Well said Dr.Lenard
2015-02-04 15:26 GMT+03:00 Dr. Leonard E. Mboera <lmboera@nimr.or.tz>:
Jeff,
Kinachoyumba ni kile kilichowima (kilichosimama). Kilichoanguka hakiwezi kuyumba! Nchi ilishaanguka, itayumbaje tena?
On Tue, 3 Feb 2015 19:30:35 -0800
"'Japhet Makongo' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kauli hii ya Dr. Jakaya inaweza kuwa na tafsiri nyingine. Kwamba ni lazima CCM ibaki madarakani kulinda kundi dogo la viongozi na wanachama waliojilimbikizia mali na utajri mkubwa. Kuna hofu kuwa akiingia kiongozi asiyetoka CCM ni lazima atafanya mabadiliko ya kusafisha udhaifu huu na hapa nchi inaweza kuyumba. Lakini huu utakuwa mtikisiko wa muda tu na mbao ni wa lazima ili kuondoa uongozi wa mazoea.-"business as usual"
Japhet Maingu Makongo
Director, Ubunifu Associates Ltd
P.O. Box 32971, Dar es Salaam, TANZANIA
Website: www.ubunifu.co.tz, info@ubunifu.co.tz, Tel: +255 22 2762027, Mobile:+255 754 571 256
--------------------------------------------
On Wed, 2/4/15, Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Re: RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, February 4, 2015, 4:37 AM
anaona mbali nyumbani
kwake ambapo ni karibu haoni, hapo kuna tatizo la ubongo
On Monday, February 2, 2015 at 9:39:13 AM UTC+2, Juma Mzuri
wrote:RAIS
AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Kikwete
amewaagiza viongozi wa chama hicho kuhakikisha Chama cha Mapinduzi kinashinda
katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba
mwaka huu.Dkt Kikwete ametoa agizo hilo katika
uwanja wa Majimaji mjini Songea ambapo zimefanyika sherehe
za maadhimisho ya miaka 38 ya chama hicho.Akimnukuu mwalimu Nyerere, amesema
kuwa Rais wa Tanzania anaweza kutoka chama chochote lakini
Rais bora ni lazima atoke CCM hivyo amewataka viongozi wa
chama hicho kuhakikisha wanafanya mikutano na kuwatembelea
wananchi ili kujua matatizo yao kama anavyofanya Katibu Mkuu
wa Chama hicho Abdulrahman Kinana.Aidha ameonya kuwa wana CCM
wanatakiwa kutambua kuwa endapo CCM haitashinda, nchi
itayumba na huenda CCM isibaki kama ilivyo, kwa hiyo ni
jukumu lao kuhakikisha CCM inaendelea kubaki madarakani kwa
kila jitihada.Amewataka wawe
makini wakati wa kuteua wagombea hususani katika nafasi ya
urais ili wapate mgombea mwenye uwezo wa kuendelea kujenga
umoja ndani ya chama na taifa kwa ujumla, na pia mwenye
uwezo wa kuongoza Tanzania na watanzania wakamkubali."Msifanye makosa katika kupata
mgombea, chagueni mgombea atakayekubalika na mwenye uwezo,
hata kama yupo lakini hajajitokeza, siyo vibaya kumshawishi
kama mimi nilivyoshawishiwa…" amesema Kikwete.Amewataka viongozi wa chama hicho
kuwashawishi wanachama wote kujiandikisha katika daftari la
kupiga Kura kwa mfumo wa BVR ili waweze kushiriki uchaguzi
huo wakiwa na vitambulisho vipya.Amesema "Kwa mahesabu yaliyopo CCM
ina wananchama zaidi ya Milion 6, tukiwaongeza na hao kama
milioni 2 hivi, itakuwa million 8, tayari tutakuwa na mtaji
wa Kura million 8 za kuanzia, na hao million 8 kila mmoja
ana mpenzi, akimshawishi mpenzi wake kuipigia CCM tutakuwa
na kura million 16, ambapo tutaweza kumshinda mtu
yoyote……"Ameongeza kuwa
"CCM ni chama cha kuongoza dola, siyo chama cha michezo
wala muziki, mambo ya muziki Kapten Komba anatosha, yupo na
Diamond pia, wanatosha hao, lakini sisi tuhakikishe CCM
inaendelea kuogoza
dola"
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment