Monday, 2 February 2015

[wanabidii] Re: Sio mtu safi tu, lkn pia awe safi na mwenye uwezo

Juzi JK alipokuhuwa akihutubia huko Songea katika maazimisho ya miaka 38 ya CCM, moja ya ujumbe ilokuwa chama hicho kitatoka na mgombea safi. Wwengi wameipenda kauli hii. Lkn, kwa kuwa katika siasa mengi hutokea, ningependa nitaadharishe. Watz hatutaki mtu safi tu...tunataka mtu safi na mwenye uwezo. Uwezo wa kupambana na changamoto zilizopo mfano ajira na mitaji. Na uwezo wa kuiunganisha nchi katika utawala wa Haki na kuwafanya watz wajivunie kuwa Watz. Watu hao safi wapo wengi... na wengine hawajatangaza nia kama alivyosema. Nipende tu kusema.... naomba nafasi hii ya kutafuta mtu safi isiwe kigezo cha kuwazuia watu wengine na dirisha la kupitishia watu wengine. Huyo mtu safi awe ni kweli atakayekubalika kuwa ni kweli ametafutwa.....best regards....NGuPuLa

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment