Siafiki maneno yako ya kuwa Upinzani haujakomaa maana kama serikali yenye miaka 53 bado ni changa tutausubiri huo ukomavu baada ya karne 2. Migogoro kwenye vyama ipo hata huko CCM ila kinachotofautisha usuluhishi ni hao hao CCM kuingilia kati kwenye migogoro ya wengine. Wao wanapotatua ya kwao hawaingiliwi kwa sababu kila chama kina taratibu zake walizojiwekea wenyewe. Acheni kuingilia vyama vingine
Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
From: "'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 2 Feb 2015 21:13:14 +0000 (UTC)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
Ni ukweli Mh Rais ameona mbali sana, vyama vya upinzani vyetu baado havijakomaaa kabisa hata migogoro yao within chama bado wanashindwa kusolve sembuse nchi? level ya vyama vyetu vya upinzani still according tu wananchi ni ubunge na udiwani uskukani wa white house still chapuo kubwa ni CCM japo nao wakikosea wamweke mtu asieuzika kiukweli tunaweza kuharibu nchi , only mtu anaeuzika ni bro EDO so hata Mh JK analifaham hili ni upepo kaupima kaona Bro EDO kasi yake ni ya kali kinyama inaelekea magogoni tuuuuuuuu, aingie atusaidie jamani. nchi hiii need a strong man really , acheni siasa the only person ni huyu atakaetunusuru sipigi siasa hapa kama mtu atabisha aje nitembeee nae siku nzima tuhoji watanzania mia tu uone nani atapita
So tunaoitakia nchiii hiii mema tunaona EDO fit now
From: 'Abdul Karim' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, February 2, 2015 7:21 AM
Subject: Re: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
Nchi iyumbe mara ngapi wakati mpaka sasa nchi inaenda kama lori la mkaa lililokata centre bolt!
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, February 2, 2015 12:39 PM
Subject: Re: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
Nchi itayumba???
Sasa imetulia???. Inaenda vizuri??? Hii kali kweli! Ninaamini nchi inaweza kuzama kabisa kama CCM itatoa rais atokanaye na mtandao. Uwezekano wa kupata Rais kutoka CCM ambaye anaweza kwa kuanzia akaunda serikali ndogo na kupunguza marupurupu ya wanasiasa ambayo ndiyo yamelifikisha taifa hapa ni mdogo. Uwezekano wa kumpata rais kutoka CCM ambaye hatatokana na fedha za ESRCOW ni mdogo sana. Uwezekano wa kupata rais kutoka CCM anayeweza kuwauliza watangulizi wake na familia zao waeleze walikopata mali hizo ni mdogo. Na hayo ndiyo yanaliyumbisha taifa tayari.
Basi tukae kwa namna mpya na kukubaliana namna ya kumpata rais. Kupitia kampeni hizi hatutampata tunayemtaka wa kulifaa taifa hili.
Elisa
--------------------------------------------
On Mon, 2/2/15, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, February 2, 2015, 10:39 AM
RAIS
AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Kikwete
amewaagiza viongozi wa chama hicho kuhakikisha Chama cha Mapinduzi kinashinda
katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba
mwaka huu.Dkt Kikwete ametoa agizo hilo katika
uwanja wa Majimaji mjini Songea ambapo zimefanyika sherehe
za maadhimisho ya miaka 38 ya chama hicho.Akimnukuu mwalimu Nyerere, amesema
kuwa Rais wa Tanzania anaweza kutoka chama chochote lakini
Rais bora ni lazima atoke CCM hivyo amewataka viongozi wa
chama hicho kuhakikisha wanafanya mikutano na kuwatembelea
wananchi ili kujua matatizo yao kama anavyofanya Katibu Mkuu
wa Chama hicho Abdulrahman Kinana.Aidha ameonya kuwa wana CCM
wanatakiwa kutambua kuwa endapo CCM haitashinda, nchi
itayumba na huenda CCM isibaki kama ilivyo, kwa hiyo ni
jukumu lao kuhakikisha CCM inaendelea kubaki madarakani kwa
kila jitihada.Amewataka wawe
makini wakati wa kuteua wagombea hususani katika nafasi ya
urais ili wapate mgombea mwenye uwezo wa kuendelea kujenga
umoja ndani ya chama na taifa kwa ujumla, na pia mwenye
uwezo wa kuongoza Tanzania na watanzania wakamkubali."Msifanye makosa katika kupata
mgombea, chagueni mgombea atakayekubalika na mwenye uwezo,
hata kama yupo lakini hajajitokeza, siyo vibaya kumshawishi
kama mimi nilivyoshawishiwa…" amesema Kikwete.Amewataka viongozi wa chama hicho
kuwashawishi wanachama wote kujiandikisha katika daftari la
kupiga Kura kwa mfumo wa BVR ili waweze kushiriki uchaguzi
huo wakiwa na vitambulisho vipya.Amesema "Kwa mahesabu yaliyopo CCM
ina wananchama zaidi ya Milion 6, tukiwaongeza na hao kama
milioni 2 hivi, itakuwa million 8, tayari tutakuwa na mtaji
wa Kura million 8 za kuanzia, na hao million 8 kila mmoja
ana mpenzi, akimshawishi mpenzi wake kuipigia CCM tutakuwa
na kura million 16, ambapo tutaweza kumshinda mtu
yoyote……"Ameongeza kuwa
"CCM ni chama cha kuongoza dola, siyo chama cha michezo
wala muziki, mambo ya muziki Kapten Komba anatosha, yupo na
Diamond pia, wanatosha hao, lakini sisi tuhakikishe CCM
inaendelea kuogoza dola"
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment