Thursday, 28 January 2016

Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki

Burudani za watanzania bwana. Hao wanaoishi eneo lile kelele nyingi wangapi wamelipa kodi halali ya jengo na aridhi kwanza.
Hivi kama hamlipi kodi mbali mbali serikali itawaleteaje maendeleo?
Ifike mahala tuwe na kodi halisi hizi za sasa viini macho na zinaumiza mwananchi na hazijulikani ziendako.
Halafu mmejenga barabarani mkivunjiwa mnataka malipo. Je mlipojenga mlipata vibali?

On Jan 28, 2016 04:30, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kati ya abunge wazuri wqanaofanya kazi zao hapa Tanzania mmojawao ni Mnyika. Kjazi za mbunge ni kuisimamia serikali ifanye hayo ambayo sasa tunamdai Mnyika. Tumfuatilie kama kweli haisimamii serikali. Tunajua wote alivyoshupalia swala la maji. Nidyo kazi yake haswa.
--------------------------------------------
On Tue, 1/26/16, 'mohamed mnzava' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Tuesday, January 26, 2016, 10:50 AM

 Tatizo la
 huyu mbunge ni kuwa hana NIA thabiti ya kutatua masuala ya
 Kimsingi kt jimbo lake, . . . . .  hata Upande huu wa Mbezi
 kwa Musuguri hali ni sawa na hiyo ya upande wa huko  . . .
 . . barabara Mbovu, Maji ya kununua kwa wafanya biashara
 binafsi nk. . . . . .  Kama kawaida yake, tutamuona tena
 baada ya miaka minne atakapo kumbuka kuwa kuna uchaguzi
 unakuja na tiketi ya kurudi bungeni ipo huku, . . . mimi
 sikumpatia Kura yangu ila ni vyema aelewe kuwa anawajibika
 kwa kupokea mshahara toka kwa jasho la wananchi wote

    On Tuesday, January
 26, 2016 9:55 AM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Mim ni
 mkazi wa Mbezi Makabe. naandika haya kwa uchungu sana jinsi
 barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja
 anaiangalia.
 Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu.
 Haipitiki kabisa.
 Hii barabara inayoanzia Kituo cha zamani cha daladala Mbezi
 Mwisho
 kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaaa zaidi
 ya masaa 3
 barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana na
 ubovu wa
 barabara. Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida sana.
 Maji
 tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa lita
 1000 sh. 15
  hadi elfu 20.
 Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni
 jimboni

 Mh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.

 Tunakuomba angalau lipitishwe greda tuu. Wananchi wapo
 tayari kuchangia.

 Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.

 Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.

 Tafadhali Mh Mnyika. Hii la barabara na Maji Makabe ni
 jipu.
  Rudi
 jimboni saidia wananchi
 jf

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment