Nin amuunga mkono nami Ndugu Omar. Njia mojawapo ni kuacha kujadili mambo ya kipuuzi yanayoletwa humu. Kwa mfano naona kuna mada zinatoka humu hazifai. Ukifuatiliwa utakuta karibu robo ya mijadala inalihusu. Na pia kuna mijadala ya maana inaletwa humu. Haijadiliwi na kutoa mwelekeo. Naamini mijadala mingine ikipuuzwa itakufa yenyewe na wanaoishabikia.
Lakini bidii inafaa jinsi ilivyo kwa sababu kuna watu wanajikosoa na kubadilika kwa kadri wanavyoshiriki.
Maro alipokuwa Moderator alikuwa akikanyakanya watu na kukaripia. Sasa anaunga mkono baadhi ya mambo ambayo zamani alikuwa anayakemea na pengine kufungia watu
--------------------------------------------
On Thu, 2/5/15, Damas Makangale <fdmakangale@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Wanabidii Group Suggestions
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, February 5, 2015, 5:00 PM
Ndugu
Wanabidi,
Namuunga
kabisa alichosema ndugu Omar Kaseko kwa maana kwa kweli
wengine sio wanasiasa wala makada wa chama chochote kile cha
siasa ila tulikuwa tunapenda kufuatilia mada mbalimbali
zilikuwa zikijadiliwa humu ndani ila kwa sasa kwa sasa
imekuwa ni tofauti kabisa matusi na kebehi za kisiasa
zimekuwa ndio misingi mikubwa ya kundi hili kwa sasa.
Kwa sasa e imekuwa ni kero kubwa sana kwa wale wasiokuwa na
upande wowote pale uonapo njia ya matusi na kejeli
zinapotumika kufikisha ujumbe wa mtu au kikundi fulani cha
watu.
Nia ya
grupu ilikuwa ni nzuri katika kuelemishana kupitia nyanja za
kisiasa, kiutamaduni na kiuchumi pia kwa kupeana mada
zitakazo panua uwezo wetu kifikirwa , kimtazamo na kimaono
nia kuu katika kujikwamua kimtazamo maisha na kiuchumi.
Asante
kwa kuona mbali
Yours Sincerely,
Damas Makangale
Administrator,
University of Dar es Salaam Computing Centre,
City Centre Branch,
CRDB Building 10 Floor,Azikiwe Street Opp.Posta Mpya,
P.O.Box 35062,
Dar es Salaam,
TANZANIA.
E-Mail Address: makangale@udsm.ac.tz,
fdmakangale@gmail.com
Skype: dmakangale
Telephone: +255 2122669/2136561
Fax Number: +255 2136560
Mobile Number:+255 713 570 024
2015-02-05 16:44
GMT+03:00 Kaseko <omarykaseko@gmail.com>:
Ndugu
wanabidii,
We need to change our
direction. Hii group imekuwa open sana and inapoteza maana.
I believe idea ilikuwa ni kuwakutanisha wanabidii, wasomi na
watu wanaoweza kutoa mawazo yao ya kulipeleka mbele taifa
letu, kudiscuss issues openly and respectfully na kutafuta
solution ya matatizo ya taifa letu ambayo ni mengi
mno.
Kwa sasa kuna watu wengi
sana kwenye group ambao hawana hizo qualifications. I think
tunatakiwa kujiunga upya tena kwenye hii group kwa ku apply
na isiwe kila mtu anaweza kujiunga. Nashauri pia kuwepo na
system ya kuondoa watu ambao wako kwenye group kisiasa,
kibiashara na kivyama zaidi na sio maendeleo ya nchi kwa
jumla.
I believe hii group sio
ya Chadema wala CCM. I believe this is where intelligent
ideas zinaweza kutokea na we can discuss maendeleo na nini
kifanyike kusukuma watu mbele zaidi ya kuwa forced kusoma
articles ambazo hazina quality wala anything productive in
it.
The way we are going now
we are loosing credibility na quality kwenye hii group na
pia tutapoteza watu wa maana ambao tungependa kuwasoma na
kupata ideas zao. Hii sio group ya kufanya promotion ama
matangazo ya kibiashara, hii sio group ya kutukana wanasiasa
bali kurekebisha na kusema ukweli pale inapotakikana kusema
ukweli. Hii sio group ya kufanya kampeni za siasa ama vyama.
Hapa ni sehemu ya good information, discussions, new ideas
na mawazo endelevu,
Kuwa na title kama vile
journalist, economist, professor etc haikufanyi wewe kuwa
mwanabidii. Tuna hawa watu humu na baadhi yao ni watu
wasioweza kutufikisha popote. This is why nasema tuweke
utaratibu maalum wa watu kujiunga tena na hii group. Haya
ni mawazo yangu tu na inawezekana niko wrong. Mnaweza
kunisahihisha.
Regards,
Omar Kaseko
Kali TV Founder/Producer
http://www.kalitv.com
240-374-2192
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment