumze, naye hakuwa
amezungumza lolote lile. Kipengele hiki
>> >> > cha
>> >> > kanuni hii huwa kinatumika bungeni
kwa ajili ya kumkosoa Mbunge
>> >> > aliyesema
>> >> > uongo ili kuweka kumbukumbu sawia.
Kwa kuwa hakuna aliyekuwa amesema
>> >> lolote
>> >> > lile, maana yake hakukuwa na taarifa
za uongo zilizosemwa bungeni na
>> >> > yeyote, hivyo kipengele hiki hakikuwa
na nafasi. Hivyo kanuni hii
>> >> > pia
>> >> > isingeweza kutumika kumpa ulazima wa
yeye kupewa fursa ya kusema
>> >> > bungeni
>> >> > kwa wakati ule.
>> >> >
>> >> > Kanuni nyingine ambayo ingeweza kumpa
nafasi ya kuzungumza ilipaswa
>> >> > kuwa
>> >> > ile ya 'taarifa'; hii ni kanuni
ya 68 (8.) ambayo inasema: 'vile
>> >> > vile
>> >> > Mbunge yeyote anaweza kusimama mahali
pake na kusema *"taarifa"* na
>> kwa
>> >> > ruhusa ya Spika, atatoa taarifa au
ufafanuzi kwa Mbunge anayesema….'
>> >> Jambo
>> >> > la kwanza Mhe. Mbowe (KUB) hakusema
neno hili, kwa mujibu wa taarifa
>> >> rasmi
>> >> > za bunge (hansard) na la pili
hakukuwa na mbunge mwingine aliyekuwa
>> >> akisema
>> >> > wakati ule hivyo hakukuwa na mtu
yeyote ambaye alihitaji taarifa ya
>> >> > Mhe.
>> >> > Mbowe.
>> >> >
>> >> > Kilichokuwepo bungeni kwa wakati ule
ni kuwa, bunge lilikuwa
>> limemaliza
>> >> tu
>> >> > kuifanyia kazi na hatimaye kuifanyia
uamuzi hoja ya Mhe. John Mnyika
>> >> (Mb.)
>> >> > iliyotaka kura zihesabiwe na ikapita
na hivyo kura zilihesabiwa.
>> >> >
>> >> > Nimeitazama kanuni ya 68 (7.) labda
kama ilitumika, lakini wapi!
>> Kanuni
>> >> hii
>> >> > inasema: 'hali kadhalika,
Mbunge  anaweza kusimama wakati wowote
>> ambapo
>> >> > hakuna Mbunge mwingine anayesema na
kuomba *"mwongozo wa Spika" *
>> >> > kuhusu
>> >> > jambo ambalo limetokea bungeni
mapema, ili Spika atoe ufafanuzi kama
>> >> jambo
>> >> > hilo linaruhusiwa au haliruhusiwi kwa
mujibu wa kanuni na taratibu
>> >> > za
>> >> Bunge
>> >> > na majibu ya Spika yatatolewa papo
hapo au baadaye, kadri
>> >> > atakavyoona
>> >> > inafaa.'  Kwa bahati mbaya
sana Mhe. Mbowe (KUB) pia hakutumia
>> >> > kanuni
>> >> hii,
>> >> > kwa kutotamka maneno haya kama
ambavyo taarifa rasmi za majadiliano
>> >> bungeni
>> >> > (hansard) za siku hiyo zinavyosema.
>> >> >
>> >> > Kumpa nafasi ya kusema Mhe. Mbowe
ingekuwa ni sawa na kudharau Bunge
>> >> > zima
>> >> > ambalo lilikwishafanya maamuzi kwa
njia ya kura kuhusiana na hoja ya
>> >> kutaka
>> >> > uamuzi wa kukataa hoja ya Mhe. Mnyika
ufanywe kwa njia ya kura.
>> >> > Wakati
>> >> > naandika hapa nimefanya utafiti wa
kutosha kwa upeo wa macho yangu
>> >> > na
>> >> uwezo
>> >> > wangu na nimejiridhisha kabisa, bila
shaka yoyote ile kuwa, hakukuwa
>> na
>> >> > nafasi yoyote ile ya kikanuni ya
kutoa fursa ya Mbunge yeyote yule
>> >> > kulijadili jambo ambalo
lilikwishafanyiwa uamuzi na bunge zima. Na
>> kama
>> >> > Mhe. Mbowe (KUB) alikuwa anataka
kuleta mezani hoja mpya hakukuwa na
>> >> sababu
>> >> > ya kuwa na wasiwasi maana tayari Mhe.
Ndugai (NS) alikwishaingiza
>> >> > kwenye
>> >> > kumbukumbu kuwa alikwishamuona, na
kwa mujibu wa kanuni za bunge
>> >> > angempa
>> >> > nafasi ya kusema baadaye. Katika hali
ya kawaida, Mhe. Mbowe (KUB)
>> >> alipaswa
>> >> > kukaa chini na kusubiri ni wakati
gani angeitwa apewe fursa yake ya
>> >> kusema.
>> >> > Hakuna kumbukumbu yoyote ile
inayosema kwamba Mhe. Mbowe (KUB)
>> >> > alikuwa
>> >> > na
>> >> > hoja ya dharura na hata baada ya
bunge hatujashuhudia jambo lolote
>> lile
>> >> la
>> >> > dharura lililotokea.
>> >> >
>> >> > Kanuni ya 5 ya bunge inampa Spika
mamlaka ya kuwa na maamuzi ya
>> >> > mwisho
>> >> > kwenye jambo lolote kwenye mijadala
ya Bungeni, na hii ni kwa mujibu
>> wa
>> >> > ibara ya 84 ya katiba ya jamhuri ya
muungano wa Tanzania. Pia kanuni
>> >> > hiyo
>> >> > hiyo ya 5, ile fasili ya (4) mpaka ya
(6), inatoa fursa kwa Mbunge
>> >> > yeyote
>> >> > ambaye hakuridhika na uamuzi wa kiti
(NS kwa niaba ya Spika) kukata
>> >> > rufaa
>> >> > dhidi ya uamuzi huo. Hivyo, badala ya
Mhe. Mbowe (KUB) kulazimika
>> >> > kung'ang'aniza kiti kimpe nafasi
ya kusema bungeni angeweza kukaa
>> >> > akasubiria kufuata utaratibu wa
kukata rufaa unaowekwa na kanuni
>> >> > hii.
>> >> >
>> >> > Kwa heshima ya Kiongozi wa Upinzani
Bungeni na kwa kuzingatia ukweli
>> >> kwamba
>> >> > katika mfumo wa demokrasia yoyote ile
iliyokomaa, sauti ya wachache
>> >> > ni
>> >> > lazima ipewe fursa ya kusikika zaidi
kuliko hata ya wengi. Pengine
>> >> > ni
>> >> dhana
>> >> > hii iliyopelekea Spika kuamua kumpa
haki ya kwanza ya kusema
>> >> > Kiongozi
>> >> > wa
>> >> > Upinzani Bungeni kila mara anapokuwa
ameonesha nia ya kufanya hivyo
>> >> kwenye
>> >> > hoja yoyote ile bungeni. Pia pengine
ndiyo maana KUB amekuwa akipewa
>> >> > kipaumbele cha kuuliza swali la
kwanza kwenye kipindi cha maswali ya
>> >> > papo
>> >> > kwa papo kwa Waziri Mkuu. Pengine.
Lakini kwa mujibu wa kanuni za
>> Bunge
>> >> > zinazotumika sasa, sijaona mahali
popote pale kwenye kanuni hizi
>> ambapo
>> >> KUB
>> >> > anapaswa kupewa nafasi ya upendeleo
kwenye kusema bungeni. Sijaona.
>> >> Napata
>> >> > hisia kwamba pengine KUB alitaka
kujifananisha na KUB wa Bunge la
>> >> > Uingereza, ambaye ana mamlaka tofauti
na KUB wa bunge letu.
>> >> >
>> >> > Rai yangu kwa watanzania wenzangu
wote ni kuwa, tuepuke tabia ya
>> >> > kupuuza
>> >> > ukweli na kuatamia uongo. Ama
kushabikia uongo. Kufanya hivyo ni
>> >> > kuchukua
>> >> > hatua za haraka kuelekea kuondoa
mtangamano wa kitaifa na kuvuruga
>> >> > amani,
>> >> > upendo na mshikamano wetu. Watanzania
tuwe makini tuepuke vitendo
>> vyote
>> >> > vinavyotishia kulegalega kwa tunu
hizi. Tusikubali kuacha mbachao
>> >> > kwa
>> >> msala
>> >> > upitao. Tutakuja kujuta tukiendelea
kuushadadia uongo na kufurahia
>> >> matunda
>> >> > ya zao la uongo la muda mfupi , kisha
siku kweli ikidhihiri
>> tutaambulia
>> >> > aibu na majuto na masikitiko ya
milele.
>> >> >
>> >> >  Ukweli una hii tabia nyingine
ambayo mimi naihusudu sana; hii ni
>> >> > ile
>> >> tabia
>> >> > ya kuwa ukweli haupendi kupuuzwa
puuzwa. Ukweli unapenda usemwe na
>> >> > utatoa
>> >> > faida yake, na ukipuuzwa tu siku moja
utadhihiri na itakuwa
>> >> > tumechelewa.
>> >> > Huu ni ushauri wangu wa wazi kwa
watanzania wenzangu wote kuwa
>> >> > tudumu
>> >> > kwenye ukweli bila kutazama itikadi
zetu na tusiupuuze ukweli kwa
>> >> kuchelea
>> >> > aibu ya muda tukajinyima faida ya
kudumu itokanayo na kweli.
>> >> >
>> >> > Yeyote atakayeamua kufuatilia kanuni
zetu za bunge na akasoma
>> >> > kumbukumbu
>> >> za
>> >> > taarifa rasmi za majadiliano ya
bunge, naamini, atakubaliana na mimi
>> >> > kuwa
>> >> > hakuna uonevu uliokuwepo, wala hakuna
mabavu yaliyotumika katika
>> >> > kumnyima
>> >> > nafasi ya kusema bungeni Mhe. Mbowe
(KUB). Tunatofautiana hisia
>> >> > lakini
>> >> > ukweli kwa faida ya ukweli utabaki
pale pale.
>> >> >
>> >> > Dkt. Hamisi Kigwangalla, MB ni Mbunge
wa Jimbo la Nzega na pia ni
>> >> > Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Tawala za Mikoa na
>> >> > Serikali
>> >> > za
>> >> > Mitaa (TAMISEMI). Ni mhitimu wa
Digrii ya Udaktari wa Tiba za
>> Binadamu,
>> >> > Shahada za uzamili kwenye Afya ya
Jamii (MPH) na kwenye Usimamizi wa
>> >> > Biashara (MBA). Kwa sasa anaandika
tasnifu yake ya digrii ya
>> >> Uzamivu(PH.D.)
>> >> > kwenye Afya ya jamii (mifumo ya usawa
na uchumi wa afya).
>> >> >
>> >> >
>> >> > --
>> >> > "Vision is the ability to see the
invisible!"
>> >> > Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
>> >> > P.O.Box 22499,
>> >> > Dar es salaam.
>> >> > Tanzania.
>> >> > Phone No: +255 754 636963
>> >> >         
      +255 782 636963
>> >> > website: www.peercorpstrust.org or
www.hamisikigwangalla.com
>> >> > Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org
or
>> >> info@hamisikigwangalla.com
>> >> > Skype ID: hkigwangalla
>> >> > Blog: blog.hamisikigwangalla.com
>> >> >
>> >> > --
>> >> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >> >
>> >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
>> >> > kudhibitisha
>> >> > ukishatuma
>> >> >
>> >> > Disclaimer:
>> >> > Everyone posting to this Forum bears
the sole responsibility for any
>> >> legal
>> >> > consequences of his or her postings,
and hence statements and facts
>> >> > must
>> >> be
>> >> > presented responsibly. Your continued
membership signifies that you
>> >> agree to
>> >> > this disclaimer and pledge to abide
by our Rules and Guidelines.
>> >> > ---
>> >> > You received this message because you
are subscribed to the Google
>> >> > Groups
>> >> > "Wanabidii" group.
>> >> > To unsubscribe from this group and
stop receiving emails from it,
>> >> > send
>> >> > an
>> >> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >> >
>> >>
>> >> --
>> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>> >>
>> >> Disclaimer:
>> >> Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility for any
>> >> legal
>> >> consequences of his or her postings, and
hence statements and facts
>> >> must
>> >> be
>> >> presented responsibly. Your continued
membership signifies that you
>> agree
>> >> to this disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
>> >> ---
>> >> You received this message because you are
subscribed to the Google
>> Groups
>> >> "Wanabidii" group.
>> >> To unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it, send
>> an
>> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >>
>> >> --
>> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>> >>
>> >> Disclaimer:
>> >> Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility for any
>> >> legal
>> >> consequences of his or her postings, and
hence statements and facts
>> >> must
>> >> be
>> >> presented responsibly. Your continued
membership signifies that you
>> agree
>> >> to this disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
>> >> ---
>> >> You received this message because you are
subscribed to the Google
>> Groups
>> >> "Wanabidii" group.
>> >> To unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it, send
>> an
>> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >>
>> >
>> > --
>> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence
statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued
membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our
Rules and Guidelines.
>> > ---
>> > You received this message because you are
subscribed to the Google
>> > Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> > To unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it, send
>> > an
>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership
signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are
subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership
signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment