Thursday, 28 January 2016

Re: [wanabidii] Kwanini wabunge wanagombana sababu ya live coverage ya bunge kwani ndo kitu walichotumwa na wananch?

Tusitetee mambo ambayo hayafai kutetewa
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 28 Jan 2016 11:20:10 +0300
To: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Kwanini wabunge wanagombana sababu ya live coverage ya bunge kwani ndo kitu walichotumwa na wananch?

kama shughuli za uhuru day ambazo gharama zake kama sikosei ilikuwa hiyo hiyo bilioni 4, ambapo tulifurhia hatua ya Rais Magufuli kusitisha sherehe za uhuru kwa kubana matumizi na pesa hizo zikapelekwa kwenye ujenzi wa barabara kwanini pesa hizo  tbc zisipelekwe sehemu nyingine kwa shughuli za maendeleo hususani vijijini ambako kila kitu ni tabu, maji shida, barabara shida na hata umeme kuna shida. Badala ya kutumi hizo pesa kwa bunge live ambalo mara nyingi wabunge wetu wamekuwa wakituonesha mipasho na vituo.

WANAPIGANIA KUONEKANA LIVE WAKATI MAJIMBONI HAWAONEKANANI WAJE MAJIMBONI TUWAONE WAKIWA NA MIKAKATI YA KUTULETEA MAENDELEO BADALA YA KUNG'ANG'ANIA KUONEKANA LIVE.

2016-01-28 7:28 GMT+03:00 'herirashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ni kweli tuna tatizo la msingi tena kubwa la jinsi yetu ya kufikiri.
Hatuwezi kuacha kila kitu kwa kigezo cha kubana matumizi kiasi cha kunyima wananchi haki yao ya msingi. Tusitetee hata mambo hayafai kutetewa.

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: Mavuto <dennislondo@gmail.com>
Date: 28/01/2016 05:17 (GMT+03:00)
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Kwanini wabunge wanagombana sababu ya live coverage ya bunge kwani ndo kitu walichotumwa na wananch?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment