Friday 4 October 2013

Re: [wanabidii] KILIO CHA AJIRA NCHINI SASA NEXT LEVEL


 
KINAKERA TUNAPOTETEA UJINGA.NDIO MAANA WENGINE TUNACHANGIA KWA JAZBA!! TUNAPITA MITAANI, VIJIJINI KINACHANGANYA UNAYOYAONA NA JINSI TUNAVYOLALAMIKA DAIMA BILA YA KUJIKANYA WENYEWE-HATUJIONI MATENDO YETU.

Na sasa mabadiliko ya hali ya hewa ndio haya, nchi za eastern block baadhi wanazama nasi coastal zone TZ tujiandae. Tuendelee kujaza takataka mitaroni tunaogelea kinyesi wote. watu wa DSM waende Manzese Uwanjawafisi, Manzese kwa Jongo, Buguruni Mnyamani wakajifunze jinsi PPP katika uzoaji takataka inakwendaje na Water User association DSM inafanyaje kazi Mitaani (Nenda Manzese kwa Jongo-WUA).

Ukitaka kuona jinsi gani tunaharibu kizazi kwa kemikali na hatujali afya zetu-kaone wanaoishi mabondeni jangwani, mabibo na vingunguti oxidation ponds. halafu mfuate Archard Mutalemwa DAWASA akupe picha za maeneo hayo za 1980s yalivyokuwa ulinganishe na uvamisi wa sasa. Wamebomoa fence, wamejenga nyumba, wamezunguka bwawa za maji ya kinyesi yanayozalisha mtu wa matende na mabusha. Wanalewa hapo kucha. Nenda machimboni  Lake zone e.g. Geita-Mugusu, Nyangarata etc ukaone jinsi unavyokunywa mercury ktk maji yako yanayoingia water system na lake victoria. Na hivyo machimbo ya milima ya madini ya dhahabu uluguru na maeneo ya vyanzo vya mito yatakavyomaliza watu kama hatutochukua hatua maana wanatumia kemikali kwa ajili ya amalgamation of gold na wala hawatumii protective gear na wao. Kuzaa watoto wa maumbile ya ajabu ndio matokea na magonjwa na nerves kuongezeka. Na kama ingekuwa maamuzi yangu, wale wanaojichubua kwa vipodozi vya kemikali ningesema wakamatwe kwa kutokuzingatian misingi ya afya na kuongeza taifa la vilema.Unapoweka garage na saluni upate fedha na ndani watoto wanavuta hewa-fumes za chemikali, tina inayotumika katika mbao/magari-unaongeza kifafa na maradhi ya kupumua. kisha hutaki kulipia CHF card ila unamaliza hela kwa waganga. 

Tukubali kubadilika tuache usugu wa mtazamo finyu, kutetea upuuzi kisiasa badala ya kisayansi kulingana na sekta husika. Bila ya kuzingatia afya na mazingira, kujituma pale tulipo-hakuna soko la ajira na ajira kudondoka kama mvua. Tutabaki kung'ang'ana na popular politics na politicking na kuingia vitani. Leo tumelipata la Katiba, kesho la magazeti, keshokutwa la kuhamisha watu mabondeni (Msihame serikali ndio haiwajibiki haina miundombinu na takataak tunajaza wenyewe!); mara msiwahamishe barabarani hata kama masoko yapo na mteja atakuja huko. Nyumbani mtoto akipewa ujauzito au kubakwa tunatetea mbakaji na kuficha siri; kaiba kafanya uharamia-anawekewa dhabana; wanahamia misitu na mbuga hifadhi-wana mitutu hawaondolewi na hawaondoki mpaka utumie JWTZ. Hii ya kuruhusu mtu aende atakako bora asivunje sheria bora sasa ibadilike. Katiba iseme kaa kwako ktk ardhi yako uitumie kiendelevu maana uhuru wa kutembea kokote kule tunaunajisi. Usipolinda group or private customary land yako marufuku kuhamia kwingine ukaharibu na kila mtu sasa au grups wapewe customary titles zao. Ili pale ulipo ulinde mazingira ukose kuhamia ktk customary land ya mwingine yenye hati miliki au protected areas. Uzembe wa kuruhusu kuhamahama ndio unaingiza wageni na kuongeza uharibifu wa mazingira, kuhamia mabondeni na maeneo oevu yatakayo kulindwa kwa faida ya wote. Lazima tutumie ardhi kiendelevu kinyume chake utachukuliwa hatua.

Mwenye kutaka leseni ya mbao na kuchoma mkaa-awe na misitu yake ya kupanda ya miti ya kisasa na ya kienyeji. Iwe mafuruku mijibaba na mijibama yenye nguvu kushindwa kuta kabeba mzigo anazurura kilomita kumi plus anatembeza mtumba, vidoli.

Estate za government za mamlaka ya minazi, pamba, katani, kahawa etc zipo idle-yafunguliwe mashamba ya mazao ya kila aina, kujengwe nyumba za makazi na NHC/NHF huko, peleka trekta na power tiller, tumia utaalamu wa Sokoine university, Tengeru Livestock Institute, Veta, vituo vya kilimo, mifuko kuzalisha mazao vijana watalipwa mishahara kutokana na hayo. Viwanda vya Bakhresa vitapata maembe ya miaka 3 huko, zabibu, ndizi etc na mali ghafi kutumika kufufua viwanda. wachina wanatafuta pa kuwekeza, wapendi viwanda wavifufue ktk ubia na wazawa akina Bakhresa, Mengi, abood, sabodo etc. Wasomi watasaidia management.

Tunaweza yote hata sio kuweka utaranta kutwa wa kulalamika. Ujambazi na ubakaji utapungua, bangi na madawa ya kulevya pia. Wawekee maduka, zahanati, kumbi za starehe jioni kuburudika baada ya kazi na Diamond atakuwa na ratiba huko ya kuwatumbuiza. Tunaweza kujiajiri!!

Tuone wenzetu wanavyopigana makwao, kisha kuhama na kufa baharini nchi za kigeni. Wanaanzisha vita vya kidini haviishi, kisha wanahamia nchi ambazo zina dini hiyo hiyo ambako walikotoka wanachoma mahekalu yake. Wanakata tamaa makwao vita kwao haviishi au hawaruhusiwi kufanya kazi (women), mawakala wanawajaza na kuwaibia hela na kuwakimbia/kuwatosa au kuwafanya wafie katika makonteina au baharini. Sisi hatuhamii misitu ya Ruanda kufuga na kujenga; ila tunawaficha misituni kwetu na kuwapa makazi, kuwasaidia kufanya ujambazi nchini kwetu eti kuganga njaa. Na sasa mitandao ya M-Pesa, Tigo Pesa inayosaidia wengi tumeanza kuitumia kiujambazi kuharibu mfumo unaompunguzia mtu foleni ya bank. Mtanzania, Tunza chako kidumu usiwe Mtumwa wa wengine ambao wanakudharau kwa kuwabeba kinyume cha sheria. Umeifanyia nini familia yako, jamii yako, nchi au jimbo lako, familia yako, mazingira yako mpaka uanze kulaumu wengine daima? Wewe jukumu lako ni nini-lawama tu?

From: "Msuya, Yusuph (Bulyanhulu)" <YMsuya@africanbarrickgold.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 4 October 2013, 7:30
Subject: RE: [wanabidii] KILIO CHA AJIRA NCHINI SASA NEXT LEVEL

Wadau sina neon la kuandika hapa,big up sana hili ni somo la kujifunza

-----Original Message-----
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Hildegarda Kiwasila
Sent: Friday, October 04, 2013 7:16 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KILIO CHA AJIRA NCHINI SASA NEXT LEVEL


Ahsante Mwesiga, watu kama wewe tunawahitaji bongoland. Muono chanya ni muhimu kwetu. Hata mwenyewe bongoland utaona, unasubiri huduma secretary anaongea na simu anawaweka foleni. Pamoja kuwa imekatazwa lakini ndio hivyo. kunaajiriwa makampuni ya kufagia-usafi lakini majengo harufu mbaya-machafu. Wafagizi wamelala ktk majani, wamekaa ktk ngazi wanakula stori. Kampuni hiyo ya usafi under PPP (public, private, partnership) lakini private companies nazo ni inefficient rushwa tipu.

Mtoto wa Kitanzania akipata mkopo wa masomo-utamuona mwenge, manzese, Ilala mitumbani kutwa ananunua vivalo vya bei ghali sana badala ya kujenga kwao. Kisha-gari la kisasa aonekane hata kama hatomudu kulihudumia ipasavyo muda tu litamfirisi. Anatoka bwenini hadi darasani-kwa gari na  ni mwendo wa kutembea. Likizo harudi kijijini kwao kusaidia wazee shughuli za shamba-analipia chumba cha bweni au kukaa na rafiki. Ulaya-mtu msomi shuleni anatafuta hela anafagia barabara au yupo hotelini au ktk kampuni fulani anajitolea anapata kaposho kidogo. Bweni moja mwenzenu ni mfagizi wa Bweni au mgawa chakula cafeteria. Hapa msomi hawezi kufanya hayo. hata akipangiwa Kata kijijini-hakai Katani anakaa mjini na kata hawamuoni-hana nauli au pikipiki. Nyumba nzuri za kupangisha kijijini sipo ila-hakuna umeme hawezi kukaa. Na ndio hivyo hata kwao likizo haendi-hakuna umeme.Ukisha kusoma-hata vyombo mezani huondoi na shamba huendi. sio wote tunaojituma na kujihoji ipasavyo. hata ndani ya familia-uzembe mwingi ukiwahimiza-utakuwa adui wao. na ndio maana machafuko afrika na mapigano hayaishi kutokana na ufinyu wetu wa kufikiri na kuona mbali na kupanga ya maendeleo na kuyafanya ila vita, ufisadi kutokana na ubinafsi ambao sasa tun auona ktk katiba jinsi mjadala unavyokwenda kutufikisha pabaya.

Mtu anakuja na vyeti vingi vya kujua kompyuta etc. anapewa komputer wakati wa interview-hawezi hata kuifungua, aende kwenye program unayomuagiza afanye unachomuambia. Hakujipa mazoezi.
Tukipata ajira-tunaangalia kupaa kifedha mara moja-wizi si waaminifu; utoro-kila siku kuomba ruhusa hii na ile. Kuna sherehe kibao siku hizi zinazotuweka busy kuliko kazi. Huko kigoma-wanalalamikia Warundi kuondoka kwani walikuwa wafanyakazi hasa. Sisi kujituma ni tabu sana tunapenda vishuke kama mvua na tunatetea uzembe na ujinga sasa. Siasa tumeweka mbele. Unaona haya ya mifugo kuvamia vyanzo vya maji na wakulima kulima vyanzoni pia; Maji DSM hakuna mto Ruvu umekauka.Wamepanda mpaka Mgeta, Mvua, Ruvu juu milima na Uluguru mifugo imejaa-wasiondolewe waacheni wanaganga njaa. Waache wazagae waende watakako, wakate miti, mbao, wachome mkaa na kuharibu ardhi inakuwa degraded. Sio tushabikie kilimo na ufugaji endelevu tukubali kufundishika na maelekezo-wala. Siasa tu.

Hata tukipewa ufahamu wa kulinda afya zetu na mazingira-wagumu kuzingatia. Mfano Garage zikihamishiwa nje ya mji au mbali na makazi-hatutaki. Zinapokuwa jirani na makazi rangi, vumbi la chuma, hewa na gas inaharibu afya za watoto na zetu watu wazima-NIL respect and respose. Mpambano wakiondolewa.

PPP inakutaka uchangie uzoaji taka shs 500 kwa wiki-NO, unatupa mtaroni usiku. Mataka yanaziba na kufanya maji kufurika mwaka hadi mwaka na kupoteza mali na watu-tunaendelea kutupa mitaroni hata mitaro iwe mikubwa kiasi gani maji hayatopita. Ondokeni mabondeni-No way. ukipewa kiwanja Kipawa, mabwepande na maeneo mengine unakiuza unaendelea kukaa bondeni na kuilaumu serikali haikuondolei mataka unayotupa mtaroni. Ramani ya Dar Master plan 1979 imeonyesha maeneo hatarishi wasikae watu. Na hata National Housing Houses zilizojengwa 1970s hazikufika maeneo hayo ahtarishi iliyaacha-wao ndio wanajua sayansi ya mazingira zaidi- Ubishi hadi leo wanajenga tu, majengo ya gharama na wengine kujenga mpaka juu ya mabomba ya maji. Wanajitia hasara ya maisha kuvunjiwa au mvua kuwaharibia-DEAF Ear and Blind Eyes-watarudi mvua ikiisha. Wanasiasa ndio wanapatia hapo KURA.

Mwekezaji atakuja akupe ajira huna uzoefu na kukutaka kuupata kwa kujifunza mwenyewe baada ya shule kwa kujiunga na kujitolea ktk kazi hiyo husika? Hata fursa zilizopo hatutumii hata uwe hukusoma. Inaudhi unapokwenda kijijini asubuhi wanacheza michezo na wengine tayari wamelewa na kwa kulewa hafanyi kilimo vizuri na anatumia hela nyingi sana kwa upuuzi.

Utamuona shamba boy wako unavyomuwekea mazingira ya kujitegemea-unamwambia hapo shamba alime mbogamboga na nyanya auze, afuge kuku, unampa mbegu za bustani, unamjengea kusima na tangi la kukusanya maji ya mvua-wachache sana. Kutwa analewa au yupo barazani. Hata mvua ikinyesha hatoki kukinga tangi la chini lijae.Mbegu ulizonunua kwa gharaam za mchicha, nyanya, hoto etc utakuta zimeliwa na panya. Ila anataka akiwa na shida leo, kesho umpe hela. Hajitumia na shamba kuna kila kitu. Kama tumelogwa vile.


On Thu, 3/10/13, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KILIO CHA AJIRA NCHINI SASA NEXT LEVEL
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 3 October, 2013, 18:45

Tumesoma mashuleni kwa nguvu
ili tupate ajira nzuri. Ndo maana hata tulikuwa tunadesa ili
tusifeli mitihani. Matokeo msomi wa kitanzania hawezi kuwa
chanzo cha ajira kutokana na ufahamu na utaalam aliopata
baada ya kwenda shule badala yake analia hana ajira.

Sekta ya utalii nasikia inakua kwa kiasi gani
huwezi chukua takwimu zilizopo ukaziamini kwasababu haziko
katika uhalisia. Unaangalia ubabaishaji mkubwa unaotokana na
watu kukosa ubunifu na kutotengenezewa mazingira ya
ushindani katika kila nyanja.

Mtoto wa kitanzania ni muda wa kuamka na
kuchangamkia fursa zilizopo. Angalieni habari na ripoti za
uchumi na uwekezaji uangalie mabilioni ya pesa wageni
wanawekeza afrika halafu waafrika tunalalamika hatuna ajira.
Kuna wajuaji hapa watata kutuaminisha kuwa haya makampuni
hayataki kuajili locals upuuzi wa aina gani huo? 

Hatufanyi uchunguzi wa kutosha kupata sababu
zinazosababisha kutoajiri wazawa na kuleta watu toka nje
japo hawana qualifications kulioko tulizo nazo. Kwa haraka
haraka hata hulka yetu ya uongo na uzembe vinachangia sana.
Uvivu wetu wa kutotaka kujifunza nalo ni tatizo kubwa.

Wawekezaji wanakuja hatujajiandaa hata
kuwahudumia hatujui. Sasa tujalibu kuanzisha vyanzo kazi na
baada ya muda hata tukiambiwa tuombe kazi tuonyeshe uzoefu
haitakuwa shida


2013/10/3 fadhil
fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>

 Heri yangu niliyekimbilia shambani mapema



On 10/3/13, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
wrote:

> Mzuri

>

> Kila kazi inahitaji mahitaji yake hata huko ulimwenguni
siyo kila kazi

> inamfaa mtu ambaye hana uzoefu. ILO wenyewe wakitangaza
kazi huwa

> tunaona wanachotaka.

>

>

> 2013/10/2 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>

>>

>> TANAPA LEO HII INATANGAZA KAZI, KWANZA WANAHITAJI
WATU WENYE UWEZO MKUBWA

>> WA ELIMU (MASTERS), HAIJAISHIA HAPO WANAHITAJI MTU
HUYO ANAYEOMBA KAZI AWE

>> NA UJUZI NA UZOEFU WA MIAKA ISIYOPUNGUA SABA (7)
AKIWA KAZINI KWENYE FANI

>> HIYO NA PIA AWE ALIKUWA KIONGOZI WA ENEO
ALILOTOKA.

>>

>> HII NI TAASISI KUBWA YA SEREKALI NA ILIPASWA KUWA
NDIYO KIMBILIO LA AJIRA

>> KWA VIJANA WA KITANZANIA WALIOTOKA VYUONI.

>>

>> WAKATI HUO HUO TAKUKURU (PCCB) NAO WAMETANGAZA
AJIRA WANAHITAJI VYETI VYA

>> DARASA LA SABA NA HAWAHITAJI PROGRESSIVE REPORTS AU
TRANSCRIPT PEKEE, BALI

>> VITU HIVYO VIAMBATANE NA VYETI, HAPO WAMEWAWEKA
WAPI WANACHUO MAELF KWA

>> MAELFU WALIO GRADUATE MWAKA HUU.

>>

>> ANYWAYS, WADAU MNALIONAJE HILI KWA KUTUMIA
PERSPECTIVE YA WANAVYUO??

>>

>> --

>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>>

>> Kujiondoa Tuma Email kwenda

>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha

>> ukishatuma

>>

>> Disclaimer:

>> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal

>> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must

>> be presented responsibly. Your continued membership
signifies that you

>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules and Guidelines.

>> ---

>> You received this message because you are
subscribed to the Google Groups

>> "Wanabidii" group.

>> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an

>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>

>

>

>

> --

> Bariki G. Mwasaga,

> P.O. Box 3021,

> Dar es Salaam, Tanzania

> +255 754 812 387

>

> --

> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>

> Kujiondoa Tuma Email kwenda

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
 Utapata Email ya kudhibitisha

> ukishatuma

>

> Disclaimer:

> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal

> consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be

> presented responsibly. Your continued membership
signifies that you agree to

> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

> ---

> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups

> "Wanabidii" group.

> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an

> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


>



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment