Tuesday, 10 February 2015

Re: [wanabidii] RE: TANZANIA SASA , NI SAWA NA NIGERIA

Ushahidi upo mwingi sana naomba urejee kwenye vyombo vya habari (TV, redio na magazeti). Yapo maeneo ambapo hata baada ya kura kuhesabiwa na mgombea wa opposition akashinda lakini wasimamizi walitaka kumtangaza wa CCM mfano Ilala na Moshi. Kama huna kawaida ya kufuatilia vyombo vya habari fairly pengine ukawa unasikiliza redio na gazeti la uhuru itakuwa vigumu kukusimulia matukio yote kwa sasa.Unafikiri kama si shinikizo lililo nyuma ya pazia nani angekuwa tayari kufanya tendo kama ilo endapo kusingekuwa na woga wa kupoteza kibarua? Ushahidi upo wa aina nyingi si lazima kushuhudia wakiambaia utapoteza kazi bali yapo mazingira yanayoashiria hivyo.

2015-02-10 11:28 GMT+03:00 'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mngonge,

Hebu tupia ushahidi kaka kwa Wakurugenzi walioambiwa hayo maneno uliyosema hapa. Ushahidi tu basi
 
K.E.M.S.

From: mngonge franco <mngonge@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, 10 February 2015, 9:38
Subject: Re: [wanabidii] RE: TANZANIA SASA , NI SAWA NA NIGERIA

Afrika tuna safari ndefu sana mbele yetu. Mtu au chama kikiona dalili za kutofanikiwa kudanganya wakati wa kuhesabu au kutangaza matokeo kinahairisha uchaguzi. Tumeliona hili hata wakati wa uchaguzi wa hapa kwetu wa serikali za mitaa. Kwa vile wasimamizi ambao ni wakurugenzi waliambiwa kikishinda chama cha upinzani hawana kazi basi ili waendelee kuwa ofisini ilibidi baadhi ya maeneo wasipeleke vifaa makusudi ili uchaguzi uhairishwe wapate nafasi ya kupanga wizi wa kura katika eneo hilo. Hii michezo ni ya kijinga hakuna mtu au chama kilichoumbwa kukaa madarakani milele huko ni kujidanganya na ndiyo maana viongozi wetu wetu watakuwa wakifa kwa mashinikizo ya damu.

On 9 February 2015 at 21:27, embegu <embegu@hotmail.com> wrote:
Waafrika bana, ni kama watu weusi!......!......!

Sent from Samsung tablet

-------- Original message --------
From: 'Salha Bakari' via Wanabidii
Date:09/02/2015 21:24 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] RE: TANZANIA SASA , NI SAWA NA NIGERIA

Uchaguzi unakaribia, watu wanaahirisha, halafu wategemee nchi iendelee kuwa shwari tuuu?
Viongozi wa Afrika, hawana uchungu na watu wanaowapa kura, kwa kuwa wanapenda kula tu.Kwa kesi ya Nigeria, sasa watasingizia Bokho Haram.Na Tanzania, najua tutasingizia UKAWA!!sI Tumeshaanza kuwasingizia.Bisheni, kama sio kweli.

Regards,
SB

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment