Wednesday, 4 February 2015

Re: [wanabidii] RAISI MTALAJIWA 2015 NI EDWARD LOWASSA

Kipenda roho bwana!!! au sijui ndo mambo hayo hayo ya ufisadi yanaendelea na hivyo watu wamepewa chochote ili wampigie debe ENL? Humu ndani naona kuna watu wanaelekea kama vile wameongea na Mungu na akawaambia Piga ua Lowassa lazima awe rais wa Tanzania tu. Watanzania tupo zaidi ya milioni 44 hivi kwa nini tunaliangalia taifa kama familia ambako baba ni mmoja tu? Hebu jaribu kuwaongelea na wengine maana hii CD ya ENL imetuchosha

2015-02-04 13:45 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Ngupula Ukijaribu kuyakumbuka maelezo ndani ya Taarifa ya Tume ya Bunge Lowasa haishii katika kuwajibika tu na kashfa hiyo. Na kama tume hiyo ingesema kila kitu haijulikani nani angepona.
Kwa kuwa urais si kila anayefaa lazima awe rais (la sivyo ingekuwa tuchague kila baada ya nusu mwaka ili kila mtu apate) basi ni salama zaidi kwa taifa kumuweka Lowasa pembeni katika hili.
--------------------------------------------
On Wed, 2/4/15, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: RE: [wanabidii] RAISI MTALAJIWA 2015 NI EDWARD LOWASSA
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Wednesday, February 4, 2015, 12:23 PM

 Tukizingatia ukweli kabisa...
 tukisema Lowassa Fisadi kwa kigezo cha Richmond tunamuonea.
 Waziri mkuu hana uwezo wa kuunda mradi hewa kama ule rais
 asiwe coordinator.....ntamshangaa sana Lowassa akikubali
 kufa kwa hili la ufisadi wakati anajua hauhisiki.

  'Ambokege Benard M' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com> wrote:





 Mambo mengine ni kero kwa kweli,
 Hivi tunamtaka Rais mwenye sura nzuri au tunayedhani kuwa
 ataibadilisha nchi hii iliyo jaa rasilimali lukuki kwa ajili
 ya kuuimarisha uchumu wa nchi na wananchi wake. Sio vema
 sana kufika mahali kumnadi mtu kwa kutoa matusi kwa watu
 wengine.
 Hapa hatuangalii sura Bali Uwezo wa mtu. Tukiangalia sura
 hata Lowasa mwenyewe hafai maana ndani ya chama Kuna wenye
 sura nzuri kuliko yeye.
 Swala la mtu kuumwa ni nyeti sana, labda utufafanulie anacho
 umwa, na je nani ndani ya chama chako aliye mzima?
 Tusilete hoja za kijinga hapa. Mwaka 2005 mambo yalikuwaje
 na leo nchi iko na hali gani!
 Kama tukisema kila mtu aseme anachotaka katika jukwaa hili
 naamini ama wadhibiti wa mawasiliano nchini watufunga hili
 jukwaa. Tuwe makini lakini zaidi nikiamini wengi wa
 watumiaji wa mtandao huu ni watu walioenda shule ni vema
 tukawa na staha katika matumizi ya lugha na hasa ni vema
 kujiepusha na matusi hasa kwa wale ambao wameonyesha nia
 lakini hatuwapendi.

 Yangu ni hayo, tuchunge ndimi zetu kupitia maandishi yetu
 maana kike ukiandikacho ndicho kitokacho mdomoni kwako
 kupitia ukurasa huu.

 Nawasilisha!


 ABM


 From: 'Hezron
 Kaaya' via Wanabidii
 Sent: ‎2/‎4/‎2015 9:56
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Subject: Re:
 [wanabidii] RAISI MTALAJIWA 2015 NI EDWARD LOWASSA


 Emma chunga
 sana ulimi wako.kauli uliyoitumia kwa hao viongozi sio
 nzuri.Toa hoja acha matusi unamchafulia hata huyo
 unayemtaka.








 On Monday,
 January 26, 2015 9:01 PM, Emmanuel Muganda
 <emuganda@gmail.com> wrote:





 Tukiendelea kufumbia macho ufisadi na
 kuwatukuza wanaotufisidi tutaishia kutawaliwa na akina
 Sauli.
 em


 2015-01-26 12:00
 GMT-05:00 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:





 Mungu hana demokrasia. Yeye
 ana theokrasia. (Theocracy). Wana wa Israel walitaka mfalme,
 wakaangalia sura wakapewa Sauli na akachukua mali zao na
 yale yaliyo mazuri kwao, akachukua rushwa na kuwatia katika
 kazi zake mwenyewe na kuwafanya watumwa wake. "Wakalia
 siku ile kwa sababu ya mfalme waliojichagulia, Bwana
 asiwajibu…."[1 Sam 8:10-23]
 Mungu huwapa watu kiongozi
 sawasawa na mioyo yao. Je, mioyo ya Watanzania ikoje mbele
 za Mungu?
 •      
 Kukumbuka kuwa ni Mungu aliye Hai na
 Yeye peke yake ambaye naweza kubadilisha jinsi mambo
 yalivyo.
 •



 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment