Tuesday, 3 February 2015

Re: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE

Ukiyatumia maneno ya Rais EDO wako haingii. Ungesema Nchimbi ndiyo maana amemfuata kwa ke na kulisemea huko. Nchimbi aliwahi kuligusia la urais baadaye akakaa kimya hivyo akisema hajawahi kujitokeza inaweza kukubaliwa maana kusahau ni mila ya Watz. Ukitaka kuyatumia maneno ya rais kuhusu EDO sema amemkandia. Na kwa maana hiyo Rais amechagua wakati mzuri kwa sababu nguvu zake zinaanza kuisha na midahalo itamtupilia mbali labda aikimbie
--------------------------------------------
On Tue, 2/3/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, February 3, 2015, 12:13 AM

Ni ukweli
Mh Rais ameona mbali sana, vyama vya upinzani vyetu baado
havijakomaaa kabisa hata migogoro yao within chama bado
wanashindwa kusolve sembuse nchi? level ya vyama vyetu vya
upinzani still according tu wananchi ni ubunge na udiwani
uskukani wa white house still chapuo kubwa ni CCM japo nao
wakikosea wamweke mtu asieuzika kiukweli tunaweza kuharibu
nchi , only mtu anaeuzika ni bro EDO so hata Mh JK
analifaham hili ni upepo kaupima kaona Bro EDO kasi yake ni
ya kali kinyama inaelekea magogoni tuuuuuuuu, aingie
atusaidie jamani. nchi hiii need  a strong man really ,
acheni siasa the only person ni huyu atakaetunusuru sipigi
siasa hapa kama mtu atabisha aje nitembeee nae siku nzima
tuhoji watanzania mia tu uone nani atapitaSo tunaoitakia nchiii hiii mema tunaona EDO fit
now


From: 'Abdul
Karim' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

Sent: Monday,
February 2, 2015 7:21 AM
Subject: Re:
[wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA -
KIKWETE

Nchi
iyumbe mara ngapi wakati mpaka sasa nchi inaenda kama lori
la mkaa lililokata centre bolt!
 


From: 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, February
2, 2015 12:39 PM
Subject: Re:
[wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA -
KIKWETE

Nchi itayumba???
Sasa
imetulia???. Inaenda vizuri??? Hii kali kweli! Ninaamini
nchi inaweza kuzama kabisa kama CCM itatoa rais atokanaye na
mtandao. Uwezekano wa kupata Rais kutoka CCM ambaye anaweza
kwa kuanzia akaunda serikali ndogo na kupunguza marupurupu
ya wanasiasa ambayo ndiyo yamelifikisha taifa hapa ni mdogo.
Uwezekano wa kumpata rais kutoka CCM ambaye hatatokana na
fedha za ESRCOW ni mdogo sana. Uwezekano wa kupata rais
kutoka CCM anayeweza kuwauliza watangulizi wake na familia
zao waeleze walikopata mali hizo ni mdogo. Na hayo ndiyo
yanaliyumbisha taifa tayari.
Basi tukae kwa
namna mpya na kukubaliana namna ya kumpata rais. Kupitia
kampeni hizi hatutampata tunayemtaka wa kulifaa taifa
hili.
Elisa
--------------------------------------------
On Mon, 2/2/15, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
wrote:

Subject:
[wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA -
KIKWETE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, February 2, 2015, 10:39 AM

RAIS
AJAYE
ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Kikwete
amewaagiza viongozi wa chama hicho
kuhakikisha Chama cha Mapinduzi kinashinda

katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba
mwaka huu.Dkt Kikwete ametoa agizo hilo
katika
uwanja wa Majimaji mjini Songea
ambapo zimefanyika sherehe
za maadhimisho
ya miaka 38 ya chama hicho.Akimnukuu mwalimu Nyerere,
amesema
kuwa Rais wa Tanzania anaweza
kutoka chama chochote lakini
Rais bora ni
lazima atoke CCM hivyo amewataka viongozi wa
chama hicho kuhakikisha wanafanya mikutano na
kuwatembelea
wananchi ili kujua matatizo
yao kama anavyofanya Katibu Mkuu
wa Chama
hicho Abdulrahman Kinana.Aidha ameonya kuwa wana CCM
wanatakiwa kutambua kuwa endapo CCM
haitashinda, nchi
itayumba na huenda CCM
isibaki kama ilivyo, kwa hiyo ni
jukumu lao
kuhakikisha CCM inaendelea kubaki madarakani kwa
kila jitihada.Amewataka wawe

makini wakati wa kuteua wagombea hususani katika nafasi
ya
urais ili wapate mgombea mwenye uwezo wa
kuendelea kujenga
umoja ndani ya chama na
taifa kwa ujumla, na pia mwenye
uwezo wa
kuongoza Tanzania na watanzania wakamkubali."Msifanye
makosa katika kupata
mgombea, chagueni
mgombea atakayekubalika na mwenye uwezo,

hata kama yupo lakini hajajitokeza, siyo vibaya
kumshawishi
kama mimi
nilivyoshawishiwa…" amesema Kikwete.Amewataka viongozi
wa chama hicho
kuwashawishi wanachama wote
kujiandikisha katika daftari la
kupiga Kura
kwa mfumo wa BVR ili waweze kushiriki uchaguzi
huo wakiwa na vitambulisho vipya.Amesema
"Kwa mahesabu yaliyopo CCM
ina wananchama
zaidi ya Milion 6, tukiwaongeza na hao kama

milioni 2 hivi, itakuwa million 8, tayari tutakuwa na
mtaji
wa Kura million 8 za kuanzia, na hao
million 8 kila mmoja
ana mpenzi,
akimshawishi mpenzi wake kuipigia CCM tutakuwa
na kura million 16, ambapo tutaweza kumshinda
mtu
yoyote……"Ameongeza kuwa
"CCM ni chama cha kuongoza dola, siyo chama
cha michezo
wala muziki, mambo ya muziki
Kapten Komba anatosha, yupo na
Diamond pia,
wanatosha hao, lakini sisi tuhakikishe CCM

inaendelea kuogoza dola"



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment