Amartya Sen bigwa wa masuala ya maendeleo duniani katika kitabu chake Development as Freedom (1999) anasema hata kama kiongozi anafanya mambo makubwa kiasi gani ya kuwaletea watu wake maendeleo, maendeleo hayo si kamili (hayajazi furaha mioyoni mwa watu) kama kiongozi huyo atakuwa amewanyima watu wake uhuru wa kuzungumza kutoa maoni yao, uhuru wa kujumuika, uhuru wa kuelezea hisia zao iwe ni kwa nyimbo, maandamano, mikutano, washa au chochote kile, uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa kuwakosoa viongozi wao bila ya kusakamwana na vyombo vinavyopaswa kulinda raia mfano polisi. Sen anasisitiza kuwa kiongozi anaweza kufanya mambo ya maendeleo kama kujenga barabara, kuhakikisha wananchi wana maji safi na salama, wanapata huduma bora za afya na kadhalika. Lakini bado hayo si maendeleo kamili yenye afya kwenye mioyo ya watu kama wananchi hawana uhuru wa kuzungumza kwa mambo yanayowahusu bila kuhofia kuuwawa au kuteswa au kubughudhiwa kwa namna yoyote na wenye nguvu kisiasa na kifedha.
Kadhalika Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baba wa taifa hili katika andiko lake la 1973 'Freedon and Development: Uhuru na maendeleo...'. alisisitiza kuwa alipigania nchi yetu kupata uhuru maana uhuru ndiyo maendeleo ya msingi maendeleo ya vitu hupatikana kutoka na watu kuwa huru kwanza.
Nilishasema siku nyingi humu jukwaani kuwa tatizo letu kubwa Watanzania tulio wengi ni kwamba tu WANAFIKI kwa viongozi wetu. Hatuwapendi viongozi wetu kwa dhati. Ukimpenda mtu kwa dhati huwezi kuwa mnafiki kwake. Nami nahisi wengi wanaomzunguka Rais wetu kwa sasa ni wanafiki . UNAFIKI ni sumu mbaya ya maendeleo anayoyazunguza Amartiya Sen (1999).
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
From: 'lucas haule' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, July 25, 2017 8:11 AM
Subject: Re: [wanabidii] TABIA HII YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA TAIFA
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

0 comments:
Post a Comment