Wednesday, 4 February 2015

Re: [wanabidii] Re: RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE

Kwa maana nyingine afadhali kuchagua ambacho kitaliyumbisha taifa kikijaribu kulisimamisha. Mbona na watoto huchubuka wakijaribu kutembea.
--------------------------------------------
On Wed, 2/4/15, 'makongo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, February 4, 2015, 4:51 PM

Nimekuelewa
kwa hiyo hakuna busara kuchagua kiongoxi kutoka chama
kilichokwishaanguka chenyewe

Sent
from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: "Dr. Leonard E. Mboera"
Date:04/02/2015 15:26 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI
ITAYUMBA - KIKWETE


Jeff,
Kinachoyumba ni kile kilichowima (kilichosimama).
Kilichoanguka
hakiwezi kuyumba! Nchi ilishaanguka, itayumbaje tena?
On Tue, 3 Feb 2015 19:30:35 -0800
  "'Japhet Makongo' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> Kauli hii ya Dr. Jakaya inaweza kuwa na tafsiri
nyingine. Kwamba ni
>lazima CCM ibaki madarakani kulinda kundi dogo la
viongozi na
>wanachama waliojilimbikizia mali na utajri mkubwa. Kuna
hofu kuwa
>akiingia kiongozi asiyetoka CCM ni lazima atafanya
mabadiliko ya
>kusafisha udhaifu huu na hapa nchi inaweza kuyumba.
Lakini huu
>utakuwa mtikisiko wa muda tu na mbao ni wa lazima ili
kuondoa uongozi
>wa mazoea.-"business as usual"
>
> Japhet Maingu Makongo
> Director, Ubunifu Associates Ltd
> P.O. Box 32971, Dar es Salaam, TANZANIA
> Website: www.ubunifu.co.tz, info@ubunifu.co.tz,
> Tel: +255 22 2762027, Mobile:+255 754 571 256
>
> --------------------------------------------
> On Wed, 2/4/15, Augustine Rukoma
<arukoma66@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Re: RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI
ITAYUMBA -
>KIKWETE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, February 4, 2015, 4:37 AM
>
> anaona mbali nyumbani
> kwake ambapo ni karibu haoni, hapo kuna tatizo la
ubongo
>
> On Monday, February 2, 2015 at 9:39:13 AM UTC+2, Juma
Mzuri
> wrote:RAIS
> AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
> Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Kikwete
> amewaagiza viongozi wa chama hicho
kuhakikisha Chama cha Mapinduzi
>kinashinda
> katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi
Oktoba
> mwaka huu.Dkt Kikwete ametoa agizo hilo katika
> uwanja wa Majimaji mjini Songea ambapo zimefanyika
sherehe
> za maadhimisho ya miaka 38 ya chama hicho.Akimnukuu
mwalimu Nyerere,
>amesema
> kuwa Rais wa Tanzania anaweza kutoka chama chochote
lakini
> Rais bora ni lazima atoke CCM hivyo amewataka viongozi
wa
> chama hicho kuhakikisha wanafanya mikutano na
kuwatembelea
> wananchi ili kujua matatizo yao kama anavyofanya Katibu
Mkuu
> wa Chama hicho Abdulrahman Kinana.Aidha ameonya kuwa
wana CCM
> wanatakiwa kutambua kuwa endapo CCM haitashinda, nchi
> itayumba na huenda CCM isibaki kama ilivyo, kwa hiyo
ni
> jukumu lao kuhakikisha CCM inaendelea kubaki madarakani
kwa
> kila jitihada.Amewataka wawe
> makini wakati wa kuteua wagombea hususani katika nafasi
ya
> urais ili wapate mgombea mwenye uwezo wa kuendelea
kujenga
> umoja ndani ya chama na taifa kwa ujumla, na pia
mwenye
> uwezo wa kuongoza Tanzania na watanzania
wakamkubali."Msifanye
>makosa katika kupata
> mgombea, chagueni mgombea atakayekubalika na mwenye
uwezo,
> hata kama yupo lakini hajajitokeza, siyo vibaya
kumshawishi
> kama mimi nilivyoshawishiwa…" amesema
Kikwete.Amewataka viongozi wa
>chama hicho
> kuwashawishi wanachama wote kujiandikisha katika
daftari la
> kupiga Kura kwa mfumo wa BVR ili waweze kushiriki
uchaguzi
> huo wakiwa na vitambulisho vipya.Amesema "Kwa
mahesabu yaliyopo CCM
> ina wananchama zaidi ya Milion 6, tukiwaongeza na hao
kama
> milioni 2 hivi, itakuwa million 8, tayari tutakuwa na
mtaji
> wa Kura million 8 za kuanzia, na hao million 8 kila
mmoja
> ana mpenzi, akimshawishi mpenzi wake kuipigia CCM
tutakuwa
> na kura million 16, ambapo tutaweza kumshinda mtu
> yoyote……"Ameongeza kuwa
> "CCM ni chama cha kuongoza dola, siyo chama cha
michezo
> wala muziki, mambo ya muziki Kapten Komba anatosha,
yupo na
> Diamond pia, wanatosha hao, lakini sisi tuhakikishe
CCM
> inaendelea kuogoza
> dola"
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email ya
>kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any
>legal consequences of his or her postings, and hence
statements and
>facts must be presented responsibly. Your continued
membership
>signifies that you agree to this disclaimer and pledge
to abide by
>our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google
>Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it,
>send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email
ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment