Thursday 3 October 2013

RE: [wanabidii] KILIO CHA AJIRA NCHINI SASA NEXT LEVEL

Wadau sina neon la kuandika hapa,big up sana hili ni somo la kujifunza

-----Original Message-----
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Hildegarda Kiwasila
Sent: Friday, October 04, 2013 7:16 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KILIO CHA AJIRA NCHINI SASA NEXT LEVEL


Ahsante Mwesiga, watu kama wewe tunawahitaji bongoland. Muono chanya ni muhimu kwetu. Hata mwenyewe bongoland utaona, unasubiri huduma secretary anaongea na simu anawaweka foleni. Pamoja kuwa imekatazwa lakini ndio hivyo. kunaajiriwa makampuni ya kufagia-usafi lakini majengo harufu mbaya-machafu. Wafagizi wamelala ktk majani, wamekaa ktk ngazi wanakula stori. Kampuni hiyo ya usafi under PPP (public, private, partnership) lakini private companies nazo ni inefficient rushwa tipu.

Mtoto wa Kitanzania akipata mkopo wa masomo-utamuona mwenge, manzese, Ilala mitumbani kutwa ananunua vivalo vya bei ghali sana badala ya kujenga kwao. Kisha-gari la kisasa aonekane hata kama hatomudu kulihudumia ipasavyo muda tu litamfirisi. Anatoka bwenini hadi darasani-kwa gari na ni mwendo wa kutembea. Likizo harudi kijijini kwao kusaidia wazee shughuli za shamba-analipia chumba cha bweni au kukaa na rafiki. Ulaya-mtu msomi shuleni anatafuta hela anafagia barabara au yupo hotelini au ktk kampuni fulani anajitolea anapata kaposho kidogo. Bweni moja mwenzenu ni mfagizi wa Bweni au mgawa chakula cafeteria. Hapa msomi hawezi kufanya hayo. hata akipangiwa Kata kijijini-hakai Katani anakaa mjini na kata hawamuoni-hana nauli au pikipiki. Nyumba nzuri za kupangisha kijijini sipo ila-hakuna umeme hawezi kukaa. Na ndio hivyo hata kwao likizo haendi-hakuna umeme.Ukisha kusoma-hata vyombo mezani huondoi na shamba huendi. sio wote tunaojituma na kujihoji
ipasavyo. hata ndani ya familia-uzembe mwingi ukiwahimiza-utakuwa adui wao. na ndio maana machafuko afrika na mapigano hayaishi kutokana na ufinyu wetu wa kufikiri na kuona mbali na kupanga ya maendeleo na kuyafanya ila vita, ufisadi kutokana na ubinafsi ambao sasa tun auona ktk katiba jinsi mjadala unavyokwenda kutufikisha pabaya.

Mtu anakuja na vyeti vingi vya kujua kompyuta etc. anapewa komputer wakati wa interview-hawezi hata kuifungua, aende kwenye program unayomuagiza afanye unachomuambia. Hakujipa mazoezi.
Tukipata ajira-tunaangalia kupaa kifedha mara moja-wizi si waaminifu; utoro-kila siku kuomba ruhusa hii na ile. Kuna sherehe kibao siku hizi zinazotuweka busy kuliko kazi. Huko kigoma-wanalalamikia Warundi kuondoka kwani walikuwa wafanyakazi hasa. Sisi kujituma ni tabu sana tunapenda vishuke kama mvua na tunatetea uzembe na ujinga sasa. Siasa tumeweka mbele. Unaona haya ya mifugo kuvamia vyanzo vya maji na wakulima kulima vyanzoni pia; Maji DSM hakuna mto Ruvu umekauka.Wamepanda mpaka Mgeta, Mvua, Ruvu juu milima na Uluguru mifugo imejaa-wasiondolewe waacheni wanaganga njaa. Waache wazagae waende watakako, wakate miti, mbao, wachome mkaa na kuharibu ardhi inakuwa degraded. Sio tushabikie kilimo na ufugaji endelevu tukubali kufundishika na maelekezo-wala. Siasa tu.

Hata tukipewa ufahamu wa kulinda afya zetu na mazingira-wagumu kuzingatia. Mfano Garage zikihamishiwa nje ya mji au mbali na makazi-hatutaki. Zinapokuwa jirani na makazi rangi, vumbi la chuma, hewa na gas inaharibu afya za watoto na zetu watu wazima-NIL respect and respose. Mpambano wakiondolewa.

PPP inakutaka uchangie uzoaji taka shs 500 kwa wiki-NO, unatupa mtaroni usiku. Mataka yanaziba na kufanya maji kufurika mwaka hadi mwaka na kupoteza mali na watu-tunaendelea kutupa mitaroni hata mitaro iwe mikubwa kiasi gani maji hayatopita. Ondokeni mabondeni-No way. ukipewa kiwanja Kipawa, mabwepande na maeneo mengine unakiuza unaendelea kukaa bondeni na kuilaumu serikali haikuondolei mataka unayotupa mtaroni.Ramani ya Dar Master plan 1979 imeonyesha maeneo hatarishi wasikae watu. Na hata National Housing Houses zilizojengwa 1970 hazikufika maeneo hayo ahtarishi iliyaacha-wao ndio wanajua sayansi ya mazingira zaidi- Ubishi hadi leo wanajenga tu, majengo ya gharama na wengine kujenga mpaka juu ya mabomba ya maji. Wanajitia hasara ya maisha kuvunjiwa au mvua kuwaharibia-DEAF Easr and Blind Eyes-watarudi mvua ikiisha. Wanasiasa ndio wanapatia hapo KURA.

Mwekezaji atakuja akupe ajira huna uzoefu na kukutaka kuupata kwa kujifunza mwenyewe baada ya shule kwa kujiunga na kujitolea ktk kazi hiyo husika? Hata fursa zilizopo hatutumii hata uwe hukusoma. Inaudhi unapokwenda kijijini asubuhi wanacheza michezo na wengine tayari wamelewa na kwa kulewa hafanyi kilimo vizuri na anatumia hela nyingi sana kwa upuuzi.

Utamuona shamba boy wako unavyomuwekea mazingira ya kujitegemea-unamwambia hapo shamba alime mbogamboga na nyanya auze, afuge kuku, unampa mbegu za bustani, unamjengea kusima na tangi la kukusanya maji ya mvua-wachache sana. Kutwa analewa au yupo barazani. Hata mvua ikinyesha hatoki kukinga tangi la chini lijae.Mbegu ulizonunua kwa gharaam za mchicha, nyanya, hoto etc utakuta zimeliwa na panya. Ila anataka akiwa na shida leo, kesho umpe hela. Hajitumia na shamba kuna kila kitu. Kama tumelogwa vile.


On Thu, 3/10/13, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KILIO CHA AJIRA NCHINI SASA NEXT LEVEL
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 3 October, 2013, 18:45

Tumesoma mashuleni kwa nguvu
ili tupate ajira nzuri. Ndo maana hata tulikuwa tunadesa ili
tusifeli mitihani. Matokeo msomi wa kitanzania hawezi kuwa
chanzo cha ajira kutokana na ufahamu na utaalam aliopata
baada ya kwenda shule badala yake analia hana ajira.

Sekta ya utalii nasikia inakua kwa kiasi gani
huwezi chukua takwimu zilizopo ukaziamini kwasababu haziko
katika uhalisia. Unaangalia ubabaishaji mkubwa unaotokana na
watu kukosa ubunifu na kutotengenezewa mazingira ya
ushindani katika kila nyanja.

Mtoto wa kitanzania ni muda wa kuamka na
kuchangamkia fursa zilizopo. Angalieni habari na ripoti za
uchumi na uwekezaji uangalie mabilioni ya pesa wageni
wanawekeza afrika halafu waafrika tunalalamika hatuna ajira.
Kuna wajuaji hapa watata kutuaminisha kuwa haya makampuni
hayataki kuajili locals upuuzi wa aina gani huo? 

Hatufanyi uchunguzi wa kutosha kupata sababu
zinazosababisha kutoajiri wazawa na kuleta watu toka nje
japo hawana qualifications kulioko tulizo nazo. Kwa haraka
haraka hata hulka yetu ya uongo na uzembe vinachangia sana.
Uvivu wetu wa kutotaka kujifunza nalo ni tatizo kubwa.

Wawekezaji wanakuja hatujajiandaa hata
kuwahudumia hatujui. Sasa tujalibu kuanzisha vyanzo kazi na
baada ya muda hata tukiambiwa tuombe kazi tuonyeshe uzoefu
haitakuwa shida


2013/10/3 fadhil
fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>

 Heri yangu niliyekimbilia shambani mapema



On 10/3/13, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
wrote:

> Mzuri

>

> Kila kazi inahitaji mahitaji yake hata huko ulimwenguni
siyo kila kazi

> inamfaa mtu ambaye hana uzoefu. ILO wenyewe wakitangaza
kazi huwa

> tunaona wanachotaka.

>

>

> 2013/10/2 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>

>>

>> TANAPA LEO HII INATANGAZA KAZI, KWANZA WANAHITAJI
WATU WENYE UWEZO MKUBWA

>> WA ELIMU (MASTERS), HAIJAISHIA HAPO WANAHITAJI MTU
HUYO ANAYEOMBA KAZI AWE

>> NA UJUZI NA UZOEFU WA MIAKA ISIYOPUNGUA SABA (7)
AKIWA KAZINI KWENYE FANI

>> HIYO NA PIA AWE ALIKUWA KIONGOZI WA ENEO
ALILOTOKA.

>>

>> HII NI TAASISI KUBWA YA SEREKALI NA ILIPASWA KUWA
NDIYO KIMBILIO LA AJIRA

>> KWA VIJANA WA KITANZANIA WALIOTOKA VYUONI.

>>

>> WAKATI HUO HUO TAKUKURU (PCCB) NAO WAMETANGAZA
AJIRA WANAHITAJI VYETI VYA

>> DARASA LA SABA NA HAWAHITAJI PROGRESSIVE REPORTS AU
TRANSCRIPT PEKEE, BALI

>> VITU HIVYO VIAMBATANE NA VYETI, HAPO WAMEWAWEKA
WAPI WANACHUO MAELF KWA

>> MAELFU WALIO GRADUATE MWAKA HUU.

>>

>> ANYWAYS, WADAU MNALIONAJE HILI KWA KUTUMIA
PERSPECTIVE YA WANAVYUO??

>>

>> --

>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>>

>> Kujiondoa Tuma Email kwenda

>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha

>> ukishatuma

>>

>> Disclaimer:

>> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal

>> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must

>> be presented responsibly. Your continued membership
signifies that you

>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules and Guidelines.

>> ---

>> You received this message because you are
subscribed to the Google Groups

>> "Wanabidii" group.

>> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an

>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>

>

>

>

> --

> Bariki G. Mwasaga,

> P.O. Box 3021,

> Dar es Salaam, Tanzania

> +255 754 812 387

>

> --

> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>

> Kujiondoa Tuma Email kwenda

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
 Utapata Email ya kudhibitisha

> ukishatuma

>

> Disclaimer:

> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal

> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be

> presented responsibly. Your continued membership
signifies that you agree to

> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

> ---

> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups

> "Wanabidii" group.

> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an

> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment