Wednesday, 4 February 2015

Re: [wanabidii] RAISI MTALAJIWA 2015 NI EDWARD LOWASSA

Lutinwa,
Utaambiwa chunga kauli yako.
em

Sent from my iPhone

On Feb 4, 2015, at 4:02 AM, Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> wrote:

Tunahitaji rais ambaye sio mwizi, mke wake sio mwizi na watoto wake sio wezi au vibaka?
Sifa hizo EL anazo?

2015-02-04 11:40 GMT+03:00 'Ambokege Benard M' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mambo mengine ni kero kwa kweli,
Hivi tunamtaka Rais mwenye sura nzuri au tunayedhani kuwa ataibadilisha nchi hii iliyo jaa rasilimali lukuki kwa ajili ya kuuimarisha uchumu wa nchi na wananchi wake. Sio vema sana kufika mahali kumnadi mtu kwa kutoa matusi kwa watu wengine.
Hapa hatuangalii sura Bali Uwezo wa mtu. Tukiangalia sura hata Lowasa mwenyewe hafai maana ndani ya chama Kuna wenye sura nzuri kuliko yeye.
Swala la mtu kuumwa ni nyeti sana, labda utufafanulie anacho umwa, na je nani ndani ya chama chako aliye mzima?
Tusilete hoja za kijinga hapa. Mwaka 2005 mambo yalikuwaje na leo nchi iko na hali gani!
Kama tukisema kila mtu aseme anachotaka katika jukwaa hili naamini ama wadhibiti wa mawasiliano nchini watufunga hili jukwaa. Tuwe makini lakini zaidi nikiamini wengi wa watumiaji wa mtandao huu ni watu walioenda shule ni vema tukawa na staha katika matumizi ya lugha na hasa ni vema kujiepusha na matusi hasa kwa wale ambao wameonyesha nia lakini hatuwapendi.

Yangu ni hayo, tuchunge ndimi zetu kupitia maandishi yetu maana kike ukiandikacho ndicho kitokacho mdomoni kwako kupitia ukurasa huu.

Nawasilisha!

ABM

From: 'Hezron Kaaya' via Wanabidii
Sent: ‎2/‎4/‎2015 9:56
To: wanabidii@googlegroups.com

Subject: Re: [wanabidii] RAISI MTALAJIWA 2015 NI EDWARD LOWASSA

Emma chunga sana ulimi wako.kauli uliyoitumia kwa hao viongozi sio nzuri.Toa hoja acha matusi unamchafulia hata huyo unayemtaka.

On Monday, January 26, 2015 9:01 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Tukiendelea kufumbia macho ufisadi na kuwatukuza wanaotufisidi tutaishia kutawaliwa na akina Sauli.
em

2015-01-26 12:00 GMT-05:00 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mungu hana demokrasia. Yeye ana theokrasia. (Theocracy). Wana wa Israel walitaka mfalme, wakaangalia sura wakapewa Sauli na akachukua mali zao na yale yaliyo mazuri kwao, akachukua rushwa na kuwatia katika kazi zake mwenyewe na kuwafanya watumwa wake. "Wakalia siku ile kwa sababu ya mfalme waliojichagulia, Bwana asiwajibu…."[1 Sam 8:10-23]
Mungu huwapa watu kiongozi sawasawa na mioyo yao. Je, mioyo ya Watanzania ikoje mbele za Mungu?
       Kukumbuka kuwa ni Mungu aliye Hai na Yeye peke yake ambaye naweza kubadilisha jinsi mambo yalivyo.
       Hiyo ni wakati wale wanaodai kuwa wa Mungu wakitembea kwa uhakika katika wakfu kwake, ndipo kwamba  Mungu ataleta amani katika nchi.
       Lakini wakati wale wanaodai kuwa ni wa Mungu, watakapomchepuka, wakienda katika njia za makahaba, wakijifanya wenyewe vitanda vya uasi, ndipo nchi itateseka kwa ajili ya hayo yote.
       Kama wale wanaodai kuwa wa Mungu watatubu kwa uhakika, na kumrejea Mungu ndipo kwamba Mungu aliye Hai, atarejesha tena haki.
       Kuna uovu uliozidi na mabaya ambayo yanahitaji kutubiwa, kabla Mungu aliye Hai hajarejesha nuru katika nchi.

image
 
Aggressive Christianity--Home of Shim Ra Na Holy Tribal ...
CHANGED GODS, CHANGED DIRECTIONS General James Green THE "NEW LEFT" that arose during the 1960's, considered the "Old Left" "square and out-of-...
Preview by Yahoo
 
From: Jeremiah Kibwengo <jerrykibwe@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, January 26, 2015 5:00 PM
Subject: Re: [wanabidii] RAISI MTALAJIWA 2015 NI EDWARD LOWASSA

Kaaya niliheshimu mno hoja zako kipindi cha nyuma lakini kwa hili umenifanya nitilie shaka akili yako. Kuwa yawezekana hukushirikisha akili yako vizuri. wakati mwingine uwe unashirikisha akili. Hivi hawa unaowatukana wakikushitaki unadhani huyo unayemnadi kuwa awe Rais atakutetea? Utakufa na njaa jela wakikushitaki ushabiki wakati mwingine ni vyema kuwa makini.

2015-01-15 7:58 GMT+00:00 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>:
RAISI MTALAJIWA 2015 NI EDWARD LOWASSA
Sisi wataalamu wa demokrasia tunasema; demokrasia haiwezi kudumu ikiwa wachache hawatakubali matakwa ya wengi.Watanzania waliowengi wanasema waziwazi ya kwamba Edward Ngoyai Lowassa ndie mkombozi wa Taifa hili aliebaki na wanaemuamini. Nitampigania Lowassa kwasababu ninaamini kufanya hivyo ni njia pekee ya kulikomboa Taifa hili kutoka kwenye wimbi la umasikini.
Nawapenda sana akina Mizengo pinda na Stephen.W.Wasira ila tatizo sura zao zinanitisha Jamani sura sio roho lakini mimi hawa jamaa nasema hapana.,Lakini huyu Dr Wilbroad Slaa na yeye ni Mgonjwa,nani asiejua ya kwamba Dr Slaa ameathirika? Hatutaki msiba Ikulu…..!!
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeh.........!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment