Abokege kama kuna wakati nilipata huzuni na kusikitika sana ni majuzi tulipokuwa tunapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Nilikuwa nimesimama msitarini nikiwa nimefuatana na mtu mmoja. Akafika mlevi mmoja anapiga kelele na anaropoka maneno yahusuyo wagombea.
Mtu aliyekuwa mlele yangu akaniambia ''Mzee Muhingo, Kura yako ina thamani sawa na ya huyu mlevi''.
Nilijionea huruma na kujiuliza tufanyeje.
Wakati natafakari changamoto za mtaa wetu na kudhamria kuwa tupate viongozi wa namna fulani watusaidie kutatua matatizo tuliyo nayo Mlevi huyo alikuwa amepewa fedha na mtu mmoja ili ampigie kura. Ilibidi tutumie akili ya ziada kuhakikisha tunapata viongozi tunaowataka.
Ndiyo unayoyaona humu. watu wengine wamekula hela ili kusema maneno fulani. Wengine wanaamini wanachokisema hata kama wanakosea lakini dhamira zao zinawashuhudia hivyo. (hao ni rahisi kuwaonyesha ukweli.) lakini wapo ambao hata ungesema nini hawako tayari kusikia ukweli.
Wote kura yetu ina thamani sawa. sasa siku ile itategemea wengi ni nani au wagombea wana mbinu gani. Mwisho tutaishia kupoteza miaka mingine kumi au mitano, au kufanikiwa kwa kipindi hicho.
Ndiyo maana wamarekani wakaja na Electoral Corrage Votes.
--------------------------------------------
On Wed, 2/4/15, 'Ambokege Benard M' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: RE: [wanabidii] RAISI MTALAJIWA 2015 NI EDWARD LOWASSA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, February 4, 2015, 11:40 AM
Mambo mengine ni kero kwa kweli,
Hivi tunamtaka Rais mwenye sura nzuri au
tunayedhani kuwa ataibadilisha nchi hii iliyo jaa rasilimali
lukuki kwa ajili ya kuuimarisha uchumu wa nchi na wananchi
wake. Sio vema sana kufika mahali kumnadi mtu kwa kutoa
matusi kwa watu wengine.
Hapa hatuangalii
sura Bali Uwezo wa mtu. Tukiangalia sura hata Lowasa
mwenyewe hafai maana ndani ya chama Kuna wenye sura nzuri
kuliko yeye.
Swala la mtu kuumwa ni nyeti
sana, labda utufafanulie anacho umwa, na je nani ndani ya
chama chako aliye mzima?
Tusilete hoja za
kijinga hapa. Mwaka 2005 mambo yalikuwaje na leo nchi iko na
hali gani!
Kama tukisema kila mtu aseme
anachotaka katika jukwaa hili naamini ama wadhibiti wa
mawasiliano nchini watufunga hili jukwaa. Tuwe makini lakini
zaidi nikiamini wengi wa watumiaji wa mtandao huu ni watu
walioenda shule ni vema tukawa na staha katika matumizi ya
lugha na hasa ni vema kujiepusha na matusi hasa kwa wale
ambao wameonyesha nia lakini hatuwapendi.
Yangu ni hayo, tuchunge ndimi
zetu kupitia maandishi yetu maana kike ukiandikacho ndicho
kitokacho mdomoni kwako kupitia ukurasa huu.
Nawasilisha!
ABM
From: 'Hezron
Kaaya' via Wanabidii
Sent: 2/4/2015 9:56
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re:
[wanabidii] RAISI MTALAJIWA 2015 NI EDWARD LOWASSA
Emma chunga
sana ulimi wako.kauli uliyoitumia kwa hao viongozi sio
nzuri.Toa hoja acha matusi unamchafulia hata huyo
unayemtaka.
On Monday,
January 26, 2015 9:01 PM, Emmanuel Muganda
<emuganda@gmail.com> wrote:
Tukiendelea kufumbia macho ufisadi na
kuwatukuza wanaotufisidi tutaishia kutawaliwa na akina
Sauli.
em
2015-01-26 12:00
GMT-05:00 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mungu hana demokrasia. Yeye
ana theokrasia. (Theocracy). Wana wa Israel walitaka mfalme,
wakaangalia sura wakapewa Sauli na akachukua mali zao na
yale yaliyo mazuri kwao, akachukua rushwa na kuwatia katika
kazi zake mwenyewe na kuwafanya watumwa wake. "Wakalia
siku ile kwa sababu ya mfalme waliojichagulia, Bwana
asiwajibu…."[1 Sam 8:10-23]
Mungu huwapa watu kiongozi
sawasawa na mioyo yao. Je, mioyo ya Watanzania ikoje mbele
za Mungu?
•
Kukumbuka kuwa ni Mungu aliye Hai na
Yeye peke yake ambaye naweza kubadilisha jinsi mambo
yalivyo.
•
Hiyo ni wakati wale wanaodai kuwa wa
Mungu wakitembea kwa uhakika katika wakfu kwake, ndipo
kwamba Mungu ataleta amani katika nchi.
•
Lakini wakati wale wanaodai kuwa ni wa
Mungu, watakapomchepuka, wakienda katika njia za makahaba,
wakijifanya wenyewe vitanda vya uasi, ndipo nchi itateseka
kwa ajili ya hayo yote.
•
Kama wale wanaodai kuwa wa Mungu
watatubu kwa uhakika, na kumrejea Mungu ndipo kwamba Mungu
aliye Hai, atarejesha tena haki.
•
Kuna uovu uliozidi na mabaya ambayo
yanahitaji kutubiwa, kabla Mungu aliye Hai hajarejesha nuru
katika nchi.
Aggressive
Christianity--Home of Shim Ra Na Holy Tribal Nation
Aggressive
Christianity--Home of Shim Ra Na Holy Tribal ...
CHANGED
GODS, CHANGED DIRECTIONS General James Green THE "NEW
LEFT" that arose during the 1960's, considered the
"Old Left" "square and
out-of-...
View
on www.aggressivechris...
Preview
by Yahoo
From: Jeremiah Kibwengo
<jerrykibwe@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, January
26, 2015 5:00 PM
Subject: Re:
[wanabidii] RAISI MTALAJIWA 2015 NI EDWARD LOWASSA
Kaaya niliheshimu mno hoja zako kipindi cha
nyuma lakini kwa hili umenifanya nitilie shaka akili yako.
Kuwa yawezekana hukushirikisha akili yako vizuri. wakati
mwingine uwe unashirikisha akili. Hivi hawa unaowatukana
wakikushitaki unadhani huyo unayemnadi kuwa awe Rais
atakutetea? Utakufa na njaa jela wakikushitaki ushabiki
wakati mwingine ni vyema kuwa makini.
2015-01-15 7:58 GMT+00:00 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>:
RAISI MTALAJIWA 2015 NI EDWARD
LOWASSA
Sisi wataalamu wa
demokrasia tunasema; demokrasia haiwezi kudumu ikiwa
wachache hawatakubali matakwa ya wengi.Watanzania waliowengi
wanasema waziwazi ya kwamba Edward Ngoyai Lowassa ndie
mkombozi wa Taifa hili aliebaki na wanaemuamini.
Nitampigania Lowassa kwasababu ninaamini kufanya hivyo ni
njia pekee ya kulikomboa Taifa hili kutoka kwenye wimbi la
umasikini.
Nawapenda sana akina
Mizengo pinda na Stephen.W.Wasira ila tatizo sura zao
zinanitisha Jamani sura sio roho lakini mimi hawa jamaa
nasema hapana.,Lakini huyu Dr Wilbroad Slaa na yeye ni
Mgonjwa,nani asiejua ya kwamba Dr Slaa ameathirika? Hatutaki
msiba Ikulu…..!!
CCM
Oyeeeeeeeeeeeeeeeh.........!
--
Send Emails to
wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata
Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment