Thursday, 5 February 2015

Re: [wanabidii] Wanabidii Group Suggestions

Tuache watu wawe huru na mawazo yao - kama huafikiani nae nyamaza si lazima kujibizana nae - Lakini pale mtu anapovunja sheria ataambiwa na vyombo vingine vinaweza kumshugulikia wapo humu wamejazana tele .

Mbona kuna mada nyingi hazichangiwi na siku inapita ?

Wewe mwanasheria unashindwa nini kuelimisha wenzako kuhusu sheria mpaka hatabazi alete hoja uanze kumtukana ?

Wewe Mhandisi unashindwa nini kuleta mada na mawazo ya kihandisi mpaka fulani alete uanze kumcheka na kumtukana ?

Narudia tena tuache upuuzi - nyie mnaojifanya viherehere ndio mmefikisha nchi hapa , ndio mliowaleta mnaowatukana duniani , wengi wenu huyu happy na wengi wanaotoa michango yao ni watoto hata wajukuu zenu .

Msimamo wangu ni huo .


On Thursday, February 5, 2015 at 8:35:14 PM UTC+3, fatma...@yahoo.com wrote:
Elisa

Naafiki mawazo yenu kwa group hili lilikuwa na malengo mazuri na kuna kipindi tulitaka kufungua bank yetu ambayo tuli propose iitwe BIDII bank. Nakumbuka enzi hizo mtu akileta mada yenye matusi kejeli au jambo lolote lililo kinyume na maadili yetu alikuwa akionywa na akikaidi anafungiwa. Nakumbuka kuna kipindi mwenzetu mmoja alimkamata kibaka akampiga sana na akajisifu hapa kwenye group matokeo yake Moderator alimfungia. Nashangaa siku hizi watu wanawapongeza polisi waliotumia wheel spana kuwapiga raia kisha Moderator anawasifia. Ndugu yangu Yona Maro ule moyo wako wa kizalendo wa kuthamini haki za binadamu umeishia wapi? Ulikuwa ukiwatetea hata vibaka wasipigwe ila wapelekwe kwenye mkondo wa sheria lakini leo unawapongeza askari ambao ndio walinzi wa amani kuchukua sheria mkononi kuwapiga raia na silaha ambazo hata kwenye jeshi hilo hazipo kisheria? Sote tunajua kuwa wheel spana ni kwa ajili ya kubadilisha mpira wa gari leo hii askari anaitumia kumpiga raia na nyie mnamsifia. Hivi hiyo ndio kulinda amani na utulivu au ndio kuchochea vurugu na machafuko? Jamani kila mmoja wetu kwa imani yake turudi kwa mola wetu kuliombea taifa hili maana tumeuweka ubinadamu mbali tumeshabikia siasa

Nakupongeza uliyeleta wazo la kubadili mwelekeo wa group. Kama yuko Moderator anaeweza kufungua group nyingine yenye muelekeo wa kupambana na changamoto za kimaisha wale wasiotaka siasa chafu tukajitoa na kuwaachia group yao. Nasikitika ndugu yangu Yona sijui kalishwa kitu gani hadi kubadilika kiasi hicho

Nawasilisha

Fatma

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

-----Original Message-----
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 5 Feb 2015 06:13:43
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Wanabidii Group Suggestions

Nin amuunga mkono nami Ndugu Omar. Njia mojawapo ni kuacha kujadili mambo ya kipuuzi yanayoletwa humu. Kwa mfano naona kuna mada zinatoka humu hazifai. Ukifuatiliwa utakuta karibu robo ya mijadala inalihusu. Na pia kuna mijadala ya maana inaletwa humu. Haijadiliwi na kutoa mwelekeo. Naamini mijadala mingine ikipuuzwa itakufa yenyewe na wanaoishabikia.
Lakini bidii inafaa jinsi ilivyo kwa sababu kuna watu wanajikosoa na kubadilika kwa kadri wanavyoshiriki.
Maro alipokuwa Moderator alikuwa akikanyakanya watu na kukaripia. Sasa anaunga mkono baadhi ya mambo ambayo zamani alikuwa anayakemea na pengine kufungia watu
--------------------------------------------
On Thu, 2/5/15, Damas Makangale <fdmakangale@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Wanabidii Group Suggestions
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, February 5, 2015, 5:00 PM
 
 Ndugu
 Wanabidi,
 
 Namuunga
 kabisa alichosema ndugu Omar Kaseko kwa maana kwa kweli
 wengine sio wanasiasa wala makada wa chama chochote kile cha
 siasa ila tulikuwa tunapenda kufuatilia mada mbalimbali
 zilikuwa zikijadiliwa humu ndani ila kwa sasa kwa sasa
 imekuwa ni tofauti kabisa matusi na kebehi za kisiasa
 zimekuwa ndio misingi mikubwa ya kundi hili kwa sasa.
 
 Kwa sasa e imekuwa ni kero kubwa sana kwa wale wasiokuwa na
 upande wowote pale uonapo  njia ya matusi na kejeli
 zinapotumika kufikisha ujumbe wa mtu au kikundi fulani cha
 watu.
 
 Nia ya
 grupu ilikuwa ni nzuri katika kuelemishana kupitia nyanja za
 kisiasa, kiutamaduni  na kiuchumi pia kwa kupeana mada
 zitakazo panua uwezo wetu kifikirwa , kimtazamo na kimaono
 nia kuu katika kujikwamua kimtazamo maisha na kiuchumi.
 
 Asante
 kwa kuona mbali
 
 
 
 
 Yours Sincerely,
 
 Damas Makangale
 Administrator,
 University of Dar es Salaam Computing Centre,
 City Centre Branch,
 CRDB Building 10 Floor,Azikiwe Street Opp.Posta Mpya,
 P.O.Box 35062,
 Dar es Salaam,
 TANZANIA.
 
 E-Mail Address: makangale@udsm.ac.tz,
                 fdmakangale@gmail.com
 
 Skype: dmakangale
 Telephone:    +255 2122669/2136561
 Fax Number:   +255 2136560
 Mobile Number:+255 713 570 024
 
 
 
 2015-02-05 16:44
 GMT+03:00 Kaseko <omarykaseko@gmail.com>:
 Ndugu
 wanabidii,
 We need to change our
 direction. Hii group imekuwa open sana and inapoteza maana.
 I believe idea ilikuwa ni kuwakutanisha wanabidii, wasomi na
 watu wanaoweza kutoa mawazo yao ya kulipeleka mbele taifa
 letu, kudiscuss issues openly and respectfully na kutafuta
 solution ya matatizo ya taifa letu ambayo ni mengi
 mno.
 Kwa sasa kuna watu wengi
 sana kwenye group ambao hawana hizo qualifications. I think
 tunatakiwa kujiunga upya tena kwenye hii group kwa ku apply
 na isiwe kila mtu anaweza kujiunga. Nashauri pia kuwepo na
 system ya kuondoa watu ambao wako kwenye group kisiasa,
 kibiashara na kivyama zaidi na sio maendeleo ya nchi kwa
 jumla.
 I believe hii group sio
 ya Chadema wala CCM. I believe this is where intelligent
 ideas zinaweza kutokea na we can discuss maendeleo na nini
 kifanyike kusukuma watu mbele zaidi ya kuwa forced kusoma
 articles ambazo hazina quality wala anything productive in
 it. 
 The way we are going now
 we are loosing credibility na quality kwenye hii group na
 pia tutapoteza watu wa maana ambao tungependa kuwasoma na
 kupata ideas zao. Hii sio group ya kufanya promotion ama
 matangazo ya kibiashara, hii sio group ya kutukana wanasiasa
 bali kurekebisha na kusema ukweli pale inapotakikana kusema
 ukweli. Hii sio group ya kufanya kampeni za siasa ama vyama.
 Hapa ni sehemu ya good information, discussions, new ideas
 na mawazo endelevu,  
 Kuwa na title kama vile
 journalist, economist, professor etc haikufanyi wewe kuwa
 mwanabidii. Tuna hawa watu humu na baadhi yao ni watu
 wasioweza kutufikisha popote. This is why nasema tuweke
 utaratibu maalum wa watu kujiunga tena na hii group.  Haya
 ni mawazo yangu tu na inawezekana niko wrong. Mnaweza
 kunisahihisha. 
 Regards,
 Omar Kaseko
 Kali TV Founder/Producer
 http://www.kalitv.com
 240-374-2192
 
 
 
 
 
 --
 
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  
 
 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  
 
 Disclaimer:
 
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 ---
 
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 
 
 
 --
 
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  
 
 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma
 
  
 
 Disclaimer:
 
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 ---
 
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment