Tuesday 15 October 2013

Re: [wanabidii] I’m Pregnant For My Cousin Again, After 2 Abortions

Hapana, mtoto hana makosa. Kama ni kosa, basi, na wanaostahili kuzomekwa kama kweli kupo, ni wazazi wake (baba na mama yake, wakiwemo, babu na bibi yake.)

Mtoto atakayezaliwa, ni malaika, hana makosa, maana hakuwa na uhuru wa kuchagua kuzaliwa au kutokuzaliwa na 'mabinamu' hawa! Expected child is only an outcome of immoral act but it does not mean the end is by itself immoral, but on the contrary, innocent. The parents, as the primary doers, are indeed responsible for their action!

Ukisema, mtoto atazomewa, ni sawa na kuwatete wazazi wa huyu mtoto (mabinamu). Kwa nini jamii isiwazomee hawa wazazi ambao mara ya kwanza walipaswa kujiona kuwa, hawakupaswa kutamaniana tangu mwanzo, maana wote walikuwa na wapenzi wao, ili kutokana na kuwa ati, waliwekwa kwenye chumba kimoja, ndio mambo yakaanza upya! Something must be seriously wrong with these unamed 'binamu' in this story! Inakuwaje wote, kijana na huyu mwanadada, kuwa mwanzoni kabla hawajakutana, kila mmoja alikuwa na mpenzi wake, mara gafla walipokutana, kila mmoja akamtimua mpenzi wake, wakaanza wenyewe kwa wenyewe? Something is wrong with their reasoning logic, or we are being taken for granted! And the issue at our hand, I think, it should not take too much of our time, the advise given is enough.
Bye.

On Tue, Oct 15, 2013 at 2:52 PM, Maurice J. Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
Kilasara,

Hapa kidogo umenishawishi lakini pendekezo lako lina kasoro moja tu; umesahau kwamba huyu mtoto akilelewa na wazazi wake maisha atakuwa akizomwa na na kutusiwa na watoto wenzake na hata watu wazima.
Uamuzi busara hapa ni changamoto. Labda wakaishi mji au mkoa wasikojulikana.

Courage

On 2013-10-15, at 7:19 AM, Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com> wrote:

> allowed

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
-----------------------
Fratern Kilasara
,

P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment