Mpombe mawaz yako yanaheshimika.
Mimi napenda kupingana nawe.
Ni kweli kuwa serikali inabana matumizi Lakini kufunga mkanda sio kuufunga shindoni. Utaua. nafikiri wabunge wana maana kubwa kutaka mijadala ionyeshwe live. Hii inawasaidia wananchi na wapoga kura kuwaelewa wawakilishi wao. Tumebaha matumizi. Tutaendelea kuyabana kwa hili hapana. Tuendelee kugharimia vipindi hivi na lazima tulikobana yumepata nafuu.
Kumbuka kuwa kama ti ya uongozi ilipokaa swala la kubana matumiizi halikuletwa. Serikali inasema wafanyakazi wanaacha kufanya kazi wanaamua kusikiliza Bunge. Hii ni ishara kuwa kisingizio cha kubana matumizi ni kiini ma cho Huenda kuna sababu nyingine. Lakini serikali iache mijadala iwe live. kama imekosea katika kusahihisha mambo iache watakaoilaumu tutawabomoa humu tu lakini sio kuziba macho na masikio ya watu wasione wasisikie.
Muhingo
--------------------------------------------
On Wed, 1/27/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Kwanini wabunge wanagombana sababu ya live coverage ya bunge kwani ndo kitu walichotumwa na wananch?
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "Mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Date: Wednesday, January 27, 2016, 9:19 PM
Nimeshangaa
kuona wabunge wanapoteza muda kujadili hili swala. Kwa
wananchi wa kawaida hii siyo issue muhimu. Kama serikali
imesema inataka
kubana matumizi nilidhani waheshimiwa wabunge wangeunga
mkono.
Wengine watasema ni haki ya wananchi kufuatilia mijadala na
mimi
naungana nao lakini je serikali si imesema TBC watarecord na
kutuonyesha
baadae? Kwanini wabunge wapigane? Ama kuna agenda za siri
ambazo
wengine hatuzijui?
Mimi ni mtanzania ninayefuatilia mabunge mengine hasa ya
nchi
zilizoendelea kama Uk. Wenzetu wana live coverage ya nusu
saa mara moja
kwa wiki na ni siku ya jumatano kuanzia saa sita mpaka saa
sita na nusu.
Na hii ni siku maalum ambapo Waziri mkuu anapata kipindi
kinaitwa PRIME
MINISTE'S QUESTION. Zaidi ya hapo labda kuwe na suala
muhimu na dharula
na hii ni nchi tajiri ambayo wananchi wanalipishwa kitu
kinaitwa TV
LICENCE. Ambao kimantiki wakiwa na mawazo kama yetu wanahaki
zaidi ya
kudai kuona kila kitu live maana wana ifund tv yao siyo sisi
tunalipa in
direct.
Cha msingi wabunge wangeisukuma serikali ikusanye mapato
zaidi na hata
waishauri ianze kulipisha kila mtu mwenye tv awe na leseni.
Hapo kuwe na
kitu kinaitwa channel ya bunge kama uk bbc parliament.
Zaidi ya hapo sioni kama serikali imekosea na tujue RAIS
KASEMA AWAMU
YAKE NI YA KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI KAMA TUMESHANGILIA
MAWAZIRI
KUNYIMWA SAFARI ZA NJE TUSHANGILIE NA SISI KUNYIMWA LIVE
COVERAGE YA
BUNGE.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment