Itajulikana kama sheria ilivunjwa baada ya upande wa pili kusikilizwa na kuamuliwa. Mpaka sasa hatujui kama ilikuwa safari kama ya kawaida kama alivyozoea (ripoti ya tume) na wafanyakazi walishtuka kuona askari walioongozana naye kumlinda kwa hali yake baada ya swala la madawa.
--------------------------------------------
On Tue, 4/11/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] NAPE: Kijana Anayepitwa na wakati kirahisi hivi?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, April 11, 2017, 7:48 PM
It is
amazing. Eti kitendo cha uvunjaji wa sheria kinaweza kuwa
cha manufaa kwa taifa? Taifa la aina
gani?em
2017-04-11 11:10 GMT-04:00
paul chilewa <paulchilewa@gmail.com>:
Duh
On Apr 11, 2017 6:04 PM,
"Edgar Mbegu" <embegu@hotmail.com>
wrote:
Akitumbuliwa Makonda utasema amepitwa na wakati.
Tumewazoea!
Sent from Samsung
tablet.
-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date: 11/04/2017 13:09 (GMT+03:00)
To: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>,
wanabidii@googlegroups.com,
prudence karugendo <prudencekarugendo@yahoo.com>
Cc: stanley.nshange@nsn.com,
innokahwa@yahoo.com,
akiobya@yahoo.com,
tkiobya@yahoo.com,
hkahyoza@yahoo.com,
emmanuelelias2005@yahoo.com,
repeatitagency@yahoo.com,
stanley.nshange@nokia.com,
uhalisi@yahoo.co.uk,
tundu.lissu@gmail.com,
pkarugendo@yahoo.com,
mbowe2008@gmail.com,
bilhuda2006@yahoo.co.uk,
davidkafulila@yahoo.com,
muddy.kiobya@gmail.com,
emmanuelelisa46@yahoo.com,
wilfredlwakatare@gmail.com
Subject: [wanabidii] NAPE: Kijana Anayepitwa na wakati
kirahisi hivi?
Mkuu
wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paulo Makonda alipofanya ziara
yenye utata kituo cha matangazo cha Clouds, aliyekuwa
waziri wa wizara husika Nape Nnauye alifanya makosa matatu
kwa kupitia matamshi aliyoyatoa kulaani kitendo hicho.
1) Kama kiongozi wa serikali alipaswa kutamka kwa tahadhali
katika kuongelea kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam
kwa kuzingatia kuwa Makonda ni Mkuu wa Mkoa. Alipaswa
kujihoji kama haiwezekani kuwa kitendo haramu cha Makonda
kinaweza kuwa na manufaa Fulani
kwa serikali anayoitumika.
2) Kosa la pili ni kumhukumu Makonda halafu kuunda tume.
Ilibidi atangulie kuunda tume ya kusikiliza pande zote kabla
ya kuonyesha msimamo wake; au amlaani Makonda na aachie pale
bila kuunda tume ya uchunguzi.
3) Kwa kuzingatia kuwa Mkuu wa Mkoa anawajibika kwa waziri
wa TAMISEMI, Nape angekuwa ametumia busara kuwasiliana na
wizara husika ili washauriane na kushirikiana kumchunguza
Makonda.
Baada ya makosa hayo mwandishi mmoja alitoa makala iliyosema
"Ningekuwa rais Nape angesikia mrithi wake radioni".
Ndivyo ilivyotokea.
Baada ya hapo Nape alifanya kosa jingine la msingi. Aliongea
kwenye vyombo vya habari. Alifanya hivyo siku aliposikia
kuwa sasa si waziri tena. Hizi ni tabia za ajabu.
Haiwezekani zikawa za ajabu Nape asiwe mtu wa ajabu.
Ukiiangalia tabia ya Nape unaweza kudhani
nafasi pekee inayomfaa ni kuwa Rais. Chini ya hapo atakuwa
anatumiwa na kutimuliwa.
Sasa amekwenda jimboni kwake. Kafanya mikutano kadhaa. Mmoja
akina mama walilala chini wakitaka atembee migongoni kwao.
Wanampongeza. Ni shujaa. Sijui kwa kufanya nini? Nape kama
mhamasishaji (Kama alivyokuwa Moses Nnauye) siwezi kushangaa
mbwembwe hizo. Ila
siwezi kupinga mtu akisema viliandaliwa viwe hivyo.
Nimesoma maelezo fulani yakimnukuu Nape Nnauye katika moja
ya mikutano yake. Anasema yeye ndiye alimuweka Magufuli
madarakani. Kama ni kweli kasema sijui ina maana gani?
Nakumbuka Rais Magufuli kuwahoji wafanya
biashara kama kuna aliyemchangia japo shilingi aseme. Sijui
kama Nape anataka kutwambia Rais angebadilisha kauli asiseme
hela Nape angekuwa mmoja wao kunyosha mkono! Lakini tunajua
wakati Nape akiwa Katibu wa CCM idara ya uenezi alifanya
kazi kubwa iliyomletea
ushindi Rais Magufuli katika kampeni za uchaguzi 2015. Watu
wengi walifanya hivyo. Nami nikieleza nilichofanya kuna
watakaoshangaa. Wote hao hakuna anayestahili kujiona ni yeye
alileta ushindi labda awe wa ajabu. Wote walichangia ushindi
huo.
Nakumbuka wakati Nape, Adulrahman Kinana na Mzee Philip
Mangula wanaitwa kuiongoza CCM, ilikuwa hoi na walikuja
kujaribu kuifufua na kwa kweli walifanikiwa. Walifanikisha
angalau katika mikutano yao (Hasa Mzee Kinana) kuongea lugha
iliyokuwa ikitumiwa na wapinzani.
Hii ilirudisha moyo wa watanzania wakaamini CCM inaweza
kufufuka. Kinana anafahamika misimamo yake. Hata
angebadilika hawezi kuupoteza kabisa uNyerere. Nawapongeza
sana. Na Nape nampongeza pamoja na hao.
Kipindi hicho CCM ilikumbatia watu fulani. Badala ya
kumilikiwa na wanyonge ikawakumbatia matajiri na wanasiasa
wengine waliojiona wao ni muhimu. Hata nyimbo kama "CCM
ina wenyewe" ziliimbwa na kutafsiriwa 'vile'.
Sasa CCM inafanya mabadiliko. Haitarajiwi siku za usoni
kumuona mtu mmoja kuwa muhimu kuliko wengine. Inatarajiwa
timu ikifanya kazi mafanikio yanakuwa yao wote. Kumkuta
kiongozi leo hii anasema "mimi nilifanya hivi na vile"
ni dalili ya kuelekea kupitwa na
wakati na kutoiona CCM inakwenda wapi ili kwenda nayo. Hii
ni hatari hasa kwa mtu anayeelekea kuamini kuwa siku moja
'atakumbukwa'. Anashindwa kuwaelewa watakaomkumbuka ni
watu wa namna gani na kuwashawishi kwa mwenendo wake ili
wamkumbuke kweli. Nape anapitwa
na hilo bila kuliona. Inaposemwa CCM inafanya mabadiliko,
inasemwa wakati Nape bado ni kiongozi wa CCM, na anaelekea
kutoona mabadiliko na anaendelea ku-behave kiCCM ya zamani,
anaelekea kupitwa na inaweza kuleteleza kutupwa.
La pili linaloonyesha kuwa anaelekea kupitwa na wakati ni
kusema " Kama rais hatachukua hatua kuhusiana na watu
kutekwa basi 2020 anaweza kupoteza kura". Sitegemei mtu
yeyote anayejua sheria na uendeshaji wa nchi aunganishe
jinai hiyo na siasa za uchaguzi.
Hili ni kosa la kuchukuliwa hatua za kisheria mara moja.
Sasa yeye anasema mpaka 2020 wakati wa uchaguzi? Yaani kama
si uchaguzi basi watu waachwe watekwe tu! Lakini jambo la
ajabu katika matamshi haya ni kuwa utekaji huu sio kwanza
unatokea hapa Tanzania.
Dr. Ulimboka akiwa katikati ya kutetea maslahi ya Madaktari
alitekwa na kusulubiwa na akatupwa na watekaji mahala
atakapookotwa. Kiongozi wa CUF alipozolewa pale Posta na
akapotea kwa siku kadhaa na kuja kuonekana mitaani baada ya
siku. Dr. Mvungi akiwa kiongozi
muhimu wa Tume ya katiba alivamiwa na kuumizwa vibaya sana
na akafia Afrika ya Kusini. Kipindi hicho Nape alikuwa Mkuu
wa idara ya uenezi ya CCM. Sikuwahi kumsikia akisema haya
anayoyasema sasa baada ya matukio mawili ya utekani.
Alinyamaza sheria "ichukue
mkondo wake" (kama iliuchukua). Maneno haya kwa nini
hakuyasema Dr. Ulimboka alipotekwa? Iweje anayasema leo
wakati ametimuliwa kazi. Nape (Kwa kumbu kumbu zangu) ni
kiongozi wa kwanza kutimuliwa kazi na akaitisha press
conference siku hiyo hiyo. Kama angekuwa
anasikiliza ushauri basi angezingatia ushauri huu: AKAE
KIMYA. Mambo yatajipa huko mbele kama yalivyojipoa kwa
wengine. Mwinyi anayemtolea mfano hakusikia baada ya
kujiuzuru akiongea. Nape anasahau kuwa silent listeners ndio
watakaoichagua CCM iliyobadilika
na Magufuli wake aliyeibadilisha au mteule mwingine.
Anafikiri wanaofikiwa na habari za kutekwa na kuyapa uzito
wa kelele za siasa ni wengi sana mitandaoni na ndio wapiga
kura pekee. Lakini ni wachache sana kwa ujumla wake. Bila
kupiga hesabu hapo ataendelea
kujihangaisha na anachoonekana kutafuta atakikosa kama
watangulizi wake.
Ninaamini kama alikuwa mshauri wa busara kwa nafasi
aliyonayo ya uanachama wa CCM ushauri wake asingeutoa
mitandaoni na hadharani kama wapinzani wa kisiasa. Kuna
aliyefikiri kuwa kelele za Nape zilihesabiwa kumsaidia
'kuandaa atakapofikia' (akitimuliwa (maana
alijua)). Kama ni hivyo aendelee maana ameishafika.
Elisa Muhingo
0767 187 507
elisamuhingo@yahoo.com
--
Send Emails to
wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda
wanabidii+...@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum
bears
the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and
facts must be
presented
responsibly.
Your
continued
membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You received
this
message because you
are subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and
stop receiving
emails
from
it, send an email to
wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more
options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum
bears the sole
responsibility
for any legal
consequences
of his or her postings,
and
hence
statements and facts
must be presented
responsibly. Your
continued
membership
signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge
to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this
message because you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from
this group and stop
receiving emails
from it, send an
email
to wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/o
ptout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her
postings,
and
hence
statements and facts must
be presented
responsibly.
Your
continued membership
signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message
because you are
subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googleg
roups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/o
ptout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/op
tout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/op
tout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment