Thursday, 28 January 2016

Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki

Kati ya abunge wazuri wqanaofanya kazi zao hapa Tanzania mmojawao ni Mnyika. Kjazi za mbunge ni kuisimamia serikali ifanye hayo ambayo sasa tunamdai Mnyika. Tumfuatilie kama kweli haisimamii serikali. Tunajua wote alivyoshupalia swala la maji. Nidyo kazi yake haswa.
--------------------------------------------
On Tue, 1/26/16, 'mohamed mnzava' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, January 26, 2016, 10:50 AM

Tatizo la
huyu mbunge ni kuwa hana NIA thabiti ya kutatua masuala ya
Kimsingi kt jimbo lake, . . . . .  hata Upande huu wa Mbezi
kwa Musuguri hali ni sawa na hiyo ya upande wa huko  . . .
. . barabara Mbovu, Maji ya kununua kwa wafanya biashara
binafsi nk. . . . . .  Kama kawaida yake, tutamuona tena
baada ya miaka minne atakapo kumbuka kuwa kuna uchaguzi
unakuja na tiketi ya kurudi bungeni ipo huku, . . . mimi
sikumpatia Kura yangu ila ni vyema aelewe kuwa anawajibika
kwa kupokea mshahara toka kwa jasho la wananchi wote

On Tuesday, January
26, 2016 9:55 AM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mim ni
mkazi wa Mbezi Makabe. naandika haya kwa uchungu sana jinsi
barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja
anaiangalia.
Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu.
Haipitiki kabisa.
Hii barabara inayoanzia Kituo cha zamani cha daladala Mbezi
Mwisho
kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaaa zaidi
ya masaa 3
barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana na
ubovu wa
barabara. Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida sana.
Maji
tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa lita
1000 sh. 15
hadi elfu 20.
Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni
jimboni

Mh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.

Tunakuomba angalau lipitishwe greda tuu. Wananchi wapo
tayari kuchangia.

Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.

Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.

Tafadhali Mh Mnyika. Hii la barabara na Maji Makabe ni
jipu.
Rudi
jimboni saidia wananchi
jf

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment