Tuesday, 11 April 2017

Re: [wanabidii] NAPE: Kijana Anayepitwa na wakati kirahisi hivi?

Ahaaa
Karibu kaka



From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, April 11, 2017 9:44 PM
Subject: Re: [wanabidii] NAPE: Kijana Anayepitwa na wakati kirahisi hivi?

Ha ha haaaa. Lucas nimefurahishwa na mambo mawili katika jibu lako
1) Umejadili hoja. Watu wengi hawajadili hoja ila matusi na porojo.
2) Umejenga hoja zako kwa namna ambayo nimekuelewa na kutamani kuwa na mdahalo mahala.
Tunajenga nchi. Tunapitia kipindi cha kukumbukwa. Ipo siku tutaona matunda ya kazi hizi.
--------------------------------------------
On Tue, 4/11/17, 'lucas haule' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] NAPE: Kijana Anayepitwa na wakati kirahisi hivi?
Date: Tuesday, April 11, 2017, 2:36 PM

Elisa
MuhingoKaka
mkubwa
Mi
mdogo wako napenda sana maandishi yako, ufikirisha na kuna
wakati huwa nakuona kama mwalimu fulani ambaye huendesha
somo lake kupitia vichokoo. Hii humsaidia mwalimu kuwaelewa
wanafunzi wake upeo wao katika maeneo tofauti.
Nape
kupitwa na wakatiKama
kuna kitu kimeiangusha Afrika na kule wananchi au jamii
kumfanya kiongozi wao ni Mungu. Hagusiki, hakosolewi,
ahambiwi tazama unakosea au mbele kuna hatari.Tazama
viongozi wa dini, wa jadi, n.k. wapo kimya hata kama
kiongozi akifanya mauaji. watayahita mauaji
matakatifu.
Nape
anayeonekana kupitwa na wakati, ameonesha hataki, amekataa
mfumo huo. Nape kama kijana mtu mkomavu kuelekea utu uzima,
anaonyesha ukombozi kutoka katika fikra lala. Anavunja
minyororo ya ukabila, ubaguzi, unyanyasaji na ubwana.
Anaheshimu kwa dhati uongozi, lakini anakimbia unafiki wa
kusifu sehemu chafu. Huyu ni wakisasa.Mama
zetu wakiweza kuondokana na unyanyasaji bila kuogopa
kuambiwa hawanaheshima na unyenyekevu, wanaume wote tutakuwa
kama Nape, mtu wa kisasa.
Nape,
Kinana na MangulaWalikubali
kuchafuka na ccm ( ilifika maali, mtu akiwa mwana ccm. mbele
zatu alikuwa anaona haya) wakawa kama dhahabu katika tanuru,
na wakaonekana wao wanafaha, na ccm ikafaha na mgombea
akaonekana amefaha. Lazima ajisifu, ajigambe na aringie
hilo.Moja ya sifa ya kupenda kwanza lazima ujipende. Njia ya
kujiopenda ni kujisamehe ndipo utasamehe na wengine,
utawatendea kiutu.
Nape
asipojisifu hata weza kusifu wengine, kujisifu huku ndiko
kunampa nguvu ya kutambua uwepo wa wengine, sifa zitokanazo
na matendo ya wengine na thamani ya sifa hizo.
Asante mwalimuElisa Muhingo


   
  From: 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
  To: ELISA MUHINGO
prudence karugendo <prudencekarugendo@yahoo.com>
Cc:
  Sent: Tuesday, April
11, 2017 1:09 PM
  Subject: [wanabidii]
NAPE: Kijana Anayepitwa na wakati kirahisi hivi?
   
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paulo Makonda
alipofanya ziara yenye utata kituo cha matangazo cha
Clouds,  aliyekuwa waziri wa wizara husika Nape Nnauye
alifanya makosa matatu kwa kupitia matamshi aliyoyatoa
kulaani kitendo hicho.
1) Kama kiongozi wa serikali alipaswa kutamka kwa
tahadhali katika kuongelea kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar
Es salaam kwa kuzingatia kuwa Makonda ni Mkuu wa Mkoa.
Alipaswa kujihoji kama haiwezekani kuwa kitendo haramu cha
Makonda kinaweza kuwa na manufaa Fulani kwa serikali
anayoitumika.
2) Kosa
la pili ni kumhukumu Makonda halafu kuunda tume. Ilibidi
atangulie kuunda tume ya kusikiliza pande zote kabla ya
kuonyesha msimamo wake; au amlaani Makonda na aachie pale
bila kuunda tume ya uchunguzi.
3) Kwa kuzingatia kuwa Mkuu wa Mkoa anawajibika
kwa waziri wa TAMISEMI, Nape angekuwa ametumia busara
kuwasiliana na wizara husika ili washauriane na kushirikiana
kumchunguza Makonda.
Baada ya makosa hayo mwandishi mmoja alitoa makala
iliyosema "Ningekuwa rais Nape angesikia mrithi wake
radioni". Ndivyo ilivyotokea.

Baada ya
hapo Nape alifanya kosa jingine la msingi. Aliongea kwenye
vyombo vya habari. Alifanya hivyo siku aliposikia kuwa sasa
si waziri tena. Hizi ni tabia za ajabu. Haiwezekani zikawa
za ajabu Nape asiwe mtu wa ajabu. Ukiiangalia tabia ya Nape
unaweza kudhani nafasi pekee inayomfaa ni kuwa Rais. Chini
ya hapo atakuwa anatumiwa na kutimuliwa.
Sasa amekwenda jimboni
kwake. Kafanya mikutano kadhaa. Mmoja akina mama walilala
chini wakitaka atembee migongoni kwao. Wanampongeza. Ni
shujaa. Sijui kwa kufanya nini? Nape kama mhamasishaji (Kama
alivyokuwa Moses Nnauye) siwezi kushangaa mbwembwe hizo. Ila
siwezi kupinga mtu akisema viliandaliwa viwe hivyo. Nimesoma
maelezo fulani yakimnukuu Nape Nnauye katika moja ya
mikutano yake. Anasema yeye ndiye alimuweka Magufuli
madarakani. Kama ni kweli kasema sijui ina maana gani?
Nakumbuka Rais Magufuli kuwahoji wafanya biashara kama kuna
aliyemchangia japo shilingi aseme. Sijui kama Nape anataka
kutwambia Rais angebadilisha kauli asiseme hela Nape
angekuwa mmoja wao kunyosha mkono! Lakini tunajua wakati
Nape akiwa Katibu wa CCM idara ya uenezi alifanya kazi kubwa
iliyomletea ushindi Rais Magufuli katika kampeni za uchaguzi
2015. Watu wengi walifanya hivyo. Nami nikieleza
nilichofanya kuna watakaoshangaa. Wote hao hakuna
anayestahili kujiona ni yeye alileta ushindi labda awe wa
ajabu. Wote walichangia ushindi huo.
Nakumbuka wakati  Nape,
Adulrahman Kinana na Mzee Philip Mangula wanaitwa kuiongoza
CCM, ilikuwa hoi na walikuja kujaribu kuifufua na kwa kweli
walifanikiwa. Walifanikisha angalau katika mikutano yao
(Hasa Mzee Kinana) kuongea lugha iliyokuwa ikitumiwa na
wapinzani. Hii ilirudisha moyo wa watanzania wakaamini CCM
inaweza kufufuka. Kinana anafahamika misimamo yake. Hata
angebadilika hawezi kuupoteza kabisa uNyerere. Nawapongeza
sana. Na Nape nampongeza pamoja na hao.
Kipindi hicho CCM
ilikumbatia watu fulani. Badala ya kumilikiwa na wanyonge
ikawakumbatia matajiri na wanasiasa wengine waliojiona wao
ni muhimu. Hata nyimbo kama "CCM ina wenyewe" ziliimbwa
na kutafsiriwa 'vile'.
Sasa CCM inafanya mabadiliko. Haitarajiwi siku za
usoni kumuona mtu mmoja kuwa muhimu kuliko wengine.
Inatarajiwa timu ikifanya kazi mafanikio yanakuwa yao wote.
Kumkuta kiongozi leo hii anasema "mimi nilifanya hivi na
vile" ni dalili ya kuelekea kupitwa na wakati na kutoiona
CCM inakwenda wapi ili kwenda nayo. Hii ni hatari hasa kwa
mtu anayeelekea kuamini kuwa siku moja 'atakumbukwa'.
Anashindwa kuwaelewa watakaomkumbuka ni watu wa namna gani
na kuwashawishi kwa mwenendo wake ili wamkumbuke kweli. Nape
anapitwa na hilo bila kuliona. Inaposemwa CCM inafanya
mabadiliko, inasemwa wakati Nape bado ni kiongozi wa CCM, na
anaelekea kutoona mabadiliko na anaendelea ku-behave kiCCM
ya zamani, anaelekea kupitwa na inaweza kuleteleza
kutupwa.

La pili linaloonyesha kuwa
anaelekea kupitwa na wakati ni kusema " Kama rais
hatachukua hatua kuhusiana na watu kutekwa basi 2020 anaweza
kupoteza kura". Sitegemei mtu yeyote anayejua sheria na
uendeshaji wa nchi aunganishe jinai hiyo na siasa za
uchaguzi. Hili ni kosa la kuchukuliwa hatua za kisheria mara
moja. Sasa yeye anasema mpaka 2020 wakati wa uchaguzi? Yaani
kama si uchaguzi basi watu waachwe watekwe tu! Lakini jambo
la ajabu katika matamshi haya ni kuwa utekaji huu sio kwanza
unatokea hapa Tanzania. Dr. Ulimboka akiwa katikati ya
kutetea maslahi ya Madaktari alitekwa na kusulubiwa na
akatupwa na watekaji mahala atakapookotwa. Kiongozi wa CUF
alipozolewa pale Posta na akapotea kwa siku kadhaa na kuja
kuonekana mitaani baada ya siku. Dr. Mvungi akiwa kiongozi
muhimu wa Tume ya katiba alivamiwa na kuumizwa vibaya sana
na akafia Afrika ya Kusini. Kipindi hicho Nape alikuwa Mkuu
wa idara ya uenezi ya CCM. Sikuwahi kumsikia akisema haya
anayoyasema sasa baada ya matukio mawili ya utekani.
Alinyamaza sheria "ichukue mkondo wake" (kama
iliuchukua). Maneno haya kwa nini hakuyasema Dr. Ulimboka
alipotekwa? Iweje anayasema leo wakati ametimuliwa kazi.
Nape (Kwa kumbu kumbu zangu) ni kiongozi wa kwanza
kutimuliwa kazi na akaitisha press conference siku hiyo
hiyo. Kama angekuwa anasikiliza ushauri basi angezingatia
ushauri huu: AKAE KIMYA. Mambo yatajipa huko mbele kama
yalivyojipoa kwa wengine. Mwinyi anayemtolea mfano hakusikia
baada ya kujiuzuru akiongea. Nape anasahau kuwa silent
listeners ndio watakaoichagua CCM iliyobadilika na Magufuli
wake aliyeibadilisha au mteule mwingine. Anafikiri
wanaofikiwa na habari za kutekwa na kuyapa uzito wa kelele
za siasa ni wengi sana mitandaoni na ndio wapiga kura pekee.
Lakini ni wachache sana kwa ujumla wake. Bila kupiga hesabu
hapo ataendelea kujihangaisha na anachoonekana kutafuta
atakikosa kama watangulizi wake.
Ninaamini kama alikuwa mshauri wa busara kwa
nafasi aliyonayo ya uanachama wa CCM ushauri wake asingeutoa
mitandaoni na hadharani kama wapinzani wa kisiasa. Kuna
aliyefikiri kuwa kelele za Nape zilihesabiwa kumsaidia
'kuandaa atakapofikia' (akitimuliwa (maana alijua)).
Kama ni hivyo aendelee maana ameishafika.
Elisa Muhingo
0767 187 507
   
     
               --

           
              
           
         
               Send
Emails to
           
              
           
         
                
           
              
           
           
            
Kujiondoa Tuma
  Email
kwenda
           

              

           
           
            
wanabidii+...@

googlegroups.com 
   
       
       
 
             
Utapata Email ya
     
     
         

              
kudhibitisha

ukishatuma
         
 
           
  
         
 
         
                
           
              
           
           
            
Disclaimer:
       
   
           
  
         
           
              
Everyone
         
posting to this Forum

bears
           
the sole
         
 
             
responsibility
     
     
         
     for any legal

        consequences of his or
            her
postings,
         
 
           
 and
         
 
         
             
hence
           

              
statements and
  facts
must be
         
presented
         
  responsibly.
     
     
         

           
 Your
           

              
continued
  membership
signifies that
     
      you agree to

         
     
       this
     
     
         
     disclaimer and

pledge to abide by
   
      our
       
    Rules and
     
     
         
    Guidelines.
   
       
       
      
       
   
         
 
            
---
           

              

           
               You
received
  this
          message
because you
       
    are subscribed

         
     
       to
       
   
         
              the
           
              
Google Groups

"Wanabidii"

          group.

         
     
        
     
     
         
 
             To
unsubscribe
  from this
group and
         
 
          stop
receiving
         
 
           
           emails
           
              
from
          it,
send an email to

wanabidii+...@
     
     
         
googlegroups.com.
   
       
       
   
            

           
               For
more
         
options, visit
     
     
         
            optout.
           
              
           
           
         
           
           
           
         
            --
           
            Send
           
             
           
         
            Kujiondoa
Tuma Email
  kwenda
           
           
          Utapata
Email ya
         
 
         
kudhibitisha

ukishatuma
         
 
           
 
           
           
         
Disclaimer:
       
   
           
Everyone
         
posting to this Forum

bears the sole
     
   
         
responsibility
     
      for any legal

consequences
       
  of his or her postings,
  and
     
    hence
       
    statements and facts
  must be presented
          responsibly. Your
           
continued

membership
         
signifies that you

agree to this
       
   
         
disclaimer and pledge

to abide by our Rules

  and
           
Guidelines.
       
   
           
---
           

           
          You received
this
  message because
you are
     
subscribed
       
to
         
the
           
Google Groups
       
  "Wanabidii" group.
           
            To unsubscribe from
  this group and stop
          receiving
emails
           
from it, send an

email
          to
           
            For more
options,
         
visit
         
         

https://groups.google.com/d/optout.
           
         
           
         
       
        --
        Send Emails to
       
        Kujiondoa Tuma
Email
  kwenda
        wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
        Utapata Email
ya
  kudhibitisha
ukishatuma
       

       
Disclaimer:
       
Everyone posting to this
  Forum bears the sole
      responsibility
        for any legal consequences
  of his or her
    postings,
      and
      hence
        statements and
facts must
  be
presented
   
responsibly.
     
Your
       
continued membership

signifies that you agree to
      this

      disclaimer and pledge to
  abide by our Rules and
      Guidelines.
        ---
        You received this message
  because you are
    subscribed
      to
      the
        Google Groups
"Wanabidii"

group.
        To
unsubscribe from this

group and stop receiving
      emails
        from it, send an email to
        For more
options, visit
     
 

https://groups.google.com/d/optout.

--

Kujiondoa Tuma Email
kwenda
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

   


--


 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment