Thursday, 13 April 2017

Re: [wanabidii] NAPE: Kijana Anayepitwa na wakati kirahisi hivi?

Kim, sio sahihi kusema nape kafanya vile bila kujua hapana, nape katizama mbali kafanya maandalizi ya maisha ya badae, kumbuka nape kazunguka nchi nzima na Komredi Kinana kafahamu watanzania ni watu wa namna gani na wanataka nini.

Watanzania wanataka porojo na maneno mengi ukifanyakazi kimya kimya hawawezi kuona umewawakilisha sawasawa, na ndio siasa alizochagua nape na zinamlipa kwa sasa.

On Thu, Apr 13, 2017 at 5:06 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Amazing! Na hawa ndio wasomi wetu.
em

On Thu, Apr 13, 2017 at 5:54 AM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Hakukuwa na namna, maamuzi ya Rais yalikuwa sahihi. Nape ni kijana,
uongozi si tu kufuata sheria na kufanya maamuzi ila kutumia busara
kwa'yo. Alichokifanya NAPE ilikuwa mihemko au vile ninavyoitafsiri
(kujifanya yupo fair hali anataka kucheza double-standard).

HUWEZI KUTUMIKIA MABWANA WAWILI.

JPM akiendelea hivi, 2020 atashinda kwa kishindo na hatafutika kwenye
historia yetu.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment