Wednesday, 25 February 2015

Re: [wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?

Je wasingekuja Wazungu Africa,ukristo ungekuwepo? na kama ukristo usingekuwepo maisha yasingeendelea?Je waarab wasingekuja Africa uislam ungekuwepo na kama usingekuwepo maisha yasingeliendelea?
Mie napata shida kuona wafrika maeneo mbali mbali wanapigana na kuuana kwa misingi ya dini walizoletewa na wageni."TAFAKARI-CHUKUA HATUA"

From: 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, February 25, 2015 3:54 PM
Subject: Re: [wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?

Telesphor,
Ukiona hao ISIS, Islamic Jihad, Alkaeda, Alshabab, Boko Haram, na makundi mengine kama hayo, yanatekeleza sawa sawa kile Allah alichomwamuru Mtume wake na wafuasi wake kutekeleza na ndivyo Korani inavyosema na ndiyo hali halisi ya dini hiyo ilivyo kwa wale waishikao kikamilifu. Hiyo ndiyo Korani inavyofundisha kutii amri za Allah na  kujihakikishia kwenda mbinguni kwa fahamu zao. Kuua au kuuwawa kwa ajili ya kueneza dini.Tofauti na Ukristo, Mungu wa Kikristo na Biblia inavyosema. Kwenye Koran, hakuna neno UPENDO. Huwezi kumwita Mungu baba. Ukitazama maisha ya Mohamed na wafuasi wake walivyoeneza inani yao, na wanavyoeneza hata sasa, kwa maelekezo ya Allah na maisha ya Yesu na wafuasi wake walivyoeneza imani yao, na wanavyoeneza hata sasa, na maelekezo ya Mungu kwenye Biblia, hapo ndipo utakapojua kuwa Mungu wa kweli ni yupi. Haiwezekani Mungu wa Biblia akawa ni yule yule wa Korani, na tofauti inakuja hapo. Ukweli ndio huo.

From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, February 25, 2015 11:53 AM
Subject: Re: [wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?

Frank, hata kama ni maoni yako una ushahidi gani kwamba "Waislamu wengi wanaishi na kufanya kama Mtume Muhammedi alivyoishi na kufanya na kama Korani inavyosema wakati Wakristo wengi hawaishi na kufanya kama Bwana Yesu alivyoishi na kufanya na kama Biblia inavyosema."
1. Hao wengi ni kwa idadi gani?
2. Umezungumza nao na wakakwambia hivyo?
3. Unawafikiria tu na kudhani ndivyo wanavyoishi?
4. Nao hao "wengi" umechukulia tangu lini (miaka ambayo wewe mwenyewe ulikuwa umezaliwa au hata kabla ya kuzaliwa)?

2015-02-25 11:20 GMT+03:00 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Naunga mkono maelezo ya Asanterabi. Kwa maoni yangu swali la Juma Kongoro ni zuri sana na ni la ukweli. Tatizo la kwanza ni kwamba wengi wetu hatuifahamu vizuri Korani na hatuufahamu vizuri Uislamu.Unapojibu hoja wakati ufahamu wako ni wa upande mmoja, unashindwa ku cross check reliability.Kadhalika na Waislamu wengi hawaifahamu vizuri Biblia na Ukristo. Tatizo la pili ni kwamba Waislamu wengi wanaishi na kufanya kama Mtume Muhammed alivyoishi na kufanya na kama Korani inavyosema wakati Wakristo wengi hawaishi na kufanya kama Bwana Yesu alivyoishi na kufanya na kama Biblia inavyosema.
Mini ninaona jambo la msingi hapa ni kuelezwa tofauti kati ya Uislamu na Ukristo, Korani na Biblia, Muhammedi na Kristo na Allah na Mungu. Biblia inatutaka kuwa tayari wakati wowote kumjibu kila mtu atuulizaye kwa habari ya tumaini lililopo ndani yetu, ila kwa upole na kwa hofu.

From: Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, February 24, 2015 11:56 PM

Subject: Re: [wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?

mwacheni Juma anataka kuwachora tu kwani ukweli anauelewa hapa anataka malumbano na dhambi Biblia inasema tusishindane wala kujibu maswali ya upuuzi yasiyo na elimu.
juzi alisema wachungaji walimkimbia mtu mwenye ebola leo anasema hatusali kesho atakuja na lingine mwacheni huyu ana masikio ya utafiti
kuna mengi tunapaswa kuwajibu na kuwafundisha watu lakini juma yeye hana nia ya kweli bali ubishi.Mungu wetu hasaidiwi kwani walokole ni akina nani au mkristo ni nani soma biblia mwanafunzi wa Yesu ndiye mkristo ndiye mlokole kama hujui kasome.hata Paulo mtume aliulizwa je wataka kunifanya mkristo.
wapo waislamu wanakula hadi nguruwe hawajui hata msikiti uko wapi leo anasema mkristo hasali soma biblia kwanza na uwe mfuasi wa Yesu ndipo utaielewa dini ya kikristo.
vinginevyo utajiuliza sana kwani ukivuviwa nguvu ya Roho mtakatifu utabadilika tu Juma kwani Biblia ni kitabu tofauti sana sio kama unavyothani
kina uwezo wa kufanya maajabu jaribu kuingia uone
karibu sana nadhani uko mbioni au sio karibu sana JUma ufanye utafiti halafu utaona tofauti ya wakristo na hao unaosema wewe.ukigusa imani ya mtu unakosea sana ingia ufanye utafiti kisha utioke umeiva utawaeleza wasomaji wako ulichokutana nacho.vinginevyo usirudierudie kugusa imani za watu Mungu atashughulika nawe kwani naona unatamani sana karibu.Tunakuombea uje ujiunge

2015-02-24 22:46 GMT+03:00 Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>:

Reuben. usitie neno tena   Ngupula  amerahisisha uelewa kwa yeyote  kama  ambavyo  KRISTO  alielekeza iwe hivyo  na Mkristo  ndani  ya   amri  kumi .   binafsi  ingeniwia vigumu  sana kuelezea ndugu hadi pointi hi  kua  pamoja yote . msiogope !"   raha ya ukristo ni. msamaha....ukikosea unafuta....dhambi zetu zinaandikwa kwa pensil." 
Nashukuru  kw a  wahubiri (  Maandishi)  kama Ngupula)

NDIO SABABU TUNAITWA WAKRISTtO.

Ernest

 Tue, 24 Feb 2015 20:38:42 +0300
Subject: Re: [wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Ngupula;
Naomba nami niweke kamchango ka imani yangu.
Kwamba Ukristo ni maisha halisi zaidi ya kushinda kanisani.
Kongoro pepo ni zaidi ya ulivyouliza swali,kanisa ni nyumba ya jumuiko la jumla la waumini,lkn pepo inaanzia maisha ya nyumbani kwako na hasa upendo wako kwa jirani yako.
Sio rahisi km unavyoamini nyie,ingekua hivyo binafsi ningehamia kanisani.

Reuben

Sent from Huawei Mobile

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ndugu Juma, ukristo ni mgumu kuliko dini yeyote ile.....hebu chungulia haya mambo machache tu....ukristo unasema.....ukimwangalia mwanamke kwa kumtamani tu....umekwisha zini naye...ni dhambi .. ukitaka kutoa sadaka yenye dhawabu basi ni lazima iwe siri hata mkono wako wa kushoto usijue ulichokifanya. ..katika ukristo hakuna mizani ya mema na mabaya....bali ukikosea moja umekosea yote.. ...haturuhusiwi visasi sis....bali aliyekutendea mabaya bas we mtendee mema.....raha ya ukristo ni. msamaha....ukikosea unafuta....dhambi zetu zinaandikwa kwa pensil.. Ngupula.

mngonge franco <mngonge@gmail.com> wrote:

Juma
Binafsi ninaamini zaidi utekelezaji wa tunachokiamini kuliko kwenda mara nyingi kwenye nyumba za ibada. Wakristu wanayo amri kuu ambayo ni upendo, ukiwa na upendo huwezi kumfanyia mwenziyo baya. Kusali/kuswali mara nyingi sawa, kufunga funga sawa lakini swali la msingi ni je unawatendea mambo mema binadamu wenziyo? Kesha unaswali/unasali, funga ramadhani/kwaresima milele yote kama kufunga au kuswali kwako hakuendani na matendo mema ni bure.

2015-02-24 17:28 GMT+03:00 Juma Kongoro <jumakongoro@gmail.com>:
SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?
Mimi ninavyojua ili upate kitu lazima ujitume sana tu.
Kwa mfano ili ufaulu mtihani wa shule lazima usome sana, uhudhurie vipindi na usitegee vyenginevyo utafeli. Vyuo vikuu watu wanakessha madarasani, wanakesha matheater au vyumbani kutafuta first class au pass
Ili upate mazao. lazima ulime kwa bidii.watu wanahamia mashambani, wengine wanaliwa na simba ili kupata mazao mengi na bora
Ili upate uongozi kama ubunge lazima upige kampeni kwa sana tena bila ya kulala.ujitume sana.
Kwa upande wa dini waislam wao wanaswali mara 5 kwa siku bila ya kukosa, hata ukiwa mgonjwa lazima usali, wanafunga, wanatoa zaka na kila wakati unatakiwa usome quran. yaani ujitume kwa sana ili uingie peponi.kwa mwanamke lazima uvae hijab wakati wa baridi au Joto hio ni lazima,yaani muislam dunia imekuwa kwake kama jela. hii yote ni kufaulu maisha ya dunia ili kuipata pepo
Lkn kwa upande wa pili wa dini naona wao wanasali j2 hadi j2 tena atakae.
Sioni kwenda makanisani kila wakati wala majumbani siwaoni kusoma biblia, yaani sioni jitihada hasa kutafuta PEPO. kidogo wanaona walokole. Jee kweli biblia ndio inavyosema hivi kama pepo ni rahisi rahisi?
JEE NI KWELI PEPO RAHISI RAHISI HIVI?
hili sio kashfa ni swali tu

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

"In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children's grand-children will be able to enjoy this rich and precious inheritance."- Dr. Julius K. Nyerere

0 comments:

Post a Comment